serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali Ina Wajibu wa Kuhakikisha Raia Wake Hawadhulumiwi Maisha au Mali Zao

    Moja ya majukumu makubwa kabisa ya serikali ni kuwalinda watu wake dhidi ya changamoto zote za kiusalama na kuwahakikishia amani na utulivu. Jukumu la Serikali si tu kulinda watu wake kutokana na mashambulizi ya nje, lakini pia kuwalinda dhidi ya changamoto zote za kiusalama zinazoweza...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kabisa kudhibiti madereva wao, wanajiona wao wapo juu ya Sheria za barabarani Nchini

    Ni siku chache tu zimepita tangu itokee ajali ambayo haikuwa na madhara makubwa kati ya basi la mwendokasi na defender ya Polisi. Picha za tukio hilo zilisambaa mitandaoni na ilivyoonesha wazi kabisa kuwa mwenye kos ani yule aliyekuwa akiendesha ile gari ya Polisi kwa kuwa aliingilia njia ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Benki ya Posta kwanini risiti za ATM hazioneshi salio? Nina wasiwasi hamtaki kuonesha mmetuibia tozo kiasi gani

    Nimekwenda kutoa pesa ATM ya Posta, ikatoka risiti ambayo inaonyesha kiasi kilichotolewa lakini salio/ baki (balance) haionyeshwi. Tangu miaka yote risiti imekuwa inatoka na kuonesha salio/baki/(au kwa kizungu balance). Leo kwa mara ya kwanza salio halikuoneshwa. Maana yake nini?: Ni kuwa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali kugawa vishikwambi kwa walimu Nchini

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga amesema serikali ina mpango wa kugawa Vishikwambi vilivyotumika katika zoezi la sensa kwa walimu wote kwa lengo la kuimarisha matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji. Akijibu maswali ya Wabunge, leo Septemba 15, 2022 Jijini...
  5. JamiiForums Tanzania Kenya: Serikali yafuta Ruzuku ya Mafuta, bei yapanda zaidi

    Bei mpya kuanzia leo kwa Petroli inayotumiwa zaidi na magari mengi binafsi ni Tsh. 3,468,45 kwa lita kutoka Tsh. 3,100.29, huku Dizeli ambayo hutumiwa na wasafirishaji na viwanda ni Tsh. 3,197.17, Mafuta ya Taa ni Tsh. 2,867.77 Haya yanajiri baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa utawala...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali kufanya marekebisho Sheria ya Leseni za Biashara

    Kutokana na mabadiliko ya teknolojia, uchumi na mwenendo wa biashara, Serikali imeanza mchakato wa maboresho ya sheria ya leseni za biashara sura namba 208. Huu ni mwaka wa 50 tangu sheria hiyo itungwe mwaka 1972, hivyo maendeleo ya sekta ya biashara yamesababisha haja ya mabadiliko yake...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yafuta ada ya Mitihani kwa watahiniwa wa shule za Serikali

    Taarifa iliyotolewa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) imesema watahiniwa wa Darasa la 7, Kidato cha 4 na 6 kutoka shule za Serikali hawatolipa ada hizo kuanzia sasa. Hata hivyo Baraza limesema ada hizo zitaendelea kulipwa na wanafunzi wa shule za binafsi.
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais Mh Rigathi Gachagua: Tunaingia ofisini Kenya ikiwa na serikali imefilisika kifedha na kiuchumi

    13 September 2022 Nairobi, Kenya HOTUBA MARA BAADA YA KUAPISHWA NAIBU RAIS MH. RIGATHI GACHAGUA Naibu wa Rais wa Kenya Mh. Geoffrey Rigathi Gachagua amewaelezea raia wa nchi hii ya Kenya kuwa hali si hali pamoja ya kuwa ni nchi inayohesabika ina uchumi mkubwa na utajiri katika eneo hili la...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Maji ya kuoshea maiti yanayo lalamikiwa kutumika kuhifadhia samaki yanauzwa kwenye maduka ya dawa za asili, Serikali imulike huko

    Salaam, Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa Saratani wamekuwa wakitokea Kanda ya Ziwa jambo ambalo linapelekea Serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini Kanda ya Ziwa? Jana nimeona Mh Makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani...
  10. JamiiForums Tanzania Je, nini kitatokea endapo serikali itapiga marufuku uagizaji wa magari binafsi ya kutembelea?

    1.) Je, ni shillingi za kiTanzania trillion ngapi hutumika na waTz kwa mwaka kuagiza magari ya kutembelea? Na je, baada ya zuio hilo matrillion hayo wanaweza kuyatumia kwenye nyanja ipi kama mbadala? Ujenzi au kilimo? 2.) Je, mikangafu inayoozea gereji juu ya mawe inaweza ikapanda thamani na...
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi ambavyo Serikali na mkoa wa Dar inaweza kuongeza makusanyo ya pesa kupitia barabara za mwendo kasi bila kumuathiri mtu

    Makusanyo haya hayataathiri mwanachi bali ni kumnufaisha kwa kuchagua njia anayotaka kutumia na kuongeza kasi kwenye miradi ya maendeleo. Sehemu ambazo barabara ya mwendo kasi inapatikana Kivukoni,Kimara,Mbezi,Kibaha,Kariakoo(Gerezani) ambapo ndio kituo kikuu na Mbagala japo iko mbioni...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kila taasisi ikipewa mamlaka ya usimamizi wa mahabusu nani atawawajibisha wakifanya makosa?

    Luhanga Mpina ameyasema haya bungeni na kuhoji kuhusu mamlaka za uangalizi mahabusu kuwa wasimamizi wa mahabusu hizo akisema manyanyaso yanaweza kutokea na hakutakuwa wa kuwawajibisha kwasababu wao wenyewe ndiyo wasimamizi. Akaongeza kuwa kutakuwa na mkanganyiko mkubwa wa kushughulika na kesi...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yataja hatua nane kudhibiti mfumuko wa bei

    Serikali imetaja hatua nane zilizochukuliwa katika kudhibii mfumuko wa bei ili kuhakikisha unaendelea kubaki ndani ya wigo wa tarakimu moja. 1. Imeimarisha sekta za uzalishaji ili kuongeza upatikanaji wa bidhaa unaoendana na mahitaji. 2. Kutoa ruzuku kwa ajili ya kupunguza bei ya nishati ya...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Jambo hili inalofanya Serikali ni wizi dhidi ya raia wake maskini

    Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni. Watu wameamua kurudisha pesa walizopoteza kwenye awamu ya Magufuli kwa kuwaibia wananchi wake maskini. Maskini kwa sasa ndiyo wanaona...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakushauri unda upya serikali yako!

    Ndugu Rais Japo watu wanapenda kukuita rais wa awamu ya sita lakini mimi nakuona kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu anayekamilisha awamu ya tano. Haina mantiki kwa mfano eti Rais akitawala wiki moja kisha akaacha kuwa Rais kwa sababu zozote za kikatiba mfano kifo halafu eti tuiite...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania ina cha kujifunza kutoka Kenya?

    ❝ I want to tell the people of Kenya that you are finally free. You don’t have to talk with each other through Whatsapp for fear of being recorded and persecuted by state agencies❝ - Hon. Rigathi Gachagua, VP-Kenya
  17. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania ni nchi moja yenye Serikali mbili

    Tanzania ni nchi moja yenye serikali mbili tofauti…!!!Serikali hizi hutofautiana kwa lugha,muongozo na hata wananchi wake ila cha ajabu wote ni Watanzania na Rais wao ni mmoja. Serikali A hutumia lugha ya kiswahili ili kuwasiliana na wananchi wake walakini serikali B hutumia lugha ya kingereza...
  18. JamiiForums Tanzania SoC02 Serikali ya Tanzania itumie magari madogo (small SUVs)

    Tanzania, nchi yangu nzuri, inayotajwa kufikia uchumi wa kati wa chini, imebarikiwa kuwa na rasilimali za aina mbalimbali kama vile ardhi nzuri ya kilimo, madini, misitu, n.k; bado inakuza uchumi wake taratibu sana kutokana na changamoto mbalimbali. Moja ya changamoto kubwa sana kwa miaka mingi...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali kurudisha Ligi ya Muungano ili kuupa afya Muungano, yaunda kamati kutathmini gharama

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul akijibu swali Bungeni amesema Kamati imeundwa kufanya tathimini ya kurejesha Ligi ya Muungano ambayo inajumuisha timu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar. Waziri Gekul amesema “Tumekuwa na mazungumzo kati ya TFF, BMT na ZFF kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali kuhusu tembo waharibifu

    Jana nimefungua facebook nikaona mkurugenzi mmoja wa wanyama pori ametoa wazo kuwa serikali itoe kibali tembo wanaoharibu mazao kwa sasa wauwawe. Mimi kama mzalendo sikubaliani na wazo hili kwa sababu tutakuwa tunatatua tatizo moja tunaunda lingine.Tutajenga mawazo mabaya kwa majangili kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…