serikali

  1. Serikali yanunua Madume ya Ng’ombe 366 kwa Tsh. Milioni 878.4

    NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi David Silinde amesema katika kipindi cha miaka miwili tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, serikali imenunua madume ya ng’ombe ya kisasa 366 yenye thamani ya Silingi Milioni 878.4 ili kuboresha mifugo nchini. Silinde ameyasema leo katika Kata ya...
  2. Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) kuingia mkataba na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Kufundisha wanafunzi

    Utangulizi Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE) kila baada ya miaka 5 inafanya Utafiti wa soko la Ajira ili kuboresha mitaala yake. Mwaka jana Mwezi March, 2022 CBE kilifanya Utafiti kwa Wahitimu waliomaliza chuoni apo. Matokeo ya Utafiti 59.5% ya Wahitimu wameajiriwa katika Taasisi za Umma na...
  3. Wengi tungeswekwa magerezani awamu ya tano wakati Serikali inataka IP adress za accounts zinazoikosoa, tunashukuru JamiiForums mlitusimamia

    Kuna kipindi hapo awamu ya tano palikuwa na hali ya hatari kwa mtandao wa jamii forums kushinikizwa kutoa kutoa namba za utambulishi za internet IP ADRESS za wanachama wanaokosoa serikali. Ili uzielelewe kirahisi ip adress ni kwamba tunavyopiga simu ama kutuma meseji namba zetu huwa...
  4. Senegal: Mmoja auawa katika maandamano ya kuipinga Serikali

    Tukio hilo limetokea Machi 20, 2023 Kusini mwa Senegal wakati wa vurugu zilizohusisha Wanausalama na waandamanaji wanaomuunga mkono Kiongozi wa upinzani, Ousmane Sonko. Imeelezwa kijana aliyefariki alipigwa risasi katika Mji wa Bignona wakati waandamanaji wakipinga Sonko kushtakiwa kwa tuhuma...
  5. Serikali ijenge kaburi "fake" la Hayati Magufuli pale Nyerere Square Dodoma sehemu ya wazi ili kila mtu apate kulitembelea

    Najua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa. Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani kutembelea kaburi la mtetezi wa wanyonge hivyo wanaomba kuhamisha kaburi lake toka kule Chato mpaka...
  6. Kamati ya Bunge yaishauri Serikali kuanzisha Barabara za kulipia tozo

    Kamatia ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Serikali kuona umuhimu wa kuanzisha na kujenga Barabara za Kulipia Tozo Ili kuweza kuongeza mapato. Kamatia imetaka Barabara ya Kimara Hadi Kibaha ndio iwe ya kwanza kuingizwa kwenye mfumo huo. My Take: Safi sana Kamatia,ifike mahala tuepukane na...
  7. Mahakama yamwachia huru aliyedaiwa kumuua Trafiki, Serikali imeshindwa kuthibitisha

    Mfanyabiashara Aman Elikana (38) aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya mauaji, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake. Elikana alikuwa akituhumiwa kumuua askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, mwenye namba...
  8. M

    Natinga Kenya kumlinda Ruto na Serikali yake

    Raila na genge lake wana bahati mimi na vijana wangu hatukuweza kufika kabla ya maandamano kwasababu imetubidi twende Marekani Kwanza kumsaidia Trump asikamatwe. Ila baada ya ishu ya Trump kuimaliza tunashuka Nairobi. Ole wake Raila na genge lake waitishe tena fujo tutatembeza mkong'oto wa aina...
  9. Serikali itatue changamoto zilizojitokeza wakati wa uuzaji wa Mbolea ya Ruzuku

    Wananchi Wengi wa mkoa wa Ruvuma wampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mbolea ya ruzuku ambayo imewawezesha wakulima wengi kununua na kuongeza uzalishaji kwenye mazao yao, kwa bei ya Elfu 50,000 hadi 70,000 kwa mfuko wa Kilo 50. Mbolea ya Ruzuku imewasaidia wakulima kuondokana na...
  10. E

    Rais Mwinyi amezitaka Wizara na Wadau katika sekta ya biashara kukutana kila miezi mitatu kujadiliana kuhusu changamoto za biashara

    Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZNBC), Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezitaka Wizara na wadau wa sekta mbalimbali zinazofanya biashara wakutane kila miezi mitatu kujadiliana kuhusu changamoto na kuzipatia ufumbuzi. Pia...
  11. Tunaomba Serikali ianze kuitambua Masters kwenye mishahara

    SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan "Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale" Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
  12. Imefika wakati serikali iangalie mishahara ya watumishi wa "Local government" maana hali zao za mishahara ni ngumu na mbovu sana

    Salaam ndugu Wana JF, Naambiwa "Mama" yetu Rais wetu huwa anasoma humu JF. Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii. Twende kwenye hoja.. Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya jirani kapata uhamisho kutoka halmashuri yake kwenda chuo cha Mandela (Arusha) yaani kwa huo mshahara...
  13. Jumatatu Machi 20, 2023 itakuwa siku ngumu kwa Serikali za Kenya, Tunisia, Nigeria na Afrika Kusini

    Jumatatu ya Machi 20, 2023, Itakuwa siku ya kihistoria na ngumu kwa Serikali za Mataifa 4 ya Afrika, kutokana na kuitishwa kwa Maandamano na Migomo ya Utii dhidi ya Serikali na Mashinikizo kwa Marais wa Nchi hizo. Maandamano hayo yameitishwa na makundi mbalimbali ikiwemo Vyama vya Upinzani...
  14. Maadhimisho miaka miwili ya SSH ni wazi CCM na Serikali wanalazimisha shibe ya supu ya mawe

    EWURA ni jipu la Taifa, ikulu iliangalie hili kwa jicho la kuwajali wananchi TANESCO inatumika kisiasa, na hili limefanikisha wananchi kukosa imani na serikali. Polisi imeshapoteza uadilifu wake. Sheria na muundo wake vibadilishwe kwani ushshidi ni mwingi wa maovu yanayofanywa na polisi kuliko...
  15. Serikali yakanusha vikali Stendi ya Chato kutelekezwa

    Na Daniel Limbe Chato SERIKALI wilayani Chato mkoani Geita imekanusha vikali uvumi uliosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa standi kuu ya mabasi ya Chato "Kahumo bus terminal" imetelekezwa na kubaki magofu. Uvumi huo ambao umezua taharuki kwa baadhi ya wananchi,umelenga kudhoofisha...
  16. Nani aliagiza na waliohusika kumshambulia Tundu Lisu? Serikali itoe kauli au ifunge jalada

    Kwa mujibu wa yanayoendelea nchini sasa ni kwamba wananchi wengi hawaamini kauli nyingi za serikali hususani zinazotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu masuala ama matukio ya kinyama waliyofanyiwa upinzani. TUndu Antipas Lisu ni Mtanzania anayestahili haki zote za kikatiba na kisheria. Haki yake ya...
  17. Hivi serikali haisikii changamoto za walimu kwenye sekta hiyo?

    Changamoto ni nyingi lakini hiyo ya mishahara midogo haisikiki? Ni wimbo wa miaka mingi sana. Baada ya sera ya elimu bure wazazi hata kununua uniform ni kazi. Kuwalipia watoto chakula imekuwa ngumu. Serikali inashindwaje kuwapa walimu usafiri,waachane na Mambo ya bodaboda kila wkt (kama vipi...
  18. T

    Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2017 imechangia kuongeza Trilioni 7.2 kwenye mfuko mkuu wa serikali kwa miaka 6

    Mabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo. Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye...
  19. S

    DC Mstaafu Simon Odunga akosoa vikali jinsi Kumbukumbu ya Hayati Magufuli ilivyofanyika

    Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo. Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa Wilaya Mstaafu amesema nanukuu "Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi...
  20. Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

    Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo. Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…