Ukisikiliza viongozi wa serikali kila kona ya nchi wanahubiri amani lakini neno haki halipo mdomoni mwao.
Mimi najiuliza mbona hawakemei utekaji na bado unaendelea ? Waziri wa mambo ya ndani huoni kinachoendelea?
Ni lini nchi hii itakuja kuwa na utulivu wa kisiasa kama kipaombele cha serikali...
Anaandika Aloyse Nyanda Mtozi kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Je Fr Kitima anachuki na serikali au ana chuki na Rais Samia au anachuki na Uislamu?
Jibu ni HAPANA ila ukweli ni kwamba Kitima mbali na kuwa ni mlezi wa wengi pia ni Mwalimu wa Human rights alifundisha vijana chuo Kikuu na...
Shule Ya Msingi Mbosho iliyopo kata ya Masama Kati Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro ni miongoni mwa Shule kongwe zilizopo Wilayani Hai. Kwa Sasa Shule hii Inakabiliwa na Uchakavu Mkubwa wa majengo ya Madarasa na Ofisi ya Waalimu.
Shule hii kwa Sasa Ukiitembelea Hali yake inatisha, Majengo...
Mchambuzi wa masuala ya siasa na mwanasiasa mkongwe, Said Miraj, amesema serikali ina jukumu lisilopaswa kupuuzwa katika kulinda maisha ya wananchi, akisisitiza kuwa uhai wa mtu ni thamani kubwa inayolindwa na Katiba.
Akizungumza katika mahojiano maalum na Force News, Miraj amesema Katiba ya...
Ukiingia kwenye vyombo vya habari vyao hakuna hata waziri mmoja anazunguza uwaziri wake kilicho muweka ,wote wanazunguka makanisani,misikitini na kuwatetea wasanii na raisi kuhusu amani.
Hata siku moja sijawasikia wakisema Haki ,wao wapo na kuzungumza amani tu.
Niliwahi kusema kuwa Samia amefeli kwenye kila idara ya uongozi na kwa sasa nchi haijulikani ina mission gani na inataka ku achieve nini!!
Kwa walioanza kuisikia TEC juzi, unaweza kuhisi ni kweli TEC inashida na Samia: but ni TEC hii hii ilipambana sana NGOSHA , ambapo Ngosha ni amelelewa...
Kurasa rasmi za Serikali zimekuwa jukwaa la familia ya Samia?
Kurasa rasmi za serikali na wizara zake katika mitandao ya kijamii kama Facebook, X (zamani Twitter) na Instagram ziliundwa kwa lengo moja kuu: kuwahudumia wananchi kwa kutoa taarifa za sera, huduma, tahadhari na maamuzi ya serikali...
SAMIA NA ANGUKO LA KATIBA: KAMA HAMKUTAKA NIWAUE WATOTO WENU KWANINI MLIWARUHUSU WAINGIE BARABARANI KUFANYA MAANDAMANO YA KUNIPINDUA?
I. USULI
“Ukiona serikali ambayo haitaki kukosolewa, tambua kuwa hiyo si serikali nzuri. Serikali inayokataa kusikia sauti za watu wake inaelekea kwenye udikteta...
Serikali imetangaza mpango wa kuanzisha Youth Special Economic Zones (YSEZ) utakaotekelezwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo, kwa lengo la kuwawezesha vijana kuingia kwenye uchumi wa uzalishaji na utengenezaji badala ya uchumi wa usambazaji na uuzaji pekee.
Akizungumza kuhusu mpango huo...
1. Viongozi wa TEC.
Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya Rwanda 1994. Wameshindwa kwa njia moja wanajipanga kwa njia zingine.
2.Askofu wa kanisa la ABC GLOBAL...
Viongozi wa serikali kila kona ya nchi hususani waziri mkuu anahimiza amani najiuliza hiyo amani inapatikanaje huku watu wanachukuliwa na kupotea kusopojulikana?
Kiongozi unaongelea rasilimali huku ukijuwa kuna watu wanapotea kwanini usikemee tabia hizo zikakomeshwa?
watu wakikumbuka ya tarehe...
Nimekuwa nikimfatilia bwana Malisa GJ ambaye ndio msaada wa watu wengi kwa vijana na wananchi.
Kuna kijana alivunjwa miguu kipindi cha October 29 na alikuwa ana msomesha mdogo wake ila jamaa alivyoweka ujumbe alichangiwa na kufikisha milion 15.
Baada ya siku watu wakaomba na huyu achangiwe...
Mie hapa New York pana kaubaridi (nyuzi joto kama 6 hivi si haba) na nimekula pilau ya Xmas ambayo kapika shemeji /wifi yenu alifundishwa na mama mkwe wake kupika pilau ya maana. Wakati huohuo nimeweka ile muziki ya Bongo Classics nakula muziki taratibu kushusha msosi.
Lakini hapohapo nafikiria...
Watu wanakufa sio kwa kusingizia sijui mungu kapanga ni uwongo.
Wanaopanga vifo mfe ni hizi hospital zetu za serikali asilimia kubwa.
Yani mtu unaumwa na pesa umekosa au ujatoa kidogo wakuokoea ,Wanaweza kukuacha hapo unajiona.
Kuna mzee mmoja alinyimwa kifaa cha kupumulia kisa pesa ya...
Nimemsikiliza Mheshimiwa Warioba, amesema kuwa vijana wetu waliouawa na Iddi Amin ni wachache kuliko watanzania waliouawa na utawala wa samia kwa kutumia majeshi yetu.
Taarifa ya jambo hili imenitafakarisha sana, kunihuzunisha sana na kushangazwa sana kuona kuwa majeshi yetu yanaweza kufanya...
Kuna propaganda za kijinga sana zinaendelea kupitia mitandao ya kijamii ambazo kimsingi waandaaji wanajiona ni wajanja sanaaa kumbe wapo nyuma ya wakati.
Propaganda hizi zinalenga kuamsha hasira za wananchi hasa kundi la vijana. Kimsingi zinakuja na ajenda ya kukumbusha mauji ya MO29 na...
Mkwamo wa Tanzania tangu kuanzishwa kwake umetokana na sababu kuu mbili.
1. Kuwapa kipaumbele zaidi wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili.
2. Rushwa na Ubinafsi.
Kuhusu kuwapa kipaumbele wajinga na ujinga kuliko akili na wenye akili.
Kabla ya kifo chake. Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu...
Asili ga binadamu ni kupenda haki, mwanadamu kupenda dhuluma ni kitu ambacho huwa kinapandikizwa na kutengenezwa. Kazi ya kupandikiza dhuluma huwa ni ngumu sana na huwa haishindi kwa sababu inapingana na asili ya binadamu.
Siku zote, mwanadamu ambaye dhamira yake haijaharibiwa, husimama na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.