serikali

  1. S

    Eneo kubwa la Pori la Jeshi kuanzia Nzuguni mpaka Mji wa Serikali Dodoma, kunaharibu mandhari ya Jiji la Dodoma

    Kwa wanaoifahamu Dodoma, bila shaka watakuwa wanaelewa eneo hilo la Jeshi ambalo ni pori kubwa na sasa linageuka pori katika ya Jiji la Dodoma baada ya mji huu kuendelezwa kama Makao Makuu ya Nchi. Kwa sasa, eneo hilo la Jeshi, linakuwa pori linalotenganisha makazi ya watu baada ya viwanja...
  2. B

    Tatizo si chanjo au wananchi, tatizo ni viongozi wetu

    Binafsi naona tatizo la baadhi ya watu kugomea chanjo limesababishwa na serikali yenyewe na ( viongozi wa dini). Kwa kawaida kunapotokea upotoshwaji wowote kwa makusudi au kwa Bahati mbaya utakaofanywa na Kiongozi wa serikali. Kinachofata ni uwajibikaji. Kwa kuwajibishwa au yeye kujiwajibisha...
  3. L

    Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

    Jana nilimskiliza tena askofu Gwajima! Matamshi yake yanaungwa mkono na watu wengi sana kuliko hata watu waliopewa ubalozi wa Corona. Nashauri yafuatayo: 1. Serikali iongeze elimu juu ya chanjo 2. SerikaLi imuombe Gwajima abaki na msimamo wake lakini asiongelee chanjo 3. Itangaze chanjo kuwa...
  4. H

    Muovu punguani hufanya uovu kila mmoja akajua ni uovu

    Kufanya uovu na kisha uovu ufanikiwe, ni lazima mwovu awe na akili yaani awe mwovu mwerevu. Ukiwa mwovu punguani, hakika hakuna uovu utakaoufanya ambao wenye akili hawataweza kuubaini. Fikiria Mbowe kushindwa kufikishwa mahakamani, eti gari la kumpeleka mahakamani ni bovu! Na mama naye anaona...
  5. T

    CHADEMA wamekatazwa kukusanyika lakini mikusanyiko ya viongozi wa CCM inaendelea

    Kwani Serikali inakuwa na Nogwa na CHADEMA wanapokutana katika mambo yao ya katiba mpya na CHADEMA digital lakini wao hata baada ya kuweka katazo la kuwa na mikusanyiko lakin bado wao wanakusanyika Je na CHADEMA waendeleze mikusanyiko yao ya kutoa elimu ya katiba mpya na CHADEMA digital...
  6. SoC01 Jukumu la kutengeneza ajira lianzie kwenye ngazi ya familia

    Asiye kujua hakuthamini, lakini vile vile uchungu wa mwana aujuaye mzazi, hakuna mzazi anayependa kuona mtoto wake anateseka au anaishia kuwa na maisha duni, kila mzazi anashughuli inayomuingizia kipato cha kulisha familia na kuendesha familia, kwa kuajiliwa au kujiajiri, Hapa nchini kwetu...
  7. SoC01 Mfungwa sio mnyama, alipwe, alipe kodi

    Mfungwa anapomaliza kifungo na kurudi uraiani anakuwa kama mtoto. Hana kazi, hana mali na wakati mwingine hata utu wake huonekana tofauti. Anaweza kuonekana kama mhalifu kama wengine wengi ambao wakitoka jela huwa na sura za kutisha. Huonekana si kitu. Hana mbele wala nyuma na waswahili husema...
  8. Mwongozo wa Serikali ukoje kuhusu kuzika wafu waliofariki kwa Covid-19?

    Wadau hakuna mahala unaweza kupata updated info kama Jf. Wadau mwenye info kamili atujuze kwa sasa utaratibu uko vipi kuzika mtu aliyefariki kwa covid-19. Ifahamike kwa sasa vifo ni vingi sana uraiani na vina ukaribu na matatizo ya kupumua. Nawakalishe mimi Idugunde
  9. SoC01 Makosa ya Serikali kufuatia mapambano dhidi ya UVIKO-19 na chanjo yake

    Utangulizi Dunia nzima imekumbwa na janga zito la ugonjwa wa UVIKO-19 lililoanza mwaka 2019 huko nchini China bara la Asia na kutokana na uzito wa janga hilo kila nchi imejitahidi kufanya kila namna ili kunusuru wananchi wake na madhara yatokanayo na ugonjwa huu hatari, zipo nchi zilizozuia...
  10. Mwongozo wa Katiba Mpya: Mtazamo wa Serikali na Wananchi

  11. J

    Kampuni ya Elsewedy ipo katika mazungumzo kuwekeza katika reli na kiwanda cha mbolea

    ..nisiongeze wala kupunguza maneno. ..kampuni ya Elsewedy ya Misri kuwekeza ktk miradi mbalimbali mikubwa hapa Tz. https://www.elsewedyelectric.com/en/about-us/our-journey/ https://www.youtube.com/results?search_query=waziri+mwambe+afunguka+ujenzi
  12. Serikali kuanzisha utaratibu wa kuzisajili taasisi za dini kila baada ya miaka 5 una lengo la kuwaziba midomo viongozi hao wa dini

    Kila mwananchi ameona utaratibu mpya ambao umeanzishwa na serikali hii ya awamu ya 6 ya kuanza kuzifanyia "monitoring" taasisi zote za dini na kuzisajili upya kila baada ya miaka 5. Huu ni utaratibu mpya kabisa, ambao haujawahi kuwepo tokea nchi yetu ipate uhuru wake, miaka 60 iliyopita. Ni...
  13. K

    Je, hizi fedha anazotoa Mhe. Rais zinatoka kwenye fungu gani?

    Leo nimeshuhudia kupitia luninga Mhe. Waziri Mkuu akihabarisha umma wa Watanzania kuwa Mhe. Rais ameridhia kutoa Tshs.300 billioni kwaajili ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali pale Dodoma ikiwa ni pamoja na Ikulu. Sasa swali langu:- Bunge lina utaratibu wa kujadili bajeti na kuipitisha...
  14. Daniel Chongolo akemea watendaji wa Serikali wanaochelewesha kuidhinisha fedha za miradi ya maendeleo nchini

    DANIEL CHONGOLO, KATIBU MKUU WA CCM CHONGOLO AKEMEA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOCHELEWESHA KUIDHINISHA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kukagua miradi na...
  15. N

    Wazambia nao wafungiwa Mitandao ya Kijamii na Serikali baada ya Uchaguzi Mkuu

    Imekuwa ni kawaida sasa kwa nchi nyingi za kiafrika kuwanyima watu wake uwezo wa kupata habari kupitia mitandao ya kijamii kama vile Whatsapp, Facebook, TWITTER n.k hasa baada ya kipindi cha uchaguzi mkuu, Tukio hili limewakumba jana wananchi wa Zambia baada ya kujikuta mabando yao hayana. ---...
  16. Katibu Mkuu wa CCM atoa maelekezo matatu mahususi kwa Viongozi na Watendaji wa Serikali nchini

    TAARIFA KWA UMMA KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAELEKEZO MATATU MAHUSUSI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA SERIKALI NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, akiwa katika ziara ya kukagua miradi na shughuli za...
  17. Ushauri kwa Serikali: Kupima COVID-19 iwe bure baada ya hapo ndio mtu akachome chanjo

    Huu ni ushauri mkubwa kwa serikali: Kitaalamu chanjo inatakiwa uchanjwe kama hauna vimelea vya ugonjwa husika. Sasa iweje watu wanaenda wanachoma chanjo tu bila kujua status zao? Je, Serikali hamuoni kuwa hili ni tatizo? Hata vifo vinavyotokea kwa walichoma chanjo vinachangiwa na tatizo hili...
  18. Serikali kujenga vituo 3 vya michezo

    Hii ni mpya. Serikali imesema itajenga vituo 3 vya michezo kwenye mikoa ya Geita, Dodoma na Dar es Salaam ambapo kila kituo kitagharimu bil.3. Aidha Serikali itajenga kituo cha umahili wa michezo kwenye chuo cha michezo Malya kitakachoghadia kiasi cha 1.5 bln. Binafsi sina tatizo na vituo...
  19. K

    Tozo kupitia miamala ya simu ikiendelea itakuja kuigharimu Serikali ya CCM

    Wananchi wametoa malalamiko yao kwa Serikali lakini bado kimya, watu wengi wameacha biashara ya miamala ya simu na hii inapelekea familia zao kupata shida, hata malengo ya Serikali yaliyotarajiwa hayatafikiwa kwa sababu watu wengi wameacha kutumia huduma hii. Mfano mimi leo nimetuma Tshs.1m/=...
  20. K

    Viongozi tuzitambue vyema hali za wananchi wetu ili kuweza kufanya maamuzi yasiyo kandamizi

    Ninaandika makala hii baada ya kilio cha wanachi kutokana na maamuzi mbalimbali yanayofanywa na serikali. Baada ya kutoka kwa bei mpya za vifurushi kwenye huduma za maongezi na intaneti kilio kikubwa cha wanachi kilizuka . Baadae imekuja makato kwenye miamala ya pesa kilio kingine kikazuka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…