serikali

  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Serikali Yatangaza Hatua Kufuatia Ripoti ya Tume

    kupitia ripoti ya tume hii Serikali itachukua hatua za haraka kama ifuatavyo 1. Itaunda tume ya marudhiano ikijumuisha wadau wote muhimu itakayosimamia na kuongoza majadiliano ili kuziba mianya na migawanyiko iliyopo na kurejesha umoja na mshikamano wa kitaifa 2. Tutatekeleza mapendekezo ya...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasisitiza ulipaji Kodi ya Ardhi kwa Wakati kuepusha usumbufu

    Serikali imewataka wamiliki wote wa ardhi nchini wakiwemo watu binafsi na taasisi zinazomiliki ardhi kuhakikisha zinalipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati, ili kuepusha usumbufu utakaotokana na hatua zitakazochukuliwa kwa wale watakaoshindwa kutekeleza wajibu huo. Akizungumza jijini Dodoma...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande ameshatuangusha, kwamba hakuna utekaji unaohusisha wa kisiasa na serikali?

    Wakuu, Imeisha hiyooooo! Kwamba utekaji wa kina polepole, soka na wenzake, mdude na wenzake ilikuwa ni mambo ya kijamii na masuala ya madeni au wamejipoteza. Ndo maana anaishiwa na pumzi akiwasilisha hiyo ripoti, si hata Mungu aingilie kati hapa hapa🙄🙄.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Michango Ofisi za Mtaa Taliani: Ni Sahihi?

    Mimi ni mdau kutoka chanika Buyuni-Dar es salaam. Sasa kuna utaratibu wa viongozi wanaohudumu ktk ofisi za serikali ya mtaa wa Taliani kata ya Buyuni kuwaomba michango(fedha) wananchi wanapoenda kutafuta huduma kwenye ofisi hizo kwamba wachangie ofisi. Je ni utaratibu ambao ni sahihi..?
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mpango wa Serikali kuendeleza upya maeneo ya Sinza unahitaji uwazi na uwajibikaji

    Natoa wito kwa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuuangalia kwa karibu mpango wa uendelezaji upya wa eneo la Sinza, Dar es Salaam, unaoratibiwa na Manispaa ya Ubungo, kutokana na kuwepo kwa viashiria vya shinikizo na ukosefu wa uwazi. Kwa muda sasa, wananchi wa Sinza tumekuwa...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Miaka yote Imeenda Bure?” Students wa KIM walia baada ya Serikali Kufunga Chuo na Kufuta Vyeti vyao

    Wadau, mambo ni mazito kwa maelfu ya students wa Kenya Institute of Management baada ya Technical and Vocational Education and Training Authority (TVETA) kuifungia kabisa na kufuta vyeti vyote vilivyotolewa kuanzia 2018 Hii si mchezo imagine umesoma miaka kadhaa, umelipa fees, umegraduate…...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Nyoka aliyekuwa anafugwa auawa baada ya kuleta taharuki Mavimba

    wa Kata ya Milola, Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Aloyce Andrew, kwa kushirikiana na wananchi wa kata hiyo, wamefanikiwa kumuua nyoka aliyekuwa akifugwa ambaye alisababisha taharuki kwa wakazi wa eneo la Mavimba, njia panda ya mnadani na wananchi wengine...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Madereva wa serikali naombeni ushauri hapa.

    Mwenzenu Mimi ndo natarajia kuanza veta lengo likiwa kupata cheti Cha mafunzo ya udereva hatimae nikamalizie na NIT.Lengo ni kuingia serikalini kupitia driving kwahivyo wale madereva wazoefu mlioko huko,wale mnaohusika na kada ya usafirishaji serikalini naombeni ushauri katika Hilo aidha...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kuelekea AFCON 2027, Ulega asema Serikali imejipanga kuhakikisha inakamilika kwa wakati

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameweka bayana dhamira ya Serikali ya kuhakikisha miradi ya barabara inayohudumia Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 inakamilika kwa wakati, akisisitiza kuwa maandalizi ya miundombinu ni kipaumbele cha juu katika kuhakikisha Tanzania inakuwa...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Serikali itaimarisha miundombinu ya Mara, Barabara na Uwanja wa Ndege

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa Serikali itaendelea kujenga na kukamilisha barabara zilizopo Mkoa wa Mara kwa kiwango cha lami, ili kufungua fursa za kiuchumi na kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji ndani ya mkoa huo na mikoa jirani. Pia soma ~ Barabara ya Tarime Mjini...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Tanga, Husna Sekiboko: Serikali ishughulike na wanaojiteka

    Mbunge wa Viti Maalum Tanga Husna Sekiboko - jana April 17 akichangia hotuba ya Wizara ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali isafishe eneo la Kata ya Nala - Dodoma litafaa kwa kuegesha magari

    Serikali isafishe eneo la Kata ya Nala iruhusu watu wafuate utaratibu mzuri na mpango mzuri zaidi wa watu 2000 wanaweza kupata kujiajiri, itapata mapato kwa maegesho kwa kila gari linaloingia, itapata kodi ya kila gari linalo lala ikijenga na vyoo na mabafu pia itapata hela. Dodoma Nala hamna...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa ‘Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa’ hatuoni nafasi zetu za ajira Serikalini

    Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma. Dukuduku langu ni kwamba kila zinapotangazwa nafasi mbalimbali Serikalini naona wanafuata zaidi wanasema uwe umesomea Utawala (Public Administration), je sisi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Daladala Mwanza wasitisha huduma wakisubiri kauli ya Serikali kupandisha nauli

    Zaidi ya Madereva 400 wa Daladala katika Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela, wamesitisha huduma kwa muda wakisubiri kauli ya serikali kuhusu upandishwaji wa nauli baada ya kupanda kwa bei ya mafuta. Soma pia LATRA: Kupanda kwa bei ya Mafuta sasa, hakuathiri Nauli Chanzo: ITV
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mapya ya Lissu gerezani, Serikali yaweka kigingi

    Mapya ya Lissu gerezani, Serikali yaweka kigingi Source. Gazeti la mwananchi mtandao Nimeshindwa kuipata story kamili baada ya website ya mwananchi kuweka tozo kwa kila anaetaka habari zake jambo ambalo ni KINYUME ZA MKATABA WA KIMATAIFA KUPATA HABARI WAKATI WOWOTE
  16. adriz

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali itoe ufafanizi kuhusu tetesi za mfumo wa uhamiaji KuCollapse maana kuna baadhi ya viashiria vipo

    Moja kwa moja. Juzi niliona Uzi wa member wa Jf ambaye amelelemika kuwa wiki nzima anarudishwa uhamiaji wakati wa kufuatilia passport anaambiwa kuwa Kuna Virus kwenye mfumo na data hazipo , kaambiwa atulie . Na Mimi mwenyewe ndugu zangu zaidi ya wawili wanasubiri Visa ya kwenda nchi Fulani...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iongeze Watumishi wa Afya, Wilaya ya Mlele, Kitengo cha Mionzi, kuna mtumishi mmoja tu

    Mimi ni Mwananchi kutoka Katavi Wilaya ya Mlele naomba Serikali iongeze Watumishi Idara ya Afya Kitengo cha Mionzi, kwani kuna Mtumishi mmoja tu naye anapitia changamoto za ajali ya mguu, hivyo Wananchi wanakosa huduma kwa wakati. Kibaya zaidi kuna Zahanati Inyonga B na Zahanati Ilunde na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Responded Machinjio ya Mji wa Tunduma (Songwe) kuna michezo ‘michafu’ ya uuzaji wa nyama

    Eneo la Machinjio ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe kuna Daktari wa Mifugo ambaye jukumu lake ni kukagua nyama baada ya ng’ombe kuchinjwa, katika ukaguzi wake amekuwa akiondoa sehemu anazodai kuwa hazifai kuliwa na binadamu. Anaondoa kwa malengo ya kuteketeza lakini badala yake...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Kenya: Serikali ya Tanzania inaniwinda sababu haipendi tunavyofanya

    Serikali ya Tanzania inaniwinda mimi binafsi, kwasababu haipendi tunafanya na tunasema ukweli, Serikali ile ya Tanzania ni ya kiimla haikuchaguliwa na Wananchi wa kweli, ni serikali ambayo imeiba kura na wakaua watu. Sisi kama Maskani tukiangazia wanatuwinda, wametutumia mpaka mademu...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuingilia Uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC): TOC ijiandae kufungiwa na IOC

    "Waacheni wananchi watoe yaliyomo vifuani mwao kwa uhuru. Kwa kufanya hivyo itatusaidia sisi kama Serikali kwa namna mbili; Kwanza, tutajua wananchi wetu wanafikiria nini kuhusu jambo fulani. Pili, itatusaidia sisi kama Serikali iwapo tumekosea tuweze kujisahihisha na kuendelea kuwakelea...
Back
Top Bottom