Kufanya uovu na kisha uovu ufanikiwe, ni lazima mwovu awe na akili yaani awe mwovu mwerevu. Ukiwa mwovu punguani, hakika hakuna uovu utakaoufanya ambao wenye akili hawataweza kuubaini.
Fikiria Mbowe kushindwa kufikishwa mahakamani, eti gari la kumpeleka mahakamani ni bovu! Na mama naye anaona...
Kwani Serikali inakuwa na Nogwa na CHADEMA wanapokutana katika mambo yao ya katiba mpya na CHADEMA digital lakini wao hata baada ya kuweka katazo la kuwa na mikusanyiko lakin bado wao wanakusanyika
Je na CHADEMA waendeleze mikusanyiko yao ya kutoa elimu ya katiba mpya na CHADEMA digital...
Asiye kujua hakuthamini, lakini vile vile uchungu wa mwana aujuaye mzazi, hakuna mzazi anayependa kuona mtoto wake anateseka au anaishia kuwa na maisha duni,
kila mzazi anashughuli inayomuingizia kipato cha kulisha familia na kuendesha familia, kwa kuajiliwa au kujiajiri,
Hapa nchini kwetu...
Mfungwa anapomaliza kifungo na kurudi uraiani anakuwa kama mtoto. Hana kazi, hana mali na wakati mwingine hata utu wake huonekana tofauti. Anaweza kuonekana kama mhalifu kama wengine wengi ambao wakitoka jela huwa na sura za kutisha.
Huonekana si kitu. Hana mbele wala nyuma na waswahili husema...
Wadau hakuna mahala unaweza kupata updated info kama Jf.
Wadau mwenye info kamili atujuze kwa sasa utaratibu uko vipi kuzika mtu aliyefariki kwa covid-19.
Ifahamike kwa sasa vifo ni vingi sana uraiani na vina ukaribu na matatizo ya kupumua.
Nawakalishe mimi Idugunde
Utangulizi
Dunia nzima imekumbwa na janga zito la ugonjwa wa UVIKO-19 lililoanza mwaka 2019 huko nchini China bara la Asia na kutokana na uzito wa janga hilo kila nchi imejitahidi kufanya kila namna ili kunusuru wananchi wake na madhara yatokanayo na ugonjwa huu hatari, zipo nchi zilizozuia...
Kila mwananchi ameona utaratibu mpya ambao umeanzishwa na serikali hii ya awamu ya 6 ya kuanza kuzifanyia "monitoring" taasisi zote za dini na kuzisajili upya kila baada ya miaka 5.
Huu ni utaratibu mpya kabisa, ambao haujawahi kuwepo tokea nchi yetu ipate uhuru wake, miaka 60 iliyopita.
Ni...
Leo nimeshuhudia kupitia luninga Mhe. Waziri Mkuu akihabarisha umma wa Watanzania kuwa Mhe. Rais ameridhia kutoa Tshs.300 billioni kwaajili ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali pale Dodoma ikiwa ni pamoja na Ikulu.
Sasa swali langu:- Bunge lina utaratibu wa kujadili bajeti na kuipitisha...
DANIEL CHONGOLO, KATIBU MKUU WA CCM
CHONGOLO AKEMEA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOCHELEWESHA KUIDHINISHA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kukagua miradi na...
Imekuwa ni kawaida sasa kwa nchi nyingi za kiafrika kuwanyima watu wake uwezo wa kupata habari kupitia mitandao ya kijamii kama vile Whatsapp, Facebook, TWITTER n.k hasa baada ya kipindi cha uchaguzi mkuu, Tukio hili limewakumba jana wananchi wa Zambia baada ya kujikuta mabando yao hayana.
---...
TAARIFA KWA UMMA
KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAELEKEZO MATATU MAHUSUSI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA SERIKALI NCHINI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, akiwa katika ziara ya kukagua miradi na shughuli za...
Huu ni ushauri mkubwa kwa serikali:
Kitaalamu chanjo inatakiwa uchanjwe kama hauna vimelea vya ugonjwa husika.
Sasa iweje watu wanaenda wanachoma chanjo tu bila kujua status zao? Je, Serikali hamuoni kuwa hili ni tatizo?
Hata vifo vinavyotokea kwa walichoma chanjo vinachangiwa na tatizo hili...
Hii ni mpya.
Serikali imesema itajenga vituo 3 vya michezo kwenye mikoa ya Geita, Dodoma na Dar es Salaam ambapo kila kituo kitagharimu bil.3.
Aidha Serikali itajenga kituo cha umahili wa michezo kwenye chuo cha michezo Malya kitakachoghadia kiasi cha 1.5 bln.
Binafsi sina tatizo na vituo...
Wananchi wametoa malalamiko yao kwa Serikali lakini bado kimya, watu wengi wameacha biashara ya miamala ya simu na hii inapelekea familia zao kupata shida, hata malengo ya Serikali yaliyotarajiwa hayatafikiwa kwa sababu watu wengi wameacha kutumia huduma hii. Mfano mimi leo nimetuma Tshs.1m/=...
Ninaandika makala hii baada ya kilio cha wanachi kutokana na maamuzi mbalimbali yanayofanywa na serikali.
Baada ya kutoka kwa bei mpya za vifurushi kwenye huduma za maongezi na intaneti kilio kikubwa cha wanachi kilizuka .
Baadae imekuja makato kwenye miamala ya pesa kilio kingine kikazuka...
Tanganyika ilikuwa koloni la Uingereza chini ya Mfalme baadae Malikia, wakati tukiwa chini ya Mkoloni tulianza harakati za kudai uhuru, uhuru ni zaidi ya katiba lakini mkoloni alituvumilia na hakuwahi kumzuia Nyerere kwenda UNO kudai uhuru na kama kulitokea purukushani basi zilikuwa za kiwango...
Kwa mambo yanavyokwenda ni vigumu kujua kuwa rais Samia yuko in charge ya mambo, au kuna genge la watu limemcorner rais wetu na kumtengenezea ajenda kwa manufaa ya kundi hilo binafsi.
Rais alovyoanza kuongoza hii nchi, kila mmoja aliona nia yake nzuri, dhamira yake nzuri, na kiukweli alikong'a...
Bunda, Mara 08/08/2021.
Siku ya Tarehe 8/8/2021 kundi la wadau wa maendeleo Mkoa wa Mara wanaoishi na kufanya kazi sehemu mbali mbali hapa nchini (Mara Investors) limekabidhi jengo kwa ajili ya ofisi ya Serikali ya Mtaa ili kusaidia huduma za kiutawala kwa wakazi wa mtaa wa Serengeti Kata ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.