serikali

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye hamasa ya Tsh 1.4 Bilioni ya Serikali ya Rais Samia kwa Taifa Stars yafanikisha waende tu kutalii na Bombardier Madagascar wikiendi hii

    Tanzania ndio kwaheri World Cup 2022 atakaye songa mbele kwenye hili kundi ataamuliwa Kinshasa siku ya jumapili kati ya Congo DR na Benin. Atakayeshinda mechi hiyo ndio ataenda kwenye playoff na wakitoka sare Benin itafuzu kwenda playoff. Mechi ya Tanzania na Madagascar itakuwa ya kukamilisha...
  2. mgt software

    JamiiForums Tanzania Shangaa Serikali inavyoangaika sana na wachuuzi kuwatafutia mikopo wabaki mjini huku mamia ya vijana wakisota na ukame na hawana fidia

    Wana Jf, Serikali kama kawaida ya kupendelea mafundi kama haijui, wale walio kijijini ndio wapiga kura aswa kuliko hawa wachuuzi wa mjini. Serikali ipo radhi kuona nchi inakabiliwa na ukame mkubwa na wakulima vijana hawapati fidia ya vitu walivyovipoteza wakati wanapambania maisha yao na ya...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tanga: Milioni 21 waliyoiomba Wazee kwa ajili ya Tambiko yakwamisha Ujenzi wa Barabara

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kijiji cha Kwa Msisi Mkoani Tanga ambapo imeombwa kwanza hela ya Tambiko mil 21 ili ujenzi wa barabara unaohusisha ukataji wa miti uendelee. Tambiko la pili litafanyika baada ya barabara hiyo kukamilika ambapo wazee watafanya dua maalum. Juhudi za Mkuu wa Wilaya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi "Rais kafanya" au "Serikali imefanya"?

    Maneno haya yanamaana sawa kimantiki " Rais kafanya X " " Serikali imefanya Y " au " " Tumefanya Z " tumia lolote utakuwa sahihi tu. Kunabaadhi ya wenzetu wameishiwa hoja hasa huku mitandaoni kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakipinga kwa nguvu zote kutumika kwa sentesi " Rais X kafanya...
  5. MakinikiA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali inaahidi nini endapo Taifa stars itashinda?

    Sote tutambue kwamba penye motisha mtu anapambana kikwelikweli je serikali inaweza ikanena lolote kwa vjana hata bodaboda mojamoja au mabati au cementi na hakika watapambana mpira kwa nguvu zote Mimi nahahidi mfuko mmoja wa cementi Kila mchezaji
  6. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Serikali isitishe ununuzi wa ndege mpya kwa sasa

    Kutokana na janga la korona, uendeshaji wa ndege ni kati ya biashara ngumu sana ulimwengni kwa sasa kwani mashirika mengi tena yenye nguvu yamekuwa yakipata hasara ya mabilioni ya Pesa Kutokana na hii changamoto, nafikiri ni wakati sasa wa Bunge kuishauri serikali isitishe maramoja ununuzi wa...
  7. 2019

    JamiiForums Tanzania Asante serikali kwa kuwapanga wamachinga, lakini je umejipanga kukabiliana na uhalifu mpya mtaani?

    Kwanza nampongeza serikali kwa uamuzi iliofanya wa kuweka miji safi na kuona mbele. Ni jambo jema sana ila kwenye kuondoa vibanda pia nimeona hakuna fair kabisa. Baada ya mpango huo je wale watakaorudi mtaani serikali itachukua hatua gani kama uhalifu ukiongezeka? Je imejipanga kukabiliana...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mnapoongozwa na Dola Ovu

    Mhalifu au mwovu huweza kuwa mtu binafsi, serikali/dola, taasisi, kikundi rasmi au kisicho rasmi. Uovu mbaya kabisa ni ule wa dola maana huo unafanywa dhidi ya wananchi ambao kihalisia walistahili kuheshimiwa na kutendewa haki. Wanaosababisha dola iwe ovu ni watawala waovu. Na bahati mbaya...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Namna ccm inavyotia majaribuni mihimili mingine ya serikali. (Our governing system is tested)

    Imagine kiongozi wa kisiasa (wakati wa magufuli) anaamrisha wizi wa kura hapa ni kuvijaribu vyombo vya ulinzi na usalama vilinde dhuluma. Rejea uchaguzi wa 2020. The states security apparatus were tested . Kesi ya mbowe Kama kweli lengo ni kumfunga kwa gharama yoyote hata iweje Basi mahakama...
  10. J33

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inamkalia kimya Mr Kuku anavyoanzisha utapeli mpya kwa Watanzania?

    Suala la Mr Kuku na utapeli aliyowafanyoa Watanzania unajulikana wazi na imejadiliwa sana hapa JamiiForums. Huyu jamaa alikamatwa na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi na baadae akakiri na kuipa Serikali bilioni tano ajabu ni kwamba baada ya kutoka mahabusu aliendelea na biashara ile ile na...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu Bunge vs Serikali

  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati hiko Chuo cha Uongozi cha Polepole, kilisajiliwa lini na kina maudhui gani kwa Taifa?

    Ninaomba serikali ya mama Samia kuacha kukaa kimya na hicho chuo ambacho hakipo kisharia kilichoanzishwa na Polepole, chuo hicho ambacho kinafanya kazi kimtandao na makongamano nchi nzima na tayari kinawanafunzi kadhaa minaona kinakwenda kutugawa watanzania. Ndugu huyu ambaye alianzisha chuo...
  13. karv

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini mchango wa serikali katika kuinua mchezo wa mpira wa miguu nchini?

    Habari wana JF leo naomba nizungumze kitu ambacho binafsi kinanikera sana na huwa sikielewagi Kitu chenyewe ni kuhusu muitikio wa serikali katika kuzisapoti timu zetu za taifa hasa mpira wa miguu Kwanza naomba kurudi nyuma kidogo wakati wa utawala wa rais Kikwete aliajiri makocha wa timu za...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania D.light ni kampuni ya utapeli na bado Serikali inafumbua macho

    Hii kampuni ya D.light ilikuja na mfumo wa solar ambayo ina kifaa maalumu cha kulipa ili kuweza kupata huduma ya umeme. Baadae wakaja na simu ambazo unalipa kwa siku,wiki,mwezi ikiambatana na kianzio kulingana na simu ilivo au kifaa chochote. Hii kampuni sikuweza kuifahamu vizuri ila nimekuja...
  15. BAK

    JamiiForums Tanzania Kukiri kwa viongozi wa CCM kuhusu Maalim Seif kutufumbue macho kuhusu kinachoendelea kwa Wapinzani nchini

    UKIRI WA VIONGOZI WA CCM NA SERIKALI YAKE KUHUSU MAALIM SEIF, UTUFUMBUE MACHO KUHUSU YANAYOENDELEA KWA FREEMAN MBOWE NA WAPINZANI WENGINE! Tulikuwa Zanzibar kuhudhuria Uzinduzi wa Maalim Seif Foundation. Tuliwasikiliza vizuri viongozi waandamizi wa CCM na Serikali yake, wastaafu na waliopo...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Serikali ieleze mnunuzi wa korosho inalipia kiasi gani ili kupata bei halisi

    Katika hali ya wakulima kulalamika juu ya bei ndogo ya kuuzia korosho, mkulima awekwe wazi kuwa kiasi kungine amelipia viatilifu, hili hesabu yake ikae sawa. Mtindo wa kugawa viatilifu bure usirudiwe tena, kwa sababu haziendani na kiasi mkulima halisi anacholipia, pia ugawaji hauzingatii...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Nini vipaumbele vya Serikali ya awamu ya sita?

    Nimekuwa nikifuatilia Hotuba za Rais kila kukicha ila sijaelewa vipaumbele vya serikali ya awamu ya sita. Mara madarasa, mara zahanati, mara kwenda ulaya. Kwa ufupi ninaona kwama tumepoteza uelekeo
  18. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati suala la ulevi Moshi Mjini

    Pamoja na kwamba tuna serikali isiyofuata utawala wa kisheria lakini Sina budi kutoa wito kuwa unywaji wa pombe Moshi umevuka mipaka yani si wazee si watoto unakuta wote wanalewa halafu bila kuzingatia muda wa kufungua bar. Ajabu zaidi mkoa huu bar zinafunguliwa asubuhi Sawa na mtu anayeuza...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Siungi mkono Serikali kuwatafutia maeneo wamachinga. Hawa ni wahalifu walipaswa kuchukuliwa hatua

    Kwanni serikali imeamua kubeba mzigo wa kuwatafutia maeneo wamachinga? Hawa wanaojiita wamachinga ni wahalifu maana wamekiuka Sheria na taratibu mbalimbali za nchi kwa kuamua kujenga mabanda barabarani ama kupanga bidhaa mbele ya maduka ya wafanyabiashara. Nilitegemea watu hawa, mmoja mmoja...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema haijarudisha walioghushi vyeti

    SERIKALI YASISITIZA KUTOWAREJESHA KWENYE UTUMISHI WA UMMA WATUMISHI 15, 538 WALIOGHUSHI VYETI Serikali imesisitiza kutowarejesha kwenye Utumishi wa Umma Watumishi 15,538 walioondolewa kazini kwa kughushi vyeti au kutoa taarifa za uongo katika kumbukumbu zao rasmi za kiutumishi kuwa wana elimu...
Back
Top Bottom