serikali

  1. JamiiForums Tanzania Ufisadi na Mikataba mibovu ya Serikali. Tatizo ni Idara ya Usalama wa Taifa haipo kwa ajili ya kulinda maslahi ya Taifa bali watawala

    Leo hii sisi CHADEMA tunafuatiliwa na Tiss kwa kila nyendo zetu. Tukiandaa mikutano ni kosa, tukipata misaada ni kosa hata tukipata sapoti tu hawa Tiss wanatufuatlia kila kona. Lakini huwezi kusikia wanafuatilia ufisadi unaofanyika hapa nchini. Angalia ripoti ya CAG imeanika madudu makubwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Kuhusu DP World: Rais Samia acha kushupaza shingo, epusha Taifa na machafuko

    Kuhusu hili jambo la mkataba wa umiliki wa bandari zote kati ya serikali ya Tanzania na kampuni DP World tumeona maoni mbalimbali kuhusu vipengele vya huo mkataba. Mkataba huo umekosolewa kwa mapana yake kwa kila kipengele kwamba haufai na watu waliokosoa hawajafanya kwa political interest ila...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa tulipofikia ni bora serikali yote ijiuzulu na uitishwe uchaguzi kabla ya 2025 ili kupata serikali itayoipelekea nchi yetu mahali sahihi

    Ni wazi kuwa serikali ya sasa imeamua kuchukua maamuzi ambayo yamekosa ushauri na mwongozi sahihi. Kuna masuala kadhaa: 1. Mkataba wa bandari za Tanzania Bara na kampuni ya kimataifa ya DP world umewahishwa sana. NI wazi kuwa kulikuwa na mijadala kuhusu "terms" za mkataba hadi umauti...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yasema haiwezi kubadilisha kila kitu kwenye Sheria ya Habari

    Naibu Waziri wa Habari na Teknolojia ya Mawasiliano, Kundo Mathew amewataka wadau wa habari kutosheka na maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229 akisema ni hatua kubwa imepigwa. Ameyasema hayo leo Julai 6, 2023 alipokuwa akifunga mradi wa ‘Boresha Habari’ wa taasisi ya Internews...
  5. JamiiForums Tanzania Tulia: Tusipopitisha bajeti ya serikali Rais anaweza kuvunja bunge

    Unajiuliza, lengo ilikuwa kuwatisha hao wana ndiyo wenzake ama?! Unafikiri bunge letu litakuwa na uwezo wa kuisimamia Serikali kwa ulege lege huo?
  6. JamiiForums Tanzania Serikali Yanunua Magari 727 ya Kubeba Wagonjwa

    Wizara ya Afya imenunua magari 727 ya kubeba wagonjwa yatakayotolew a kwa kila halmashauri na hospitali za mikoa. Naibu Waziri, Dk Godwin Mollel amesema kila halmashauri inatarajiwa kupata magari mawili na hospitali ya mkoa itapata moja. Dk Mollel alisema hayo alipofanya ziara kukagua utoaji...
  7. JamiiForums Tanzania Licha ya kuongoza kutoa wasomi wengi, ni kwanini Mwanza makao makuu ya kanda ya ziwa hawana Vyuo vikuu vya serikali

    Unapozungumzia Kanda ya ziwa ndiko wasomi wengi wanakotoka Kagera Mwanza (Hususan kisiwa cha ukerewe) Mara Mwanza ndio makao makuu ya mikoa ya kanda ya ziwa, Watu wa Kagera na Mara ni rahisi kufikia hapa lakini jiji hili la pili kwa ukubwa hapa nchini halina chuo kikuu, kwanini ? Dar kuna...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Serikali msizuie mkaa, kuni mkitaka misitu ipone ni lazima bei ya gesi ishuke angalau kujaza iwe 10,000

    Nawasalimu ..Tuchepuke kidogo na bandari halafu turudi. Hakuna namna misitu itakwisha tu bila kuweka mbele kipau hiki cha nishati..madhara yake hatuwezi kuyaona leo na utakuta ikifika kiangazi ndio tunaanza kulialia na mvua tunaanza vikao na mikutano ya kujadili hali ya hewa..mvua zikianza...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Vita ya ma-DAS, ma-DC yaichefua Serikali

    Dodoma. Ungedhani baada ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuwaonya wateule wake kuhusu kuendekeza migogoro kazini, hali hiyo pengine ingekoma. Lakini hali sivyo ilivyo. Migogoro isiyokwisha ya makatibu tawala wa wilaya na wakuu wa wilaya kwa baadhi ya wilaya nchini, imeibua hasira ya Serikali...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Kenya wataka serikali ipunguze Matumizi ya Matangazo kwenye Vyombo vya Habari

    Waziri wa Baraza la Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (CS) Eliud Owalo ameashiria mpango wa serikali ya Kenya Kwanza kupunguza matumizi ya matangazo ya vyombo vya habari. Akibainisha kuwa kusambaza matangazo ya Serikali ni jukumu lake, CS Owalo alihoji ni kwa nini serikali...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Zumaridi ni kipimo kwa watu wenye akili na serikali kujirudi na kujitafakari upya

    Zumaridi ni msumari wa moto na chachu ya mabadiliko na wala hamuwezi kumpeleka popote. Mnamnanga kwa yeye kujiita ni mungu, hivi kweli ninyi mnaakili sawa? Je mnataka kumpeleka mahakamani, mahakama ipi inayo hukumu kwa kutumia sheria za MUNGU. ? Mnajifanya mna uchungu sana na MUNGU ilihali...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali kutoitambua Shahada ya Maendeleo Vijijini (Bachelor of Rural Development) toka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoinie (SUA)

    BURUA YA WAZI KWA MKUU WA CHUO CHA KILIMO CHA SOKOINE (SUA) SERIKALI KUTO ITAMBUA SHAHADA YA MAENDELEO VIJIJINI (BACHELOR OF RURAL DEVELOPMENT) KATIKA AJIRA ZINAZOTOLEWA NA UTUMISHI WA UMMA KITENGO CHA SECRETARIET YA AJIRA TANGU SHAHADA HIYO ILIPO ANZISHWA MWAKA 2004. Kwako Mheshimiwa Mkuu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Hii misaada ya EU kukuza uchumi hakuna namna ya sisi wananchi kuwaomba directly ama wao wasimamie? Kuipa serikali zinatafunwa bila kufikia wananchi

    Ishakuwa kawaida kila mara kusikia umoja wa mataifa ya i;aya wanatoa misaa ya ku;eta unafuu wa hali za uchumi kwa wamamchi, pesa zinatolewa lakini zinaishia juu kwa juu Maana tangu zamani tunasikia tu misaada ya kuwainua watanzania kiujasiriamali ili wakuze uchumi inatoka kila mwaka. Ajabu ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imependekeza Sheria zinazolinda Maliasili na Kuikinga Nchi na Mikataba Mibovu zisitumike kwa DP World

    Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️ Angalieni Muswada wa The Written Laws (Misc Amendment) No. 2 Bill, 2023 umesomwa kwa mara ya...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali imeamua kabisa kula kuku kwa mrija kufurahia watanzania kupoteza maisha/kupata ulemavu wa kudumu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Hivyo ndivyo navyo weza kusema kwasababu ni kama viongozi waliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania na kuhakikisha mali na usalama wa maisha yao unalindwa kwa wivu mkubwa. Hizi ajali zinazoendelea kuwamaliza watanzania na kuwaacha wengi wakiwa na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Rugemeleza: Kwa DP World, Samia na serikali yake wameisaliti nchi

    Rais Samia na wenzake walioapa kuilinda katiba na kuitetea nchi, bila ya aibu wameisaliti: Kwamba siyo kuikanyaga tu katiba, bali wamefikia hatua ya kuin*ea?! Kwa hakika na zipigwe kavu kavu! Heshima kwako peno hasegawa. Heshima kwako sana Dkt. Rugemeleza Nshala. Ama kwa hakika unastahili...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi zote za Serikali zihamie Dodoma

    Wananchi toka mikoa ya pembezoni mwa nchi tunaumia sana kusafuri toka Sumbawanga, Kigoma, Kagera kwenda mpaka Dar es salaam kupata huduma kwenye taasisi za serikali. Tunaomba wahamie haraka Dodoma. Ikulu na wizara zote zimeshahamia Dodoma. Wao wanasubiri nini?
  18. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali iteketeze kichaka hiki cha rushwa barabarani

    SERIKALI ITEKETEZE KICHAKA HIKI CHA RUSHWA BARABARANI UTANGULIZI. Maana ya rushwa; Rushwa maana yake ni matumizi mabaya ya mamlaka au nafasi fulani iliyo rasmi kwa lengo lakujipatia faida binafsi kinyume na sheria na kanuni ya maadili ya nchi.Pia tunaweza kusema rushwa ni fedha au...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa bunge hili nyumba ndogo ya serikali, kwanini tusilifute au kulibinafsisha kwanza?

    Kazi za bunge lolote duniani ni kuisimamia na kuishauri serikali kwa niaba ya wananchi, Pili, ni kufanya kazi kwa niaba ya wananchi, Bunge hutoa amri kwa serikali na siyo serikali kutoa amri kwake, Tatu, bunge hutunga sheria kwa mujibu wa matakwa ya wananchi ambao ndiyo wenye mamlaka, Nne, bunge...
  20. JamiiForums Tanzania Laaana za Mzalendo wa Kweli zinavyoitesa Nchi na Serikali ya Bi tozo

    Hi Nisiwachoshe mie Ngosha wa Sengerema Iko Ivi kinachoisumbua hii nchi yetu ni Laana za Mzalendo wa kweli kiwahi kutokea nchi mwetu ,JPM mwana wa Chato. Mama usiyape kisogo maono ya Mzalendo wa kwelii na Majaliwa Kasimu Usiyape kisogo jambo hili Nakufahamu vyema mikono yako ni misafi achana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…