serikali

  1. Foffana

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ipi kati ya Deni la Taifa na Deni la serikali wasomi tupeni elimu

    Tupeni tofauti yake na sisi tuwape elimu tulio nao mitaani huku Manyanza zitto junior MALCOM LUMUMBA Kiranga
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukiona mtu anatetea sana Serikali hii, jua kuna asali ilipita kwake. Mfano Majizzo

    Hawa wanaotetea serikali hii ukichunguza sana utafahamu nini kipo nyuma ya pazia. angalia hapa Angalia hapa unajua kampeni ya kuleta wasanii na yeye kujifanya kama marehemu ruge. Mimi nawaambia kila siku ukiona utajiri wa mtu gafla ujue nyuma ni mali za watu hizo angalia hapa mwenye mali.
  3. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Serikali acheni kumshawishi sana Lissu, ashawaambia hataki Maridhiano na Samia

    Kwa mwezi mzima Lissu hajaletwa mahakamani, unaweza Dhani ni bahati mbaya but No. Kwa muda Sasa serikali imekuwa kwenye negotiations na Lissu Ili akubali kushirikiana nao. Toka amewekwa gerezani Serikali imetuma team 4 na zote zimegonga mwamba. Baada ya Lissu kukataa serikali wakampa shariti...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM mmetengeneza mazingira ya utendaji ambayo kesho yakiwakuta hakuna lawama.

    Nime msikiliza waziri mkuu mwiguru japo uchaguzi mliofanya ni haramu na wadamu. kuwa unasimamia maadili ambayo kampuni ya Ester ya mabasi sio yangu ila jina la kampuni ni la mke wangu ambaye ni neema. Kwa serikali ya CCM ambayo sasa inawatafuna wenyewe sasa haya ni mambo ambayo muwezi kufanya...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Bulgaria yajiuzulu baada ya wananchi kuandamana kupinga Rushwa

    Serikali ya Waziri Mkuu Rosen Zhelyazkov imejiuzulu baada ya maelfu ya waandamanaji kujitokeza mitaani katika miji mbalimbali nchini Bulgaria na kujaza eneo la katikati ya mji mkuu, Sofia, Jumatano usiku. Hatua hiyo ya kushangaza imekuja saa chache kabla ya kura ya kutokuwa na imani na serikali...
  6. mager6

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kutotoka nje D9 kwa tamko kwa Umma sio ushindi wa dola ni kashfa kwa serikali

    Wale waliotaka kuandamana Gz waliomba waandamane Kwa amani. Wangeruhusiwa ingesaidia kujua wanataka Nini. Kwa namna walivyo nificha siku Ile ni sahihi kusema watatafuta Plan C. Ikumbukwe walikuwa na kundi nyuma yao tuliite anonymous mbinu zote za kuchoma miundombinu na Mali za waliowahisi...
  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA yatangaza kutoitambua Serikali ya Tanzania

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kutoitambua serikali ya Tanzania iliyozaliwa na uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, ikidai kuwa uchaguzi huo uligubikwa na ukiukwaji wa haki, sheria na misingi ya demokrasia. Katika taarifa yao kwa umma iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Reforms zinahitajika kwenye baadhi ya Wizara za Serikali

    Inafikirisha kuona baadhi ya tasisi za serikali kuwa katika wizara ambazo siyo sahihi inakuwaje TEMESA iko wizara ya Ujenzi? Ina maana mamlaka haizioni, nadhani wizara ya Ujenzi ungekuwa na taasisi ambazo zinahusika na ishu za Ujenzi lakini wizara yetu ya Ujenzi imejikita kwenye barabara tena...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA: Tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia

    "Chadema na watanzania tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia itakayowekwa chini ya uangalizi wa taasisi huru za kimataifa kwa kuwa serikali haina uhalali wowote CHADEMA inataka kuanzishwa kwa serikali ya mpito " Mh. John Heche akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 11,2025...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Serikali haramu inang'ang'ania madaraka kwa sababu wanajua washaharibu nchi wakitoka wataburuzwa

    Serikali haramu imesha anguka na kushindwa kuifanya nchi ya kipumbavu wanang'ang'ania madaraka wanajua washaharibu nchi wakitoka wataburuzwa. Wakitoka wote wahusika wakuu ikiwemo wakuu wa majeshi wataburuzwa sana wanatamani wachimbe shimo wajifukie wakimbie mbali. sasa hawa sisi tupo nao sana...
  11. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo utulivu D9 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi?

    Wakuu, Kutofanyika kwa maandamano na kuwepo kwa hali ya utulivi na amani nchini Tanzania siku ya tarehe 9 Disemba 2025 ni nani anapaswa kupongezwa, Serikali au wananchi ?
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa, bila serikali CCM imekufa!

    Kwa mtaji wa matukio ya vifo vilivyotokea, utekaji wa wananchi na mambo mengine yasiyo ya kistaarabu, CCM imekuwa kimya na haina ubavu wa kukemea hayo. Uchaguzi wenye mashaka nao hakuna mwana CCM anaweza kuweka kifua mbele kuwa ameshinda. Hapa inaelekea ni serikali ilikuwa inajipigia debe...
  13. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Nguvu kuubwa akili kiduchu, serikali ijichunguze sana

    Kwa vita ipi na mapambano yapi kutumia nguvu yote hii kulipia maroboti yaje kujaza comment session, kama mtu ni mzuri na ni mwema haihitaji hata kutumia nguvu kubwa kuelezea uzuri wake. PLO Lumumba aliskika akisema. If you do something and you spent an hour explaining what you have done then you...
  14. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Inawezekana hasara ya mapato ya Serikali kwa D9 ni kubwa sana kuliko ile ya MO29

    Majiji yote yalisimama. Hakukuwa na biashara yoyote ya maana, kuanzia maduka, usafiri na kumbi za starehe. Loss kubwa kwa MO29 ilitokana na kuzima internet, lakini D9 kila kitu kilikuwa paralyzed. Upo uwezekano mkubwa sana ya kwamba serikali imepoteza mapato mengi sana jana kuliko kwenye MO29...
  15. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiuhalisia wananchi wamefanikiwa zaidi kuliko serikali

    Kitendo cha serikali kutumia nguvu kubwa kuminya uhuru wa watu kuandamana na badala yake watu wametii na kuamua kukaa ndani, hapo kiuhalisi walioshinda ni wale walioamua kukaa kimya . Ni sawa unagombana na mtu unajimaliza kwa kila kitu, unamsukuma mtu, una mdhihaki, una mtusi lakini mtu huyo...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Hakuna maandamano askari wako mitaani, video zinazotumika ni za zamani

    Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo. Hiyo ni kwa mujibu wa...
  17. Keynez

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Serikali kuzuia maandamano itaifilisi nchi

    Kuna watu wanatoa maneno ya kejeli kuhusiana na ukimya uliotawala nchi nzima siku ya leo 09/12/2025. Watu wasichojua ni gharama kubwa ambazo serikali na vyombo vyake imeingia siku ya leo kuendesha operation yake. Kuanzia gharama za kusafirisha watu na vifaa, gharama za malazi ambapo maaskari...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda: Serikali iwachukulie hatua wanaoharibu amani

    Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda wa Tawi la CBT wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, Amiri Ali, ameitaka Serikali kuwachukulia hatua za kisheria watu wote wanaohamasisha na kushiriki vitendo vya uvunjifu wa amani kama sehemu ya kuimarisha amani na utulivu nchini. Ali ameeleza hayo leo...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa saa 4 asubuhi Serikali 3 : Wafuasi wa Mange 0. Hii ndiyo Tanzania isiyoyumbishwa na mtu yeyote

    Niliwaambia kuwa namna ya uendeshaji wa shuguli za ulinzi na usalama hapa Tanzania ni wa kipekee. Hakuna mtu ataipeleka pua yake barabarani leo au siku yoyote. Na atakayejitoa akili kufanya hivyo mama yake na dada zake watalia sana.
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum ukweli usemwe kufuta matukio sio kwamba serikali inawepanda mbona mumerudishwa kwenye VPN.

    Jana kuanzia saa 2 mbili usiku tarehee 8 December kuna mambo ya ajabu yalikuwepo ila tunajua ukiona sehemu moja jua na kote si mnasema watanzania ni wa moja. Vituo vya polisi kuanzia vidogo na vikubwa kila napo pita vilikuwa vimezimwa taa na wamjiweka gizani usiwaone na maarufu ya bangi...
Back
Top Bottom