Serikali iliwaza nini kuondoa Hiace na kuruhusu Bajaji?

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,159
9,241
Wakuu habari,

Najaribu kufikiria haswa sababu iliyopelekea serikali kupiga marufuku hiace na kuruhusu bajaji.

Kwa tathimini ya haraka haraka bajaji ndio chanzo kikuu cha foleni.

Mfano: bajaji moja inabeba watu watatu kwenye kituo cha bus zikikaa bajaji nne ambapo ratio yake jumla ni watu 12 tayari kituo chote kitakuwa kimejaa na gari zitakazotaka kuingia kutoa huduma zitashindwa hali inayopelekea gari kusimama either mbele ya kituo au nyuma ya kituo

Je, serikali haioni na wakat muafaka kwa bajaji kuondolewa mjini na kupelekwa nje ya mji zikatoe huduma huko kwani nako mahitaji ya huduma ni makubwa na miundo mbinu mingi hairuhusu gari kufanya kazi huko.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom