serikali

  1. S

    Nguvu ya Umma - hisia zilichomokea kwa sakata la Wamachinga na Serikali

    Kweli Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga, kama mlifuatilia fumuko la mvutano kati ya Serikali na wananchi (Wamachinga), Kuna kitu ikiwa ni wenye akili mmekisoma na faida zilizopatikana ni serikali kurudi na kunywea na kuwasikia viongozi wao wakisema....endeleeni...bakieni....malizeni kuorodhesha...
  2. Mzee makoti

    Profesa Assad ahoji usiri wa uuzaji Nyumba za Serikali

    Sakata la uuzaji wa nyumba za Serikali limeibuliwa upya na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Assad akikosoa utaratibu uliotumika kuziuza. Dodoma. Utaratibu uliotumika kuuza nyumba za Serikali umekosolewa kutokana na kutolihusisha Bunge kama chombo cha...
  3. beth

    Rais Samia: Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki, akitoa rai kwa Mahakama kuendelea kutoka Hukumu na Maamuzi ya Haki kwa Watu wote. Akizungumza leo Oktoba 28, 2021 amesema, "Serikali itaendelea kuelimisha Jamii juu ya...
  4. peno hasegawa

    Serikali iunde Taasisi ya kutunga na kusahihisha Mitihani ya Vyuo vya elimu ya Juu, Rushwa ya Ngono Imeshika kasi

    Elimu ya Tanzania imeanza kuzalisha wasomi wa aina yake. Ngono kwenye vyuo vya elimu ya juu imesjika kasi na inaxalisha wasomo wa hovyo. Serikali iunde taasisi mfano NECTA itakayo tunga na kusimamia matokeo ya wanachuo nchi nzima. Mitihani ya darasa la nne, darasa la saba, kidato cha pili...
  5. THE BIG SHOW

    Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

    Friends and Our Enemies... Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni...
  6. Frumence M Kyauke

    Mjue Eugene Maganga mhusika wa njama za kuipindua Serikali ya Rais Julius Nyerere Januari 9, 1982

    MJUE EUGENE MAGANGA MHUSIKA WA NJAMA ZA KUIPINDUA SERIKALI YA RAIS JULIUS NYERERE Jan 9, 1982. "Tunajutia tu kushindwa mapinduzi, lakini hatujutii kupanga mapinduzi" -Capt. Eugene Maganga. JAN 9, 1982 Palitokea jaribio la kuipindua serikali ya Rais Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa...
  7. Replica

    Prof. Assad: Kinachokwamisha ukaguzi sekta ya madini ni kukosa umiliki wa Serikali

    "Mamlaka ya CAG ni kukagua taasisi za Serikali. Kitu kinachokwamisha ukaguzi wa Sekta yetu ya Madini ni makampuni yanayochimba madini nchini kumilikiwa na wageni, hivyo hakuna umiliki wa Serikali," Prof Assad, aliyekuwa CAG Wiki ya asasi za kiraia
  8. Miss Zomboko

    Serikali imepanga kuchanja watu milioni 10 kufikia mwishoni mwa mwaka huu

    Serikali imepanga kuchanja watu milioni 10 kufikia mwishoni mwa mwaka huu.Takwimu za wizara ya Afya zinaonyesha kuwa jumla ya watu 5,029,901 wamepewa chanjo. Kati yao, 3,545,060 wamepata dozi moja huku 1,484,841 wakiwa wamepata dozi zote mbili. Watu 1,012,457 wamepata dozi ya kwanza ya chanjo...
  9. GUSSIE

    Siasa za mishahara minono kwenye taasisi za Serikali zinavyoharibu ndoto za vijana wengi wa Kitanzania

    Wanabodi, vijana badala ya kufikiria maarifa ili waweze kuendeleza wapatacho wao wanawaza mishahara minono kwenye taasisi za kiserikali ambazo Kiuhalisia mishahara hiyo minono haipo kwa vijana wanaoanza kazi. Maneno ya wanasiasa majukwaani kutamka mishahara ya wakurugenzi(Directors) wa...
  10. Stephano Mgendanyi

    Ridhiwani Kikwete aishukuru Serikali ya Awamu ya 6 kwa kumwaga mabilioni Halmashauri ya Chalinze

    Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete Aishukuru Serikali ya Awamu ya 6 Kwa Kumwaga Mabilioni Halmashauri ya Chalinze Mgawanyo wa fedha toka IMF Tshs. Trilioni 1.3. Halmashauri ya Chalinze tumepewa Tshs. Bilioni 1.6 ambazo zimepelekwa kwenye sekta ya Elimu na X-ray kwa ajili ya huduma za...
  11. Halaiser

    Serikali iangalie tatizo la ukosefu wa ajira kwa umakini

    Wasalam wanajamvi. Kwa miaka kadhaa sasa kumekuwa na tatizo la ajira Kwa wahitimu wa vyuo mbali mbali. Wengi wa vijana hao wamekuwa wakijitolea kwenye Idara na Taasisi mbali mbali za Serikali Kwa mkataba wa miezi/ mwaka mmoja. Wamekuwa wakiahidiwa na watendaji wa maeneo hayo kuwa vibali vya...
  12. beth

    Mali: Serikali ya Mpito yamfukuza Mwakilishi wa ECOWAS

    Serikali ya Mpito Nchini Mali imetoa saa 72 kwa Mwakilishi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) kuondoka Nchini humo kufuatia vitendo visivyoendana na hadhi yake. ECOWAS imekuwa ikishinikiza Mali kuheshimu ahadi yake ya kufanya uchaguzi wa Urais na Wabunge Februari 2022...
  13. Bushmamy

    Neema Village, Mzungu anayebadilisha maisha ya Wakina Mama Arusha, serikali yetu inakwama wapi?

    Poleni na Majukumu, Serikali yetu kwa sasa inapitia katika kipindi kigumu cha tatizo la ajira rasmi kwa vijana na watu wazima pia. Pamoja na Yote Serikali imekuwa ikisisitiza vijana wajiajiri bila kuwawezesha ni kwa namna gani vijana waweze kujiajiri. Jijini Arusha mzungu mmoja aitwae Michael...
  14. M

    Nashauri serikali ifungie utengenezaji na usambazaji wa Filamu za Kibongo hadi watakapojitambua

    Yaani ni hivyo tu jamani, hakuna kitu kinakera (hata kama huziangalii) kama hizi filamu za bongo. Nahisi kabisa kuwa wanatuaibisha hata nje ya nchi (kwa mataifa jirani wanao angalia kazi zao) Filamu stori haieleweki wanaigiza ili mradi tu, Unaweza kusema labda bajeti ya uandaaji ni kubwa...
  15. YEHODAYA

    Serikali iwakopeshe wanachuo pesa za ada, hizo Ada vyuo ndio vinazitegemea kujiendesha

    Kwanza nishukuru Serikali kwa kuongeza mzunguko wa pesa mikoa mbalimbali kwa kuwakopesha wanafunzi pesa za chakula na malazi kwenye vyuo vilivyoko nchi nzima. Pesa hizo wakizipata watazitumia huko wanakoenda kwa kulipia malazi, chakula nk hivyo kuongeza mzunguko wa pesa eneo husika kwa hela...
  16. Miss Zomboko

    Mbunge ashauri Serikali kuweka mtaala wa kufundisha Watoto kalenda ili kuzuia Mimba za Utotoni

    Dodoma. Mbunge wa Kigoma Kusini nchini Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nashon Bidyangunze ameshauri Serikali kuweka mtaala ambao utawafundisha watoto kufahamu vyema kalenda. Nashoni ameyasema hayo Oktoba 24, 2021 wakati akizungumza katika semina ya kuangalia namna bora ya kuboresha...
  17. K

    Rais Samia, nasikitishwa na mateso anayopitia Mbowe katika utawala wako

    Binafsi mimi ni kijana mdogo sana. Naomba nisema Mh. Rais Samia shikamoo. Mh. Rais nasikitishwa na mateso anayopitia mzee Mbowe kwa baraka za utawala wako, sikudhani wewe ungekuja kuongeza mikanganyiko ya kisiasa nchini. Naomba ujiulize maswali yafuatayo kisha ufanye yakupendezayo mama angu...
  18. U

    Ni wakati muafaka kwa Serikali kumpangia Maxence Melo majukumu makubwa ya Kitaifa kwa Maslahi mapana ya nchi yetu

    Ndugu zangu wa JF Naongea kwa upendo na uzalendo mkubwa kwa nchi yangu ya Tanzania Namzunguzia Ndg Maxence Melo Huu ni wakati muafaka kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumteua na kumpangia Maxence Melo majukumu makubwa ya Kitaifa. Amekuwa na Utumishi uliotukuka akiwa Mtendaji...
  19. BAK

    Wahaini waliotaka kuipindua Serikali

    MIAKA 20 BILA YA NYERERE: Wahaini wa 1968 walivyoadhibiwa-7 WEDNESDAY OCTOBER 09 2019 Oscar kambona Summary Kama Tanganyika ilikuwa tulivu tangu ilipopata uhuru wake, basi utulivu huo hauna tafsiri ile ile ambayo Watanzania wengi wanaifikiria. Ule mwongo wa kwanza tangu uhuru kulijitokeza...
  20. B

    Serikali kufuta zaidi ya kesi mia nne ndani ya miezi Saba nyingi za watuhumiwa wa uhujum uchumi,mahakama ina umuhimu gani nchini?

    Kesi nyingi zilizofunguliwa na awamu ya JPM zimefutwa, watuhumiwa wengi tulioambiwa walihujumu uchumi wakanyimwa dhamana wameachiwa kwa maelezo kwamba serikali haina umuhimu wakuendelea na kesi hizo. Awali tuliambiwa wanazungumza na DPP wanalipa lakini Leo hii hakuna anayezungumza na DPP Wala...
Back
Top Bottom