serikali

  1. Hili la vishikwambi Serikali inajiletea mtafaruku usio na sababu kwa Walimu

    Tarehe 4/11/2022 Waziri mkuu alizindua zoezi la ugawaji vishikwambi Kwa walimu na alisema vishikwambi vitolewe Kwa walimu WOTE nchini! Lakini kwasasa Hali ni tofauti Kila halmashauri imekuwa na Utaratibu wake, Wapo wanaotoa Kwa walimu wote na wengine wanatoa Kwa walimu baadhi Tu! Mimi nishauri...
  2. Kingereza kuwa lugha ya kujifunzia kwa ngazi zote za elimu nchini

    Hello Tanzania! Habari unayo trend huko kwenye magazeti ya Kimataifa Ni kuhusu lugha ya kingereza kufanywa ndio ligha rasmi na ya lazima ya kufundishia kwa Ngazi Zote za Elimu hapa Tanzania. Je hii Ni kweli? Mamlaka husika mnasemaje? Na Kama ndivyo Nini hatma ya Kiswahili ambacho kimekuwa...
  3. Serikali yaonesha picha matengenezo ya MV Mwanza yalipofikia leo Januari 11, 2023

    Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeweka picha hizi za MV Mwanza na kusema kuwa ndivyo hali ilivyo kufikia asubuhi ya Jumatano Januari 11, 2023:
  4. T

    Kuanguka kwa uchumi: Serikali inakosea wapi?

    1. Uchumi wa Tanzania umeendelea kuzorota siku hadi siku. Na sasa maisha ya wananchi wengi yako taabani. 2. Ni nini serikali imekosea hadi hali ya uchumi wetu kuwa taabani kuliko wakati wowote tokea uhuru. 3. Wakati wa mwalimu Nyerere vitu vilikosekana laki bei haikupanda siyo kwa bidhaa hata...
  5. Taifa linasubiri serikali mpya aliyoahidi Rais Samia

    Mwezi mmoja umepita toka Rais aliposema kwamba anataka kufanya mabadiliko - labda mabadiliko makubwa katika Serikali yake. Nadhani watu wote wanalitazama hili jambo kwa mtazamo chanya ambapo wanatumaini litakuwa na lengo la kuboresha kazi.
  6. F

    Maafisa Elimu Wilaya na Mkoa, utitiri wa mitihani mnahujumu ufundishaji na ujifunzaji?

    Wanajamvi, nimejaribu kufanya uchunguzi wangu nimebaini viongozi wa wanaosimamia elimu yani ma REO na ma DEO ndio chanzo cha wanafunzi kufanya vibaya kwa sababu ya utitiri wa mitihani yao wanayolazimisha ifanyike karibu kila mwezi kwa shule za msingi na sekondari na kuzitafuna siku 194...
  7. Imani yangu ni kuwa Tanzania moja, Serikali moja itatutoa

    Naiangalia Tanzania ya mwaka 2073 miaka 50 kutoka leo. Najitenga na ubinafsi nifikiri bila kuzugwazugwa. Nauangalia mfumo wa Muungano wa Tanzania. Najikumbusha mazingira ya kuanzishwa kwake wakati sultani amefurushwa na hatihati za kutinga kwake tena. Nafikiria wapendavyo wapemba na waunguja...
  8. N

    Je, ni kweli kazi ya Serikali si kutengeneza ajira?

    Rais Samia Suluhu kaika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar maadhimisho hayo yamefanyika katika Kijiji cha Paje, Mkoa wa Kusini Unguja leo tarehe 10 Januari, 2023 Amezungumzia mambo mengi lakini pia amegusia suala la ajira kwa vijana na kusema "Nataka kuwaambia, kazi ya serikali...
  9. Rais Samia: Kazi ya Serikali si kutengeneza ajira bali kuweka mazingira mazuri

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo katika kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi. Amesema Mapinduzi ya Kisiasa tumeshajikomboa, kuanzia 64 mpaka leo siasa imetufikisha mbali sana, lakini Mapinduzi ya Kiuchumi na Ustawi wa Jamii bado ndio mapambano...
  10. Serikali imesalimu amri kwa bodaboda: Wenzenu Nigeria wako hivi

    Wenzetu Nigeria wasiocheka na nyani! Bodaboda ni kero, side mirrors kuvunjwa, kukwaruzwa barabarani, hata wizi wa kushtukiza. Serikali iamke toka usingizi wa pono!
  11. Una Walimu wengi hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini?

    Una Walimu wengi Hadi wa akiba bado vyuo vinaboreshwa na kudahiri Walimu Hapo malengo ya serikali nini? hao Walimu wakajiajiri vipi au wakajenge shule Msaada, jamani Mimi sielewi naombeni mawazo yenu?
  12. DOKEZO Nyara za serikali za maliasili na vidhibiti polisi hazilindwi

    Wiki iliyoisha nilifanikiwa kujipenyeza na kuingia kwenye vidhibiti nyeti vilivyokamatwa na Polisi ambavyo kesi zake zinaendelea nikagundua hakuna ulinzi wa aina yoyote na unaweza kutoka na chochote unacho chagua. Baada ya hapo nilipita ghala moja la pembe za ndovu liko mali asili nako hakuna...
  13. Ni wakati muafaka kwa serikali kuruhusu magari ya abiria kusafiri usiku

    Wakuu, week mbili hizi nimesafiri kwenda Tanga na Sasa Niko safarini kwenda Nyakanazi. Kwa Safari zote hizi, nimegundua na kuthibitisha yale ambayo nimewahi kuyasema hapa mara kadhaa. 1. Mabasi yanaondoka kwa sasi sana unnecessarily. Safari yangu ya Tanga nilifanikiwa kurekodi speed ambapo...
  14. Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

    Kwa msioifahamu Mburahati, ni shule ya secondari ya kata, iko wilaya ya Kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam. Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi. Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana. Je, walimu wa hii...
  15. Singida Kaskazini yaneemeka na miradi ya maji, Serikali yatatua kero

    SINGIDA KASKAZINI YANEMEEKA NA MIRADI YA MAJI, SERIKALI YATATUA KERO. Jimbo la Singida Kaskazini linazidi kupata Miradi mbalimbali ya Maendeleo kila iitwapo leo Kwani Wanasingida Kaskazini kwa Ujumla wake wanazidi kushuhudia Kasi kubwa ya Maendeleo tangu Mhe. Ramadhan Ighondo ambaye ndiye...
  16. Wizi wa haki miliki za sanaa (movies and series) kukithiri Tanzania (copyrights infringements) ina maana Serikali haioni??

    Hivi karibuni kumetokea wimbi kubwa sana na uhalifu wa mtandaoni serikali ikishirikiana na jeshi la polisi, kwa pamoja wamechukua jitihada za wazi kupambana na tatizo hili. Lakini kuna tatizo sugu ambalo binafsi naona ni kosa kubla sana na serikali imelikalia kimya. Wizi wa haki miliki za sanaa...
  17. Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vizuri

    Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
  18. Ni ipi nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa sasa?

    Anapoapishwa Rais, nafasi ya kwanza kuteuliwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Walioweka utaratibu huu hawakuwa wajinga kwa sababu kila jambo analofanya Rais linatakiwa kuwa sawa kisheria hivyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye anapaswa kumshauri Rais kuhusu maamuzi yake yote ili yawe...
  19. Je ni Kweli serikali imerudisha retention fees ya bodi ya mikopo? Ukweli ni upi?

    Wakati tunaingia mwaka 2022 Serikali ilipunguza mzigo kwà kiasi kikubwa sana wa bodi ya mikopo kwà wanufaika mfano kama mtu alibakiza 4M bàsi deni lilishuka mpaka 2M watu wakapata afueni sana ya maisha na wengi wao kwakuwa walipitia Kwenye tanuru la moto 2015-2020 baada tu ya mama kuondoka...
  20. Rose Shirima hana kosa lolote, mwenye Makosa ni James Getogo kuibua makosa ya serikali/mwajiri wake

    ROSE SHIRIMA HANA KOSA LOLOTE, MWENYE MAKOSA NI JAMES GETOGO KUIBUA MAKOSA YA SERIKALI/MWAJIRI WAKE Anaandika, Robert Heriel. Watanzania Wengi tunapenda Sana mambo ya kudandia dandia mambo. Kufuata Mkumbo. Kwenye nchi hii ni rahisi Sana kumchafua MTU na watu wakaamini na kumuona MTU Fulani ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…