Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,264
- 7,400
Huu ni ushauri mkubwa kwa serikali:
Kitaalamu chanjo inatakiwa uchanjwe kama hauna vimelea vya ugonjwa husika.
Sasa iweje watu wanaenda wanachoma chanjo tu bila kujua status zao? Je, Serikali hamuoni kuwa hili ni tatizo?
Hata vifo vinavyotokea kwa walichoma chanjo vinachangiwa na tatizo hili la kumchanja mtu bila kumpima kama ana CORONA au hana.
Naiomba serikali sikivu ya Mama iangalie hili! watu wanakufa sana na hii ndio sababu kuu.