Wakati Msemaji wa Yanga SC Haji Manara akitaka Kuigombanisha Serikali na CAF hivi ndivyo Mchambuzi Bora EFM Jemedari Said alivyomuelimisha

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,528
108,808
"Yanga SC haihusiki kabisa na Kupima COVID-19 Wachezaji wa Timu ngeni na waulizwe Serikali ya Tanzania. Na kuhusu hao Mashabiki kuingia waulizwe TFF na Watu wa Wizara na siyo Sisi Yanga SC" Haji Manara Msemaji wa Yanga SC.

"Haji Manara na Yanga SC yake wasitake Kutupa lawama kwa Watu wengine kwa Uzembe wao wenyewe. Mechi zote za Vilabu Mwenyeji huwa ni Klabu na Mechi za Timu ya Taifa Mwenyeji ni TFF hivyo Yanga SC waache maneno walipe hiyo Faini.

Kama Mashabiki walioonekana Uwanjani hawakuwa wa Yanga SC mbona Viongozi wao Waandamizi muda wote walikuwa wakionekana nao na wakifanya Mipango Mipango? Tuacheni Unafiki CAF siyo Wapuuzi kama tunavyodhani
" Jemedari Said Kazumari Mchambuzi EFM Radio.

Taarifa: EFM Radio Sports Headquarters leo

GENTAMYCINE nikiwa nasema Watu wengi wa Yanga SC Uwezo wao wa Kufikiri ni Mdogo huwa hamnielewi ila taratibu sasa mtanielewa tu.

Serikali imchukulie hatua Haji Manara.
 
Kwa ujumla Tanzania kuna mambo mengi ya kipumbavu yanafanywa na watu mashuhuri, wanasiasa, viongozi wa dini na wasomi ambao wanaifanya Watanzania wote tuonekane wapumbavu.
Sasa si wanajua mashabiki wao ndio maneno wanayotaka kusikia?halafu hapo badala ya yanga kuonekana wajinga mbele ya mashabiki wake, CAF, ndio itaonekana kuwa inawaonea!!haaaa, mashabiki wa timu hizi mbili kongwe asilimia kubwa ni wapumbavu tu.
 
Nimemsikia Manara akisema wataandika barua CAF kupitia TFF huku akijitetea kuwa hakuna mashabiki walioingia bali ni wachezaji na viongozi wale kina madee sijui wako kundi gani labda la waganga wa kienyeji wakati huohuo Bumbuli amekiri yanga kupokea barua tarehe 5 na ni kweli hawakuijibu ule uweledi wa Senzo sijui uko wapi ndio maana alitaka kuwaingiza chaka Simba swala la Kichuya
 
Upesi sana tuombe Radhi Mashabiki wa Simba SC Mkuu sawa? Sisi siyo Wapumbavu ( Mapopoma ) kama Mashabiki wa Yanga SC.
 
Nimemsikia Manara akisema wataandika barua CAF kupitia TFF huku akijitetea kuwa hakuna mashabiki walioingia bali ni wachezaji na viongozi wale kina madee sijui wako kundi gani labda la waganga wa kienyeji wakati huohuo Bumbuli amekiri yanga kupokea barua tarehe 5 na ni kweli hawakuijibu ule uweledi wa Senzo sijui uko wapi ndio maana alitaka kuwaingiza chaka Simba swala la Kichuya
Mkuu ukiona tu GENTAMYCINE namdharau Mtu jua kwa 99.9999% ni Popoma ( Pumbavu ) na huwa sibahatishi kwa hili.

Hao Yanga SC wailipe haraka hiyo Faini.
 
Naomba Ufafanuzi wa vyeo vya BUMBULI na MANARA ndani ya Yanga, yupi MSEMAJI na yupi OFISA HABARI? hivi vyeo vinatofautianaje?
Bumbuli ni Msemaji wa Yanga SC Masikini iliyo chini ya Mwenyekiti Dkt. Mshindo Msolla na Manara ni Msemaji wa Yanga SC Tajiri iliyo chini ya 'Wapigaji' akina GSM na Mhusika akiwa ni Injinia Hersi Said.
 
Mi usemaji wake, huwa sijui anamsemea nani. Sidhani alichokiongea, ndiyo msimamo wa klabu.
Bumbuli pamoja na kuwa naye ni UTOPOLO, lakini haongei KIHOVYO HOVYO kama Manara!
 
Back
Top Bottom