serikali

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itusaidie Watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, kuna mambo ya Uongozi hayapo sawa

    Mimi ni mmoja wa watumishi wa Kituo cha Afya Yombo Vituka, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo kwa muda mrefu yamekuwa magumu kutokana na mwenendo wa katibu wa kituo chetu. Sisi watumishi tunafanya kazi kwa muda wa ziada (overtime), lakini malipo yake hayafanyiki...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wastaafu Rorya Wanamizwa na Mikopo Umiza ya Mtu Anayeitwa 'Adriano', Serikali Ingilieni Kati!

    Kuna unyanyasaji mkubwa na wa kutisha unaoendelea katika Wilaya ya Rorya dhidi ya wazee wetu wastaafu, hususan walimu waliolitumikia taifa hili kwa uaminifu. Kuna mtu mmoja anaitwa Adriano, amekuwa akitumia mwanya wa kutoa mikopo isiyo rasmi (mikopo umiza) ili kupora mafao ya wastaafu kwa nguvu...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayofanywa na CCM na serikali yake JWTZ mnayaona mnakaa kimya ila kuna siku mtatamani zirudi nyuma

    JWTZ mambo yote yanayofanywa na serikali ya kiraia (CCM ) mnayaona mnayafumbia macho kwasasa usalama wa taifa na polisi ni matawi ya CCM ila nyie JWTZ mmeanza kudharauliwa mno kwasasa ile heshima ya zamani hamna tena kwenye JAMII . Ila tusemayo wananchi ni yakini siku Malawi wakizingua...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muhimbili: Huduma ya kulipia kwa Namba za Malipo ilirejea, tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza

    Juni 30, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Watu wengi tumekwama kupata Huduma ya kulipia dawa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) – Upanga tukiambiwa mfumo wa Namba za Malipo za Serikali (Control Numbers) haufanyi kazi, hiyo imetokana na kuwani siku ya mwisho ya Mwaka wa Fedha wa...
  5. polokwane

    JamiiForums Tanzania KKKT imekuwa lango wa Serikali kujisafisha, kanisa limepoteza mwelekeo wake wa kiimani

    Kwa sasa serikali imejifungamanisha na kanisa la KKKT, wanapewa mabilioni kwa kofia ya harambee, wakristo wa kweli ukataeni huu ushenzi, kanisa linapokea rushwa, kanisa limekubali serikali ijisafishie kwenye kanisa hili, hii ni dhambi kwa kanisa na ni dhihaka kwa waumini, Kanisa halijawahi...
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali inapokosa uhalali wa kisiasa kubaki madarakani basi inakua serikali ya vyombo vya dola sio serikali iliyotokana na wananchi bali dola

    Tulionya kuhusu October 29 kwamba serikali kujipachika madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola itakosa uhalali wa kisiasa na ungwaji mkono wa wananchi walio wengi sasa kiko wapi...
  7. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali inapokosa uhalali wa kisiasa kubaki madarakani basi inakua serikali ya vyombo dola sio serikali iliyotokana na wananchi bali dola

    Tulionya kuhusu October 29 kwamba serikali kujipachika madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola itakosa uhalali wa kisiasa na ungwaji mkono wa wananchi walio wengi sasa kiko wapi...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali imeisahau Barabara ya Bonyokwa-Kinyerezi? wananchi tunaendelea kuteseka

    Naomba kuwasilisha kilio cha wananchi kuhusu ujenzi wa barabara ya Bonyokwa, hususan eneo la Kimara Mwisho. Zaidi ya mwaka mmoja uliopita, mkandarasi alichimba upande mmoja wa barabara lakini akaiacha bila kuendelea na ujenzi. Hali hiyo imeendelea kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kampuni za ukopeshaji zinazokiuka sheria na kanuni kwanini hazichukuliwi hatua?

    Napenda kuwasilisha kero yangu kuhusu kampuni za mikopo ya mtandaoni. Serikali ilitangaza hatua za kudhibiti na kuchukua hatua dhidi ya kampuni zilizokuwa zikikiuka sheria na haki za wakopaji. Hata hivyo, hadi sasa kampuni nyingi zinaendelea kutoa mikopo na, pindi mkopaji anapochelewa kufanya...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Serikali yakana kuuza rasilimali za misitu kwa biashara ya kaboni

    Serikali imesema haijauza wala haijakabidhi rasilimali za misitu au maliasili za Tanzania kwa mataifa ya nje kupitia makubaliano ya biashara ya kaboni, ikisisitiza kuwa hatua zinazoendelea zinalenga kuongeza manufaa ya kiuchumi kwa taifa huku zikilinda maslahi ya wananchi. Akizungumza na...
  11. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Waandishi wa habari kama kuna kasoro andikeni Serikali itafanyia kazi

    Akijibu maswali ya waandishi wa habari mbali mambo mengine bwana Msigwa aliwaambia waandishi hao kuwa kama kuna kasoro waandike na serikali itafanyia kazi. Mojawapo ya kasoro kubwa ambayo ipo na vyombo vya habari vya Tanzania haviandiki, havisemei au hata kufanya uchunguzi (documentary) ni...
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hahahaha ndo nimejua kumbe internet ilizimwa na serikali 29/10/2025, Grid ya Taifa ilizimwa na heche na wenzake ili walipindue Taifa Jana?🤣🤣🤣🤣

    Naanza kuwajua WABAYA wa Taifa letu taratibu Sasa Umeme ni kitu MUHIMU saa kwa ulinzi wa Taifa letu😅 Internet ni MUHIMU sana kwa wapinzani wakitaka kupindua inji yetu ya Tanzania. Naelewa Sasa kumbe gridi ya Taifa Jana ilizimwa na heche na wenzake wakina Tundu Lissu ili walipindue inji yetu...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM na Serikali wameharibu kabisa makazi ya kikoloni ya Masaki na Oysterbay, leo wanalia makelele

    Viongozi wetu, tena wa CCM na Serikali, wameiharibu kabisa Masaki na Oysterbay, kutokana na kuharibu Mipango Miji. Taratibu, Masaki na Oysterbay zinageuka kuwa Upanga , kumbi za Disco, makunywaji na Mtaa wa Uhuru, badala ya makazi ya viongozo waandamizi wa serikali. Leo viongozi wenzao...
  14. mirindimo

    JamiiForums Tanzania SERIKALI KUU YA STRUGLE KULIPA WAZABUNI PESA HAITOSHI YAHAHA ISHIKE LIPI

    Habari za ndani kutoka kwa Exchequer ambazo zimetoka wiki iliyopita ni kwamba pesa haitoshi , na Serikali kuu imeamua Ilipe kwanza Wafanyakazi Mishahara, kisha Italipa kwanza Wabunge Mishahara na Posho zao zote na Madai yao yote na kisha ndio itatizama Wazabuni wanaoidai na Wazabuni hao...
  15. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali ikomeshe biashara ya wizi wa mafuta kwenye magari makubwa maeneo ya Manyoni na Singida

    Wilaya ya Manyoni mkoani Singida inakabiliwa na tishio kubwa la kiusalama na kiuchumi kufuatia kushamiri kwa mtandao hatari wa wizi wa mafuta unaofanywa na baadhi ya madereva wa magari makubwa ya masanduku na yale ya kusafirisha mafuta kuelekea mikoa ya jirani na nchi za nje. Uchunguzi na...
  16. John Sin

    JamiiForums Tanzania Walokole ndo chanzo cha migogoro Ofisi za Umma na binafsi

    Hawa watu ndo chanzo cha migogoro yote katika kila ofisi Hawa watu anaweza kua anakuchekea lakn anakufanyia majungu hata shetani mwenye anatamani ajifunze somo kwao Hawa watu wapo kama miungu watu hawakosea na sisi wengine ni subhuman Hawa watu kusengenya ndo kipaji chao kikuuu ondoka...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama kuna watu wanalipwa na mabeberu na kuna ushahidi wa incite mutiny. Kwanini serikali isiwakamate?

    Hili ni kosa kubwa sana wala sio la kulipwa pesa na kuchochea vijana waingie mitaani kufanya uhaini. Sasa inakuwaje tunaambiwa kuwa watu wamewekewa pesa ili kulipa vijana waandamane? Ushahidi wa waliolipwa upo na namna pesa zilivyowafikia upo. Kwa nini hawakamatwi?
  18. S

    JamiiForums Tanzania Matendo, maamuzi na kauli za viongozi wa serikali na CCM zinafanya hata wasiopenda siasa kuwapinga, kuwachukia na kujiingiza kwenye siasa bila kupenda

    Nitoe mfano wangu binafsi. Mie sio mwanasiasa, na wala sijawahi kujihusisha na siasa. Lakini mtu yeyote akisoma thread zangu anaweza kuhisi mie ni mwanachama wa Chadema au chama kingine cha upinzani. Si kweli. Nakiri walionifikisha hapa ni CCM na viongozi wa serikali. Unakuta mara nyingi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuchaguliwa serikali ya CCM onesha kuwa katiri. Simbachawene alionekana kutumia busara, hekima and the like , wakamlamba

    Mwigulu na Katambi na wengine wote wa rank za juu ni makatiri. Ndiyo sifa ya sasa kuwa Waziri, PM and the like. Simbachawene alianza vizuri. Wakaona huyu siyo katiri wakamtoa
  20. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la Serikali ya CCM ni Denial

    Kwa ufupi kabisa, mpaka sasa Taifa la Tanzania limeshapoteana. Sababu kubwa ni CCM kushindwa kuelewa kuwa Generation has changed, na hata modality ya kuongoza nchi na kuchanganua mambo inapaswa kubadilika. Modality ya kutisha tisha raia, kuteka watu ilianzishwa na Nyerere na inatumika hadi...
Back
Top Bottom