serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali: Tunaipongeza Simba Sc kwa kuendelea kuupiga mwingi

    Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Majaliwa ametoa tamko la kiserikali kuipongeza Simba Sc kuendelea kuupiga mwingi na kuitangaza Tanzania duniani kote. Waziri Mkuu ametoa tamko hilo akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu. "Sote tumeshuhudia Simba wakiendelea kuupiga mwingi," ametamka...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ingeondoa kodi zote kwa magari ya umeme

    Bei yamafuta inazidi kupanda. Maana yake nchi tutatumia pesa nyingi sana kununua mafuta. Pesa ambazo zingeweza kufanya mambo mengine ya kukuza uchumi. Nashauri serikali ifanye mambo yafuatayo ili tupunguze kwa kiasi kikubwa matumizi ya mafuta. 1.Tungeondoa kodi zote kwa wale wanaonunua magari...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Serikali inayowaza kumnyonya Mtanzania kwa tozo haitawaza kupunguza kodi kwenye bidhaa ili kupunguza mfumuko wa bei

    Serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia haiwezi kufikiria cha kufanya angalau kupunguza uchungu anaopitia mwananchi kwa sasa wa kupanda kwa bidhaa karibu zote nchini. Serikali hii inachowaza ni kupata pesa ili wao waendelee kunufaika ndii maana wamelundika tozo na kodi za kila aina, zingine...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali: Kuna matukio 19,726 ya Ubakaji Tanzania tangu Mwaka 2019-2022

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema takwimu za matukio ya vitendo vya ukatili Nchini vilivyoripotiwa kwenye vituo vya Polisi kuanzia mwaka 2019 hadi Machi, 2022 ni 27,838. Masauni amesema hayo leo Aprili 6, 2022 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge la Viti Maalum...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza. Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanzo wa kufeli kiuchumi Serikali ya awamu ya sita

    Salam kwa Jamhuri Kama raia wa kawaida mwenye mamlaka kamili kulinda na kuisimamia nchi yangu sitasita kuusema ukweli ninaoushuhudia na kuuchakata kichwani mwangu kisha kushauri inapobidi kutenda. Dhahiri shahiri Serikali hii ya awamu ya sita haikujiandaa kwa lolote kuwepo madarakani, hivyo si...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna jambo ambalo sisi wananchi tumeikosea Serikali yetu? Tuambiwe tujue

    Kwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu. Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku. Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya Plastiki yaanza kuzagaa tena mitaani

    Wakati wa utawala wa awamu ya tano tulishapiga hatua kwenye ishu ya kudhibiti mifuko ya plastiki iliyokuwa inageuza nchi yetu kuwa kama jalala. Sasa hivi mifuko na vifungashio vya plastiki imerea tena nchini, uharibifu wa mazingira unaendelea kama kawaida. Mifuko inatupwa hovyo mitaani, na...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati umefika Serikali iruhusu Ndoa za Mkataba, hizi zilizopo ni msalaba kwa kizazi hiki

    WAKATI UMEFIKA SERIKALI IRUHUSU NDOA ZA MKATABA, ZILIZOPO NI MSALABA KWA KIZAZI HIKI. Anaandika Robert Heriel Yule Shahidi, kutoka Nyota ya Tibeli. Hatuwezi kujidanganya tena, ndoa zilizopo ni mzigo na msalaba mzito Kwa kizazi hiki hasa Kwa watoto wakiume. Waliopo kwenye ndoa wengi wenu...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali itumie gesi ya kabonidayoksaidi iliyopo Tukuyu kuzalishia umeme

    Najua serikali yangu ni sikivu. Leo nimekuja na bonge la ushauri. Naiomba serikali tutumie gesi ya kabon dayoksaidi (okay) iliyopo Tukuyu kuzalishia umeme. Kwani tunayo gesi nyingi sana kule Tukuyu ambayo ni malighafi inayotumika Kuzalishia umeme. Tuchangamkie fursa hiyo.
  11. JamiiForums Tanzania Kinana: CCM ni kubwa kuliko Serikali

    "Kasema CCM sio chombo cha serikali, CCM haitokani na Serikali, ila Serikali zote mbili (Tanzania na Zanzibar) zinatokana na CCM, CCM haipokei maagizo kutoka Serikalini, ila Serikali inapokea maagizo kutoka CCM, hii ni kupitia ilani na sera zilizotungwa na viongozi mbali mbali wa Serikali!" Huu...
  12. JamiiForums Tanzania Ni mapema sana kutenganisha misingi ya Chama na Serikali

    MAONI YANGU: Serikali iliyopo na Serikali zote zilizotangulia zimetokana na Chama nikimaanisha Chama Cha Mapinduzi na hapo awali TANU. Ukipitia kwa undani misingi iliyounda Serikali yetu imetoholewa kutoka katika misingi iliyounda Chama. Hivyo sio jambo rahisi au la siku moja au la tamko moja...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni Halmashauri zote huhitaji fedha kutoka Serikali Kuu? Kuzipatia fedha nyingi mabilioni kila mwaka ni kuzidekeza na kuzifumba akili

    Juzi Rais Samia ametangaza tozo ya shilingi 100 kwa kila lita moja irejeshwe katika kodi ya mafuta. Hapohapo wafanyabiashara wa mafuta hayo hawajalalamika bali wamefurahi maana wao wapata faida zaidi. Licha ya kodi hiyo ya mafuta, gharama za maisha kwa ujumla zimepanda na mfumuko wa bei uko...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ilipaswa kutuambia imejipanga vipi na kudhibiti ongezeko la bei, si kusapoti kinachoendelea

    Kwema Wakuu! Kila mtu ni shahidi wa kinachoendelea katika upandaji wa bidhaa hapa nchini. Vitu vinapanda kila siku, hasa vitu vyeti kabisa kama Mafuta ya Kula, Michele, Sabuni, sukari miongoni mwa vitu vingine. Sikufurahishwa na Kauli ya Mhe. Rais, mama yetu Samia Kwa kusapoti na kukazia...
  15. JamiiForums Tanzania Ili kuweka tangazo katika gazeti la serikali natakiwa kufuata hatua gani?

    Naomba kuuliza, ni hatua gani napaswa kuzifuata ninapohitaji kutoa tangazo katika gazeti la serikali ?
  16. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Ya Mtaa Tupieni Jicho Kundi kubwa la watoto wanaoishi Daraja La Kijazi

    Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto...
  17. JamiiForums Tanzania Eti ni kweli ndege Tausi ni nyara ya Serikali na mtu wa kawaida haruhusiwi kufuga?

    Eti wakuu hizi habari zina ukweli wowote?
  18. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yoyote inayokopa sana inaongeza ugumu wa maisha kwa wananchi wake na mfumuko wa bei

    Leo napenda kuongelea madhara ya serikali kukopa sana ndani na nje ya nchi. Deni nikitu kizuri ila pia deni laweza kuwa chungu pindi unacho zalisha na kile unatakiwa kulipa vina zidiana. Unaweza chukua mfano wa mtu tu anapo kopa let say 100m na anatakiwa rudisha kila mwezi 3m ila anazalisha...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali haiwezi kujali watu wasiojijali

    Kwema Wakuu! Hakuna serikali yoyote Duniani au popote Katika Anga za mbali, au hata kuzimu yenye uwezo wa kujali watu wasiojijali. Watu wasiojijali dawa Yao ni mkong'oto. Kipondo, Hali ngumu, kuwaswaga na kuwakarangiza. Mimi sioni tatizo katika Jambo hilo Kwa kweli. Unaweza jitahidi kuwaonea...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania hawakuwa miongoni mwa Walinda Amani wa UN waliouawa katika helikopta nchini DRC? Serikali tutoeni hofu

    Kuna Ndege (Helicopter) ya MONUSCO (Askari wa Kulinda Amani huko Congo DR) Jana imedunguliwa ikiwa na Askari Nane ( 8 ) wa Kulinda Amani na Wote wamefariki dunia. Natambua kuwa Tanzania ina Askari wake wengi pia huko ambao 'batch' ya mwisho iliondoka Wiki Mbili au Tatu tu zilizopita baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…