serikali

  1. Mangungo II

    Serikali itoe ufafanuzi kwanini kuna watu waliostahili kupata daraja jipya hawajapata

    Naaam, Kwa taarifa nilizonazo sio wote waliostahili daraja jipya la mshahara wamepata. Kuna kundi kubwa la watu wametoka bila bila Serikali itoe ufanunuzi kwanini hao wengine wamewekwa reserve. Je, watapanda lini? Na je, hamuoni mnatengeneza tatizo jipya la malimbikizo huku mkitatua la...
  2. M

    Serikali ya watu wa JamiiForums

    Kwa umoja wetu natoa mapendekezo ya kuundwa kwa serikali ya watu wa JamiiForums (JF) HATUA: -Kufanya uchaguzi wa rais wetu pamoja na mkaimu -Kisha raisi kwa mamlaka tutayompa atamchagua waziri mkuu -Uteuzi wa mawaziri wa nyuzi zote za (JF)
  3. Baraka Mina

    Hongera Serikali: Ukweli kuhusu Bajeti ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2021/2022

    Kwema wanajamvi, tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na afya. Poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa, Moja kwa moja naomba niende kwenye mada. Wahenga walisema "Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha", baada ya mjadala mrefu juzi Juni 22, 2021 Bunge la Tanzania lilipitisha na kuidhinisha...
  4. GENTAMYCINE

    Je, hili Tangazo la Tigo linalotuhimiza kupata cha 'Asubuhi cha Tigo' TCRA na Serikali wamelibariki na kuona limekaa Kimaadili?

    Tuendeleeni tu Kuruhusu 'Upuuzi' na 'Uhuni' huu wa maneno yanayoashiria 'Ufirauni' kutumika na Makampuni ya Simu huku Serikali mkipokea Kodi yenu Kubwa na Maadili kwa Jamii na Kizazi kuzidi 'Kudidimia' tu. Kuna Kampuni nyingine nayo nimedokezwa inataka kuja na 'Promo' yake isemayo ' Ukitaka...
  5. Shujaa Mwendazake

    Serikali Zanzibar kuendelea kuwahudumia majeruhi ajali iliyoua wanne Shinyanga

    Unguja. Makamu wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali itaendelea kuwahudumia majeruhi waliopata ajali katika basi la kampuni ya Classic mkoani Shinyanga. Ajali hiyo ilitokea Juni 2, 2021 katika kijiji cha Buyubi kata ya Didia mkoani Shinyanga baada ya dereva wa basi hilo...
  6. CCM Music

    Revenue Intelligence Bureau (RIB) suluhisho la upotevu wa mapato ya Serikali

    Ila ana point kweli huyu mwamba, maana hv ndo tunaweza kuepukana na simcard tax za Mzee Mwigu. Kwa hio kajamaa kanamaanisha na sisi Tanzania tutakuwa na ka CIA ketu na ka FBI au sio? Ila sisi ni kwenye mambo ya hela. Sawa, nimekuelewa. === REVENUE INTELLIGENCE BUREAU (RIB) (Kumradhi Mama...
  7. K

    Serikali yapiga marufuku masomo ya ziada

    Serikali umepiga marufuku masomo ya ziada kwa shule za Serikali na hasa wakati wa likizo, kwa kubainisha kuwa yanaongeza gharama zisizo za lazima kwa wazazi na ni kinyume na waraka wa elimu namba tatu wa mwaka 2016,ambao unataka wanafunzi wapate likizo ama muda wa kupumzika. Hayo yamesemwa...
  8. E

    Serikali inakusanya Tshs. trilioni 211.2 kwa mwaka? Kama ni kweli basi neema yaja

    Kwa mujibu wa website ta ATE Serikali inakusanya trilioni 17.6 kwa mwezi sawa na trilioni 211.2 kwa mwaka, yaani kwa mkwanja huu hamna wasiwasi SGR itakamilika kwa wakati na bwawa la nyerere nalo hamna shida litajengwa, nimeweka kiambatanisho hapa chini https://ate.or.tz/sites/default/files/TZA...
  9. Sam Gidori

    Serikali ya Kenya yaburuzwa mahakamani kwa kukosekana uwazi mradi wa SGR

    Asasi ya Kiraia ya Okoa Mombasa ikishirikiana na Taasisi ya Uwajibikaji wa Kijamii (TISA) wameiburuza Serikali ya Kenya mahakamani kudai kuwekwa wazi kwa mikataba ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Mombasa - Nairobi ya Standard Gauge Railway (SGR). Mashirika hayo mawili yanadai serikali iweke wazi...
  10. May Day

    Serikali ishugulikie kushamiri kwa uuzwaji wa vifaa vya nyumbani ambavyo vimekwishatumika

    Ninaliona hili kwa hapa Arusha na sijajua kama Serikali inaufuatiliaji wa kujiridhisha uhalali wa kila kinachouzwa kwenye hizi yadi. Kumekuwa na masoko yanayoibuka yaliyosheheni vifaa/vyombo mbalimbali kama Majiko, Meza, Vitanda, Magodoro, TV, Feni n.k. Ningetamani kama inawezekana kuanzishwe...
  11. Appollo 11

    Serikali itunge sheria; iwe lazima mmiliki wa nyumba au kiwanja kupanda miti isiyopungua minne

    Nawasalimu wana Jamvi. Mi sina mengi, lakin kutokana na mabadailiko ya kimazingira naona ni muhimu kwa serikali kuja na sheria pamoja na sera itakayo tamka kuwa kutokupambana miti ni kosa la jinai na mmiliki wa nyumba au eneo atapaswa kuwajibika. Kwa mfano kwa kwa kila nyumba au kiwanja...
  12. Replica

    Mulugo: Mwaka Kesho Serikali itashindwa kuwapeleka watoto Sekondari

    Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mbunge wa Songwe, Philip Mulugo leo Bungeni amesema mwaka kesho serikali itashindwa kuwapeleka watoto Form one kwenye shule za serikali kwasababu mpango wa elimu bure ulianza miaka sita iliyopita hivyo watoto waliopo leo darasa la sita ni takribani 1.8 milioni...
  13. Samia atosha tukutane2030

    Serikali ya Kikwete ishitakiwe kwa kupoteza pesa za umma kupitia mchakato wa Katiba mpya

    Serikali ya awamu ya nne chini ya Mh. Kikwete ilitumia fedha nyingi (billions of Tanzania shillings) kuchakata katiba mpya. Baadaye mchakato ulipopamba moto na kugusa maslahi binafsi ya wachache mchakato ukatupwa kapuni. Pesa zikapotea, muda ukapote. Ni wakati sasa serikali ile ya Kikwete...
  14. Komeo Lachuma

    TFF, Karia na Serikali inaonekana kuihujumu Mwadui

    Kwa mtu aliyeangalia mechi ya jana lile goli la Tatu la Yanga lilikuwa Offside ya wazi kabisa. Ya wazi kabisa bila utata. Lakini Tunaona jinsi ambavyo TFF inavyoshirikiana na Yanga kuzihujumu team ndogo kama Mwadui. Mwadui jana wameupiga mwingi sana wamekuja angushwa na rushwa katika mpira...
  15. The Sheriff

    Dodoma: Serikali kufunga kamera za usalama maeneo mbalimbali ili kupunguza uhalifu

    Serikali imedhamiria kufunga kamera za usalama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma kwa lengo la kupunguza uhalifu ambao umeanza kushamiri katika maeneo ya jiji hilo baada ya Serikali kuhamia Dodoma huku wimbi la watu likichagiza hali hiyo ya uhalifu. Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa...
  16. T

    Huduma ya LUKU imepotea tena, hatuwezi kununua umeme

    Ni masaa matano tokea system ya LUKU kupotea yaani huwezi kununua umeme Hii ni ishara mbaya kwa waziri na serikali kwa ujumla kwa hili tatizo kujitokeza mara ya pili ndani ya miezi miwili Mama samia Ebu kuwa mkali kidogo yaani nina uhakika madudu mengi yatakuja kwa utawala huu, mchwa wa...
  17. U

    Serikali iwaangalie walimu wa masomo ya Sanaa (Arts)

    Ushauri tu kwa serikali yangu ya CCM,wahitu wote wa shahada na stashahada ya ualimu wa masomo ya arts. Serikali ione aibu Hawa watu imewatenga sana, na hili ni bomu ambalo siku limelipuka CCM hamtaamni. Kama hakuna umhimu wa masomo hayo Basi ni Bora kozi hizo zifutwe vyuoni kuliko...
  18. S

    Serikali, msibane sana uhuru wa kufuga. Si kila kitu lazima kiwe "nyara za serikali"

    Tuwacheni msamiati wa nyara za Taifa hapa Tanzania, mbona tunaposafiri roho zinatuuma, unaona watu wanafuga kanga, unaona watu wanafuga paa, swala, digidigi unaona watu wanafuga tausi, vitu ambavyo vinahitajika kutaka kuongezwa katika generation ya Mtanzania. Watz hatutaki kufuga simba wala...
  19. Darren2019

    Utitiri wa viongozi serikali una tija gani kwa Taifa?

    Nimejaribu kufikiri ni kwanini asilimia kubwa ya fedha za serikali znaishia kwenye matumizi ya kawaida, mojawapo ya sababu niliyoona ni uwepo wa utitiri wa viongozi wengi kwenye ngazi za juu hasa kuanzia wilayani na ukizingatia hawa wanahudumiwa siyo tu mishahara mikubwa bali kuna magari/mafuta...
  20. K

    Serikali ianzishe mfumo wa "internship" kwa Walimu wahitimu kuliko kujitolea

    Habari JF, Hakuna kitu kinaumiza kama msomi na mwalimu aliyesomea na kufuzu mafunzo ya ualimu na kwenda kufanya kazi katika shule za serkali kwa kujitolea bure Hakika hii haikubaliki, ni unyonyaji wa kiwango kisichoelezeka. Mtu kufanya kazi bure ndani ya nchi hii ni kinyume na haki za binadamu...
Back
Top Bottom