serikali

  1. Dkt. Mwigulu Nchemba awasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali 2023/24

    Maelezo ya Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), Waziri wa Fedha na Mipango, akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023/24 na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2023/24.
  2. Z

    Serikali inaposhughulikia suala la wafanyabiashara Kariakoo ingetufikiria na sisi wafanyakazi, tunaonewa sana

    Serikali inaposhughurikia swala la wafanyabiashara kariakoo ingetufikiria na sisi wafanyakazi: tunaonewa sana kwa kweli. Mifano iko wazi: 1. Kwa mfano, daktari akilala zamu anapolipwa call allowance lazima akatwe VAT 2. Daktari au nesi akilipwa extra duty allowance lazima akatwe VAT 3...
  3. Waziri wa Viwanda Dkt. Kijaji - Serikali Itaendelea kuvijengea uwezo Viwanda vya Ndani

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali itaendelea kuvijengea uwezo viwanda vya ndani vinavyozalisha saruji kabla bidhaa hiyo haijaruhusiwa kuwa kati ya bidhaa kumi zitakazoweza kuingia katika soko huru la Afrika (AfCFTA). Ameyasema hayo tarehe 21...
  4. SoC03 Wizara ya Afya iunde mfumo mmoja wa kompyuta wa afya utakaotumika katika ngazi zote za hospitali za Serikali ili kurahisihsa rufaa na mengineyo

    UTANGULIZI. Kutokana na kukua kwa teknolojia kwa sasa mambo mengi yanafanyika kwa njia ya mtandao na mifumo ya kompyuta, sekta ya afya inatumia mifumo ya afya kukamilisha huduma kwa wagonjwa ambapo taarifa zote zinakuwepo katika mfumo huo. Kila hospitali inatumia mfumo wake kulingana na...
  5. Naishauri Serikali itoe ruzuku Bima ya Afya ya watoto

    Serikali hii yenye fedha nyingi mno kiasi cha baadhi ya watu kujichotea mihela bila aibu hata hofu ya Mungu haiwezi kushindwa kutoa ruzuku kwenye bima ya afya ya watoto. Nilimsikia waziri wa afya akilalamika kuwa michango ni bilioni 4 wakati matumizi ni bilioni 40 (kwa mwaka?). Serikali hii...
  6. Serikali ya Marekani yakiri kuwa na madeni, yaahidi kulipa, wapinzani wasema kiwango cha kukopa kinatia wasiwasi

    Rais wa Marekani, Joe Biden amejaribu kuwahakikishia Viongozi wa Ulimwengu kuwa Marekani haitoshindwa kulipa deni lake licha ya kiwingu kinachogubika mazungumzo ya kuongeza ukomo wa Serikali yake kukopa. Akiongea kabla ya kukutana na Viongozi wa kundi la Mataifa manne linalofahamika kama QUAD...
  7. R

    Kumbukumbu Ajali MV Bukoba Serikali imejifunza Umuhimu wa Ubora Vyombo vya Kusafiria? Inawajibika vya kutosha kupunguza ajali nchini?

    Leo tarehe 21/05/2023 ni kumbukumbu ya ajali mbaya ya meli Buboka, ajali iliyosababisha pigo kubwa kubwa kwa watanzania waliopoteza na wapendwa wao kwenye ajali hiyo iliyotokea 21/05/1996. Tukio hili lilisababisha vifo vya watu zaidi ya 800 limeendelea kuwa kumbukumbu mbaya na yenye maumivu...
  8. Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishi

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo. Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, likifuatiwa na hoja, kisha jibu utalitoa wewe mwenyewe. Swali la mada hii ni Je Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM...
  9. N

    Ikulu ni Makao Makuu ya Serikali ipi?

    Je, ikulu ya Chamwino ni ya Tanzania, je ina maana Tanganyika imezikwa, au kama sivyo ikulu yake itajengwa wapi?
  10. S

    Hivi kweli serikali imeshindwa kuwatia nguvuni matapeli wa mtandaoni?

    Wakuu, Ni hivi, leo nikiwa nyumbani akaja dada mmoja jirani yetu akiwa anaongea na mtu kwa simu yake. Baada ya kukata simu akaniambia kwamba amekuwa anaongea na matapeli na wamemwuliza kiwango cha pesa kwenye akauti yake na kwamba kuna mteja ametuma pesa kimakosa kwenye akaunti ya yule dada na...
  11. Eng: Rogatus Mativila akielezea Mkakati wa Serikali wa kuboresha mtandao wa Barabara nchini pamoja na kupendezesha miji yetu

    Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng: Rogatus Mativila akitoa taarifa fupi ya mradi huo amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) ilitenga fedha kwa ajili ya kuboresha Barabara hiyo ikiwa ni sehemu ya Mkakati wa Serikali wa kuboresha mtandao wa...
  12. Naungana na Shigongo Mawaziri na Watumishi wote wa serikali watoto wao wasome shule za serikali

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema huko tunapoenda tuweke utaratibu kuwa mtu akichaguliwa kuwa waziri, mtoto wake asome shule za serikali. Amesema hii itasaidia kufanya mawaziri wasimame mitaala na kuunda sera zenye maslahi mapana kwa taifa Amesema hayo akijadili bajeti ya elimu...
  13. SoC03 Umuhimu wa serikali kuwa utambulisho wa fingerprint ulio bora zaidi

    Fingerprint ni nini? Kwa kiswahili (alama za vidole) ni alama au michoro inayopatikana kwenye vidole vya binadamu na zina maelezo ya kina ambazo hudumu katika maisha ya mtu na hivyo kuzifanya zifae kama viashirio vya muda mrefu vya utambulisho wake. Zinaweza kutumiwa na polisi au mamlaka...
  14. Condester Sichalwe aishauri serikali kuanzisha Wizara Mpya "Wizara ya Teknolojia"

    MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AISHAURI SERIKALI KUANZISHA WIZARA MPYA "WIZARA YA TEKNOLOJIA" Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Technologia ya Habari ameishukuru Serikali kwa kujenga Minara...
  15. Mbunge Janeth Mahawanga -Aitaka Serikali Kuwekeza Kwenye Majukwaa ya Kuwezesha Wanawake Kiuchumi

    MBUNGE JANETH MAHAWANGA AITAKA SERIKALI KUWEKEZA KWENYE MAJUKWAA YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Tisha Mama Foundation Mhe. Janeth Elias Mahawanga amechangia Bajeti ya Shilingi Bilioni 74.22 ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
  16. Yanga si ya kwanza kupewa ndege na serikali, Simba ilipewa ndege mwaka 1939

    Tuweke rekodi sawa, Mnamo mwaka afu tisa mia kenda 39 Kilabu ya Simba ilishawahi kupewa na serikali na kupanda ndege kuelekea kwenye kombe la Stella na hatimaye kunyanyua kwapa. Majirani msituringishie! Mhenga Mohamed ibn batuta akiwa amenyua ndoo mwaka 1939 A.D 👇👇👇
  17. Siku 10 za Maombolezo na Mazishi ya Malkia Elizabeth II ziliigharimu Serikali Tsh. Bilioni 473.9

    Serikali ya Uingereza imetoa ripoti kwamba, Mazishi ya Queen Elizabeth II yaligharimu zaidi ya TSh. BILIONI 471. Kiongozi huyo alifariki dunia Septemba 8 na kuzikwa Septemba 19, 2022. Gharama zilizokadiriwa ni pamoja na: Idara ya Utamaduni, Vyombo vya Habari na Michezo - £57.42m Idara ya...
  18. Serikali watu wenye akili Sana Kama Mshana Jr, Bams, Robert Heriel kwanini msiwatumie wakaipeleka nchi Mbele?

    Hii nchi yetu inaonekana hipo Katika dimbwi la Umasikini mkubwa kwa kukosa watu wenye MAARIFA ya kuipeleka nchi Mbele. Mtu Kama Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli Bams Kwanini msiwaingize huko serikalini wakaisaidia nchi yetu kuvuka baada ya miaka 60 ya kuogelea Katika umasikini uliotukuka...
  19. B

    Serikali ya CCM isivyo na utu, huruma wala aibu

    Kwa mara nyingine serikali ya CCM imechanwa laivu. Haina aibu, huruma wala utu. Ajabu na kweli yenyewe inaona sawa tu. Inamwakilisha nani kwenye minajili hii? Labda walamba asali, wahuni au wale vijana wa hovyo? Yamejiri laivu kwenye mkutano wa wafanya biashara Kariakoo na Waziri Majaliwa...
  20. Serikali Inaendelea na Utekelezaji Miradi ya Kusambaza Umeme - Ngorongoro

    SERIKALI INAENDELEA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA KUSAMBAZA UMEME- NGORONGORO Na Godfrey Mwemezi, Ngorongoro Arusha. Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji miradi ya kusambaza umeme Vijijini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…