Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,290 Reaction score 5,767 Jun 6, 2022 #1 Mtu akitaka kutumia ambulance ya serikali kusafirishia mgonjwa kwenda Hospitali ya Serikali anatakiwa kufuata utaratibu gani?
Mtu akitaka kutumia ambulance ya serikali kusafirishia mgonjwa kwenda Hospitali ya Serikali anatakiwa kufuata utaratibu gani?
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,534 Jun 6, 2022 #2 Mparee2 said: Nikitaka kutumia ambulance kusafirishia mgonjwa natakiwa kufuata utaratibu gani? Click to expand... andaa hela
Mparee2 said: Nikitaka kutumia ambulance kusafirishia mgonjwa natakiwa kufuata utaratibu gani? Click to expand... andaa hela
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,409 Reaction score 40,088 Jun 6, 2022 #3 Mparee2 said: Mtu akitaka kutumia ambulance ya serikali kusafirishia mgonjwa kwenda Hospitali ya Serikali anatakiwa kufuata utaratibu gani? Click to expand... Uwe na Kadi ya Chama
Mparee2 said: Mtu akitaka kutumia ambulance ya serikali kusafirishia mgonjwa kwenda Hospitali ya Serikali anatakiwa kufuata utaratibu gani? Click to expand... Uwe na Kadi ya Chama
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 45,941 Reaction score 136,670 Jun 6, 2022 #4 Andaa tu hela ya mafuta, na pia mgonjwa wako akidhi kweli vigezo vumya kusafirishwa kwa hiyo ambulance.
Andaa tu hela ya mafuta, na pia mgonjwa wako akidhi kweli vigezo vumya kusafirishwa kwa hiyo ambulance.