Tuliwambia hawa wazalendo wa Africa waliopewa jina "waasi" sio kweli kama tunavyoaminishwa
Sisi tunaona huruma kuwa waasi wameteka mitaa, kumbe wananchi wa Congo DR ndo wanafanya sherehe asubuhi na jioni
Hii ni ajabu
Tukumbuke mapema wiki hii wazalendo wa M23 walitwaa mji wa Uvra Kwa...
Wananchi zaidi ya elfu 10 wamekufa serikali kama mzazi ilitakiwa kuwa karibu na wananchi wake angalau kuwafariji hata kinafiki tu, badala yake inawakejeri na kuwafungulia kesi za uhaini.
OK, if that is the case, hatutaki kusia vilio na wala kuwalaumu wananchi kuwa sio wazalendo, pindi...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema kwa sasa nauli ya mpito kwa mabasi ya mwendokasi kwa baranara ya BRT 1 Kimara, Morocco pamoja na ile ya BRT 2 inayohusisha Mbagala hadi Kivukoni itakuwa ni shilingi elfu moja baada ya mapendekezo yaliyoletwa na DART.
Akizungumza baada ya...
Kuusema ukweli wa kimungu, Rais Samia anapigwa vibaya mnoooooo!
Moja ya kitu alichofanikiwa kukifanya kwa ufasaha ni kuwatishia wabadhilifu hata kama walimpiga lakini walio kuwa wapigaji walipungua kwa kiasi kikubwa sana.
Awamu ya nyuma ya utawala wa Samia aliyekuwa waziri mkuu alikuwa na...
Matukio Tanzania yanatisha sana. Sehemu ambayo iliona tukio la wavaa soski na bunduki tena ni serikali wakijua kuwa umeonesha walichokifanya basi umekwenda na maji.
Kwa sasa kabla ya kwenda kuteka watu wanachunguza nyumba za majirani kama zina CCTV na wakijua na wewe unakuwa mmoja wa kesi zao.
Wanadai kuna Polisi waliouwawa katika vurugu za Oct 29. Kitu cha ajabu hatujaona wala kusikia serikali na CCM wakitoa mkono wa pole kwa marehemu hao.
Pia kuna wananchi kibao wamefariki katika vurugu za Oct 29. Baadhi yao walikuwa mashabiki wakubwa wa Rais Samia na CCM. Mfano mzuri ni Sharifu...
Baada ya Marekani kuiwekea Tanzania vikwazo, Partial Restrictions, wafuatao ndio watakaoathirika.
Partial Restrictions ni marufuku ya viza au wakati mwingine (freeze of property) ambayo serikali ya Marekani huweka kwa watu mahususi badala ya kupiga marufuku au vikwazo vya jumla.
Vikwazo...
Tanzania kuna mahali kuna shida na hizi shida sio kwao kwa watawala tuliopo nao.
Ukusanyaji wa pesa ungekuwa na mpangilio mzuri hakuna mtu angeshindwa kuchangia ila mfumo uliopo sio mzuri.
Fikiria kama serikali ingeweza kuweka bima ya mwezi 2000 hata chokorohaa na wasio jiweza wangelipa maana...
Serikali ya mama yenu Samia imeharibu nchi yetu na kuwaacha wengi na hasira na majozi hii haikubariki kamwe.
Anasingizia watu kesi za uongo, anaweseka gerezani watu wazuri, anauwa watu wazuri, anateka watu wazuri huu ni wehu ni wazi sasa nchi imevamiwa na shetani
Baadhi ya watu wameamuwa...
Picha anayoonyesha Kombo baada ya kumbabatiza Katiba Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayosema ni ofisini kwa Katibu Mkuu, siyo kweli. HAIKUWA OFISINI kwa maana nyingi, hakuna, Mkutano rasmi wa Kombo na Katibu Mkuu uliofanyika hili alipokea document tu
Mazingira ya ofisi za Katibu Mkuu wa UN ni...
Embu muangalie waungwana...Kuna vitu vingine hata MABEBERU watakua wanatucheka na kutudharau sana na kutuita we are so poor..
Kuna vitu jamani mbona vinafanyika tukiamua? Haya basi mnakula mapesa ila tukumbukeni na wananchi , tunakosa hata maji ya kutawaza, wakati mwingine mtu unabana mavi mda...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Manzese wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wamekosoa vikali kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuhusu madai ya kutaka Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 urudiwe wakisema kauli hiyo inapaswa kupuuzwa kwani hakuna...
Kauli ya Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu kumuaga rasmi Bw. Mfaume Ramadhan baada ya miaka 39 ya utumishi wa umma imeibua mjadala mpana wenye maswali mazito kuliko majibu. Miaka thelathini na tisa si wiki mbili, wala si ajira ya muda mfupi. Ni karibu maisha yote ya mtu—ujana, utu...
Maana ni wazi ukitazama kwa umakini body language, facial expressions and tones za viongozi wa TEC hasa rais wa baraza hilo na katibu mkuu wake, utabaini na kukubaliana na mimi kwamba viongozi hawa kabisa hawana hoja za msingi, wana chuki ya kiwango cha juu mno na dini ya viongozi wakuu wa Taifa...
Inavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida
Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya kila Mwezi. Ajabu leo ni zaidi ya siku nne hiyo pesa hawajalipwa
Je, ni rasmi fuko la Hazina...
Kamanda Murilo leo ametangaza kukamata watu wawili, mtanzania na mchina kwa kuingiza vifaa na kutangaza kutoa huduma ya internet ya starlink. Polisi wamesema wameuza vifaa hivyo bila kuidhinishwa na TCRA.
Naona kama mitandao yetu wanaipiga pini starlink by fire, by force 😅 Kwanini Serikali...
Duniani kila miaka inavyokwenda fursa zinapotea zaidi kwasababu ya kukua kwa teknolojia na ongezeko la watu. miaka ya 70-80 fresh form 4 leaver alikuwa anaajiriwa kama muhasibu. Vipi sasa hivi?
Miaka ya 2000 Niliona Darasa la saba wenye angalau leseni ya udereva hata bila cheti au wenye cheti...
Hivi wana Jamiiforums hamjashtuka au mpaka tuwape code.
Ni hivi labda mtanielewa, kwamba hawa watu wana magroup yao kama wanachama na viongozi wao.
wanajadiliana kisha kuna mmoja analeta wazo au mada inapigiwa chapuo kisha ina pelekwa mitandaoni ijalishi kama ana media,msanii, account zao feki...
Hawa wanaotetea serikali hii ukichunguza sana utafahamu nini kipo nyuma ya pazia.
angalia hapa
Angalia hapa unajua kampeni ya kuleta wasanii na yeye kujifanya kama marehemu ruge.
Mimi nawaambia kila siku ukiona utajiri wa mtu gafla ujue nyuma ni mali za watu hizo angalia hapa mwenye mali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.