Kuna vitu mpaka unajiuliza hivi hawa wapinzani uchwara wanavuta bangi ya Msumbiji, Malawi au hii hii ya Arusha.
Katiba mpya sawa .
Mnazunguka kudai katiba mpya.
Kwenye madai kuna pande 3 .
1. Mdai
2.Mdaiwa
3.Msuluhishi, mpatanishi, mwamuzi.
Nambari tatu si lazima.
Huyu mdaiwa wa katiba mpya ni...
na watu binafsi pia wapewe vibali waanze kilimo hicho kuwepo na mashamba darasa,
Zao la Bangi likishaa komaa na kukaushwa liwe processed kidogo then lipelekwe nje direct kwenye viwanda vya madawa ya binadamu.
Tz mapori ni mengi sana
Viongozi wa serikali, washirika wa maendeleo, wataalamu wa afya, asasi za kiraia pamoja na wawakilishi wa jamii wamekutana jijini Dodoma, Juni 18, 2026 katika kongamano la kujifunza lenye kaulimbiu “Kudumisha Mafanikio Yaliyopatikana katika Afya ya Uzazi na Jinsia”, kuadhimisha kufungwa rasmi...
Jamani hii ni noma! Wakati wananchi wanaambiwa kubana matumizi na kukaza mkanda, ripoti ya Controller of Budget imefichua kuwa serikali ilitumia Ksh.17.3 billion kwa safari za ndani na nje ya nchi kati ya Julai 2025 na Machi 2026.
Bunge liliongoza matumizi makubwa ya safari huku State House...
Wale walioajiriwa mwaka 2014 walikaa miaka 7 (miaka saba) Kwa lugha ya who are you (SEVEN YEARS) bila kupata nyongeza wala kupandishwa daraja bila kosa lolote! imagine kuanzia mwaka 2014 wakaja kupanda daraja mwaka 2021! pamoja na nia nzuri ya serikali LAKINI kuna haja ya kufidiwa hili daraja...
KWA LEO TUANGAZIE BAJETI YA NCHI KWA UPANDE WA MADENI 2026/2027
Pamoja na changamoto lukuki zilizopo kwenye nchi yetu tutoe maoni yetu kuhusu Hili haya madeni yanaonyesha kuongezeka bila kupungua
Hizi ni Kodi zetu tuna haki ya kutoa maoni na pengine kushauri Nini kifanyike kuiweka nchi rehani...
Mchezo uliopo sasa kila CCM na UVCCM wanahisi wanacho tumwa kuwa kinafanywa na upinzani.
ila watambue CCM imefikia sasa mtashangaa pesa zimepotelea wapi na zimeama nchi gani.
Singapore,dubai na russia ndio watu wazuri wa miamala ya cryptocurrency.
Na ili litawasaidia CCM kupeleka pesa zao ili...
Bunge la Seneti la Marekani limetaka kuanza kwa mazungumzo ya maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani, ikiwa ni sehemu ya mapitio ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Tanzania.
Sharti hilo limejumuishwa katika fasili B(4) ya kifungu cha saba cha Muswada...
Siulizi kwa kejeli wala kebehi. Nauliza kimaanani kabisa.
Watu walioshinda uchaguzi kwa 98%….
Watu waliopigiwa kura milioni 31+….
Watu ambao serikali yao inawakamata na kuwaweka ‘wahaini’ jela na magerezani….
Watu ambao wanaamini kabisa kuwa watu wote waliouliwa Oktoba 29 waliuliwa kihalali...
Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) umetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika Ujenzi wa Mwendokasi Mwenge -Tegeta utakamilika lini? Ni kweli Mkandarasi ana vifaa vichache, wafanyakazi hawatoshi?
UFAFANUZI WA TANROADS:
Serikali kupitia TANROADS inatambua...
Mdau, naomba kuuliza na kupata ufafanuzi kuhusu suala la ajira hewa au ajira zisizotekelezwa kwa wakati.
Ni kwanini Serikali hutangaza ajira ambazo hazitekelezwi kwa wakati au zinabaki kwenye hatua ya matangazo bila kuajiriwa? Je, lengo ni kuwadanganya wananchi ili wawe na utulivu na matarajio...
Dr Saada Mkuya Salum, aliteuliwa na Rais Jakaya Kikwete mwaka 2012 kuwa Naibu Waziri wa Fedha katika serikali yake, na baadaye alipofariki Waziri wa Fedha William Mgimwa 2014, akachukua nafasi ya Waziri wa Fedha , Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Sasa hivi Dr Saada Mkuya ni Kaimu...
Takriban Wakenya 50 wanaoishi South Africa kupitia kundi la Kenyan Diaspora in South Africa (KEDASA) wameiomba serikali ya Kenya kuingilia kati na kuwasaidia kurejea nyumbani kutokana na hali ya usalama inayozidi kuwa mbaya.
According to reports, wengi wao wamepoteza ajira, wamekuwa wakikumbana...
Mwezi January mwaka huu 2026, kampuni ya mabasi ya mwendokasi MOFAT ilituma ombi kwa LATRA kwamba walikuwa wakipata hasara ruti ya Mbagala kutokana na uwepo wa bajaji, bodaboda na daladala. Sisi wa zamani tunakumbuka wakati wa zoezi la ubinafsishaji sekta ya benki, benki binafsi za nje walitaka...
Usione ubabe wa Chalamira jua kuna jambo linakuja mtabaki mkijiuliza nguvu kapata wapi.
Ndio maana lolote likitokea kama litafanikiwa mtaanza kuvuta picha ya nyuma .Hii code naogopa maana inaweza kufanya mauwaji na utekaji mkubwa ndani ya mfumo kuhisi kuna kuvuja.
Ila tambueni mtoto kama...
Kutokana na ongezeko la mizigo katika bandari ya Dar es Salaam, Serikali imekuja na mpango wa miaka 10 kuanzia Julai 2026 kwa ajili ya kupanua maeneo ya kuhifadhi mizigo kwa ujenzi wa bandari kavu (ICD) mitaani.
Hayyo yameelezwa Juni 16, 2026 na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Jomaary Satura...
Utangulizi
Baada ya kuangazia ukubwa wa tatizo, vyanzo, na athari za ukataji miti hovyo katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kupitia makala mbili zilizopita, sehemu hii ya tatu na ya mwisho inajikita katika kuchambua hatua za kuchukua ili kudhibiti hali hii.
Hatua hizi ni muhimu...
Watumishi wa serikali ajira ya 2021 mwezi wa 7, tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja.
Mikataba inadai mtumishi atapandishwa daraja baada ya miaka 4 kazini, lakini sisi tumemaliza miaka minne mwaka 2025 tukaambiwa bado hatujakidhi vigezo hadi mwaka 2026, ambapo inakuwa ni miaka mitano...
Anonymous
Thread
ajira
baada
daraja
kuhusu
kupandishwa madaraja
madaraja
mikataba
mtumishi
mwezi
serikali
watumishi
watumishi wa serikali
Pamoja na mifumo sasa ni wazi kabisa maono ya serikali fake ya Tanzania na Watanzania wenyewe ni tofauti sana
Serikali bado inataka mfumo wa kizamani lakini Watanzania wamebadilika na mfumo mzima hauendani kabisa na matakwa ya watanzania. Ushahidi ni katiba . Watanzania wanataka katiba mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.