serikali

  1. JamiiForums Tanzania PSSSF inaidai Serikali trilioni 4.6, yasuasua kuwalipa wastaafu

    Hii mifuko inabidi iwekewe sheria kali kwa wanasiasa kujichotea hela kutimiza miradi yao iliyokwama au nakisi ya bajeti kwa gharama ya wastaafu. Hawa wazee wamekuwa wanapeleka michango yao miaka yao yote ya kuchakarika mpaka nguvu zimewaisha kwa mategemeo zije ziwasaidie, tuheshimu pesa za...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Polepole alikuwa sahihi kuwa "Serikali ni mwanasesere"

    Kuna kauli moja alitoa pole pole kuhusu kuwa na parallel state, yaani nchi kuendeshwa na kikundi flani kimejificha nyuma huku serikali tunayoiona kubali kama pambo au MWANASESERE, hii inaweza kuwa kweli kwa upande mmoja kutokana na mifano hii. 1. Kesi ya Mbowe inaonekana kuna nguvu zaidi...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya Kwanza nimeona Mafanikio ya Serikali kwenye suala la Machinga, Hongera Serikali ya Awamu ya Sita

    Amani iwe nanyi wanabodi! Wakati Mama Samia anatangaza mkakati wake wa kuwapanga upya machinga kwenye maeneo mbalimbali, nilibarikiwa kuwa mmoja wa watu wa mwanzo kabisa kutoa ushauri wangu humu! Ushauri huu niliutoa kwenye Thread hii hapa chini...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali imewaibia Wamachinga?

    Unamlipisha 20,000 ya kitambulisho cha Mmachinga kuonyesha kuwa yuko eneo hilo kihalali then Leo mnakuja kuwabomolea? Si muwarudishie basi Hizo 20,000 zao kabla ya kuwanyanyasa? Mliwakubalia tena kwa mbwembwe then sasa hivi watu wamejiwekeza mnaanza figisu! Warudishieni fedha zao acheni wizi
  5. JamiiForums Tanzania Utatuzi wa wamachinga ilikuwa ni kuwatoza kodi. Hiyo ndo ingeleta Win-Win kwa machinga na Serikali

    Niliwahi kuleta uzi wangu hapa kuhusu hili suala mwezi August, kwenye stories of change kwa lengo la kutoa ushauri kwa serikali wa namna bora ya kukabiliana na hili suala...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Matendo ya Sabaya: Ukweli ni kwamba tulipaswa kupata Serikali Mpya ila tatizo Katiba haisemi hivyo

    Ukifikiri kwa makini, wote waliokuwa mabosi wa Sabaya chini ya Magufuli na wakuu wote wa vgombo vya ulinzi na usalama hawakupaswa kuendelea kuwa madarakani leo hii ila katiba ndio tatizo kwani haitoa hata fursa ya kufanya uchaguzi tupate viongozi wengine ambao bila shaka wangekuja na watendaji...
  7. JamiiForums Tanzania Uzazi wa mpango ni suluhu ya matatizo mengi ikiwemo umachinga uliokithiri

    Binadamu yoyote tofauti na wanyama ili aweze kukua vizuri, apate maendeleo na astawi anahitaji msaada, uangalizi na muongozo wa muda mrefu wa wazazi, familia, ndugu, marafiki, majirani na Serikali. Anahitaji apatiwe chakula bora, mavazi bora, makazi, na elimu bora tangu akiwa mdogo hadi angalau...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ubabe: Vyama, Ofisi ya Msajili wa Vyama, Serikali Ukemewe

    Ofisi ya Msajili wa Vyama na Msajili wana wajibu kwa vyama kama ilivyo kwa vyama, kwao. Hii pia ni kama ilivyo kwa serikali na wote hawa. Yote hiyo iko kwa mujibu wa sheria wazi na bayana katika katiba. Migongano inayotokea ni kwa sababu tu ya ukiukwaji katiba, ambapo hayupo aliyejuu ya...
  9. JamiiForums Tanzania Napata shida kuelewa kwanini Rais Samia kamuajiri Tonny Blair kuhusu COVID-19 na kurejesha jina zuri Tanzania

    Huyo Tonny Blair tuko wengi tunamuona kama mzandiki fulani. Alimuunga mkono Bush kuivamia Iraq kwa sababu za uongo eti kuna silaha za maangamizi wakati ni uongo. Nchi nyingine za Ulaya zilisita ila Tonny Blair akawa kimbelembele na wakaiangamiza Iraq tokea uchumi, watu wake hadi miundombinu...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Usiseme 'umejenga' sema Serikali imejenga, tumpunguzie majukumu Rais

    Siasa ni mchezo mbaya umejaa unafiki wa kila aina. Ninawasikiliza wanasiasa wanavyosema Mama umejenga, Mama umetenga, Mama unakusudi jema sana. Yote hayo ni maneno mabaya kwa maana ya kumtwisha mzigo mzito rais na kama akikosa hekima basi anaenda kuvimba kichwa na kupoteza mwelekeo. Nawashauri...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Futeni HESLB na fedha zote zielekezwe kwenye ajira mpya za graduates wa vyuo!

    Maisha yanaendelea! Maelfu ya graduates wasio na ajira yanaongezeka mtaani kila mwaka!na graduates wanashindwa kurejesha mkopo wa masomo waliotumia kusomeshwa. Muda umefika serikali ifanye Re alocation ya bajeti ya mkopo kuwa bajeti ya ajira mpya ili graduates waajiriwe na serikali nchini...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie kuhusu kufukuza wamachinga walemavu

    Kama Mama Samia ameamua kuondoa watafutaji wa mitaani yani wamachinga. Ni sawa. Ila nafikiri angewatzama kwa jicho la huruma wamachinga wenye ulemavu ambao hawawezi kubeba mizigo wala kulima. Kuwaondoa watu wa namna hii ni ukatili mkubwa sana. Naiomba serikali ya Mama Samia iwawekee utaratibu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya mitandao ya simu, Serikali ya Uingereza nayo ikaanzisha

    Akihutubia wananchi mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Rais amesema mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya kwenye mitandao ya simu ambayo ilipigiwa kelele na wananchi wengi, na Serikali ya Uingereza nayo imeanzisha tozo kama hii. Kumbe mama anafanya vitu Hadi mataifa yaliyoendelea yanavikubali hadi...
  14. JamiiForums Tanzania Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

    LEO NIMEPATA SMS KUTOKA NMB BANK IKISEMA IFUATAVYO: Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti. Ujumbe huo. Watanzania inafika point huna pakupumua kila sehemu tozo bank tozo kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta ofisi ya kata nimeelewa kwanini wananchi wa Msumi walijichukulia Sheria mikononi

    Inaudhi, inaumiza nimedunduliza nimenunua eneo ambapo nimepitia kwa mamlaka zote za Serikali ya mtaa/kijiji na pia ofisi ya kata cha kusikitisha wanatokea watu wawili au watatu wenye nyaraka za manunuzi ambazo pia zimepewa Baraka na mamlaka hizi, namtafuta mtendaji wa kata haonekani ofisini wiki...
  16. JamiiForums Tanzania NMB hiyo tozo ya serikali mliyotuma SMS mnakata kwenye account zetu ni kiasi gani, asilimia ngapi?

    Kuna sms inatumwa na NMB kuwa wanakata tozo ya serikali kuanzia September 8 hadi Oktoba 10 ya miamala cha ajabu hawasemi wanakata Tsh ngapi au asilimia ngapi sasa kupitia hili watu wasije ibiwa pesa zao bank kwa kigezo tozo maana sasa tozo zimezidi. Mliotumiwa SMS kama hii na mna ufahamu na...
  17. JamiiForums Tanzania Tuboreshe Utendaji wa Serikali za Mitaa ili kuleta Tija

    Kumekuwa na tabia ya kuunda mikoa mipya (na hata wilaya) kwa kigezo cha kusogeza huduma kwa wananchi. Tunafanya hivi kwa sababu hatuzingatii utendaji wa tamisemi. Tamisemi zilianzishwa kwa makusudi ili kusogeza huduma karibu zaidi lakini hazifanyi kazi ipasavyo. Tuboreshe muundo kama ifuatavyo...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yasema polisi bado wanachunguza kupotea kwa Mwandishi wa habari Azory Gwanda

    Polisi bado wanachunguza kutoweka kwa mwandishi wa habari maarufu wa Tanzania Azory Gwanda ambaye alitoweka mwaka 2017, amesema Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Jumapili mjini Mwanza.Msigwa amesema hakuna taarifa mpya ya...
  19. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali ya Tanzania ilisomwa July 2021 sasa ni October 2021 Hakuna miradi ambayo imefanyika.

    Bunge la Bajeti limemalizika July2021, hadi sasa hakuna mradi Hata mmoja umeanza au umefanyika kutoka na Bajeti ya 2021/22. Ukinipa Tarura wako hoi, REA wapo hoi, tanesco wako hoi, halmashauri ziko hoi, Tanroads wako hoi, Kila Anakotembelea Rais Amess Hata kuitaja ilani ya ccm 2020/25 ...
  20. JamiiForums Tanzania Katika nchi moja ya Afrika, hii ni ofisi ya serikali ujenzi wake uligharimu milioni 40

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…