serikali

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali imesema tuongezwe mishahara lakini Fanikiwa Microfinance inatuongezea 'target ya kufikisha'

    Kuna Taasisi inaitwa Fanikiwa Microfinance inajishughulisha na utoaji wa mikopo, Makao Makuu yapo Dar es Salaam na pia wana matawi mengi Mikoani. Alipoingia Rais Madarakani waliambiwa waongeze mishaara kufikia laki 6, walipoambiwa hivyo wakatupandishia target kufikia milioni 20 kwa mwezi ili...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Balozi Sefue: Tunashauri Serikali itoe muda wa mpito wa mwaka kutolipa kodi ya mapato ya biashara mpya

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mchango wa magufuli kwa serikali msije kusema shetani wala wachawi,Naona wengi wanakipata

    Ukweli ni kwamba mtu mwenye malengo ya pesa ya kusema kwa kwa kwinywa chake leo ni marehemu na kupa pole. Hii pesa 2030 ya watanzania kuna watu naona ndoto zao sio utani ,maana wengine wanajionesha wazi wazi na wazi. kuna nyimbo ya solo inaitwa shangazi kaja
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali Yashitakiwa! Billions Ziko Hatarini as Katiba Institute Storms Court

    Katiba Institute imeenda kwa Milimani High Court kujaribu kusimamisha utekelezaji wa National Infrastructure Fund Act, 2026, ikisema sheria hiyo ni unconstitutional. Petitioners wanataka court itoe conservatory orders kuzuia serikali kuimplement Act na pia kusitisha kupeleka pesa za...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa anamjibu Mamba Dudubaya kuhusu mashine ya MRI

    https://www.youtube.com/live/46Sy9QdFj7Y?is=de5o1xbYrhPjwSgH Yupo Live TBC. Anawaambia wana habari wawe makini wanaporipoti hiyo taarifa ni kinyume na sheria za nchi Naona Dudubaya kachangiwa
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali ipongezwe kwa kuongeza Mabasi Mwendokasi ruti ya Kimara tena yasiyo na rangi ya kijani maana Ruti hiyo haipendezwi na rangi ya kijani

    Hamjambo wote! 1. Mapema wiki hizi kumekuwa na ongezeko la mabasi ya Mwendokasi Ruti ya Kimara Mbezi. 2. Mabasi ni mapya na mazuri. 3. Kiyoyozi na WiFi kama zote. Password utajua pakuipata. 4. Serikali kwa hilo ipongezwe kwa sababu kama yakiwa hayapo watu wanalalamika na kukosoa. Basi yakiwepo...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM bwana

    Hivi kuzunguka kwa waziri mkuu nchi nzima kutatua kero ina maanisha idara zote zimeshindwa na yeye kajivika majukumu yote.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nimesisitiza kutolimbikiza viporo vya kero na migogoro, kwani inatishia undugu wetu

    Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu Mwigulu ameonya pia mwenendo wa kulimbikiza migogoro jambo linalopelekea kwa kua migogoro hiyo inatishia undugu wetu kama Watanzania. Ameeleza kuwa wakati mwingine wanaosababisha migogoro hiyo ni watu walioamaniwa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mchezo wa wananchi kuagizwa kununua dawa mtaani haukubaliki, duka la mtaani linapata wapi dawa ambazo serikali haiwezi kuiapata?

    Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu ameonya tabia ya vituo vya afya kuwaagiza wanaanchi wakanunue dawa nje ingali nchi una utoshelevu wa dawa katika maeneo ya kutolea huduma za afya. Mwigulu amehoji duka la dawa linaweza kupata wapi dawa ambazo serikali haina?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Serikali, alikeni Emirates, Qatar Airways waweke temporary Hub JNIA wakati huu wa machafuko

    Ushauri wa bure kwa serikali, Ndege nyingi za mashirika ya Uarabuni zimepaki na zinakula hasara kutokana na vita vinavyoendelea, kwa nini msiondoe kodi zenu zenye utitiri mwingi na transit visa fees kisha kualika makampuni haya yaweke hub ya muda hapa Julius Nyerere International Airport? Tuna...
  11. haszu

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM huu mtandao wa Discord umewafanya nini?

    Kuna training nimejiunga na wana Discord channel, cha ajabu eti imefungiwa Tanzania Sasa mbona mmezidi wadau? Kwa kweli sijapenda na nimechukia sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nanauka awasihi vijana kuacha kukaa vijiweni na kupiga soga, watumie kikamilifu fursa za Serikali na za wadau

    Baada ya karne nyingi kupita, 2025 Rais wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amekuja na maono ya kumfikisha kijana kwenye ndoto yake anayoitamani. Ameunda Wizara mahususi kwa ajili ya kusikiliza hoja za vijana, kuwaongoza na kuwawezesha kufikia nchi ya ahadi ya asali na Maziwa. Inawezekana...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tume mgogoro Ngorongoro: Serikali isitishe ujenzi wa Nyumba kwa ajili ya Wananchi wanaohamia Msomela, Kitwai (B) na Saunyi badala yake wapewe pesa

    Mapendekezo ya Tume ya Rais iliyofanya tathimini kuhusu mgogoro wa ardhi na uhamaji wa hiari, Ngorongoro Eng. Musa Iyombe amesema uamuzi wa Serikali kujenga nyumba kwa wakati huo ulikuwa sahihi hata hivyo imebainika kuwa utekelezaji wake ulikuwa na dosari zinazohitaji kufanyiwa kazi. Tume...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzuia internet na kumwaga askari mitaani ilihofia uwepo wa mwakilishi wa UN kuchunguza 29 Oct 2025 watu wangeandamana tena akiwapo nchini?

    Kama umegundua, hivi karibuni kumekuwa na changamoto za upatikananji wa internet, na kwamba askari walikuwa wamewaga mitaani kwa wingi kuliko kawaida, wakiwa na silaha. Labda usichoelewa ni kwamba katika hizo siku, mwakilishi wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa, Onanga-Anyanga, alikuwapo nchini...
  15. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kwanini JF inachukiwa na serikali?

    Kwa sababu ina toa maoni wasiopenda KUSIKIA watawala . Kuna uhuru wa kutoa maoni Kuna wa expose wafisadi na wabadhirifu. ..........ongezea Nataka KUSIKIA kutoka kwa upande wako. Ni sababu gani zimepepekea serikali kuwa na chuki na hili jukwaa? Huenda sababu hizi zikasaidia pia kwa upande wa...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Diaspora wa Iran wanaichukia sana Serikali ya Iran

    Katika diaspora wanaoongoza kuichukua serikali yao waIran wanaoishi nje ya nchi yao wanaweza kuwa wanaongoza, wengi wao wanafurahia hadi Iran inavyoharibiwa kwa mabomu! Hakuna diaspora kabisa wa kuutetea utawala wa Ayatollah, yani wanazidiwa hata na CCM ambao angalau ina watetezi huko ughaibuni!
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kijaji: Serikali itatoa Shilingi Bilioni 8.1 kukarabati miundombinu Serengeti

    Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema serikali itatoa shilingi bilioni 8.1 kwa ajili ya matengenezo ya miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha baadhi ya magari ya watalii kukwama kuendelea na safari kwa muda mrefu...
  18. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anasimama anasema foleni inasababishwa na magari machafu yasiyo na AC

    Leo nilikutana na clip moja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Chalamila. Katika clip hiyo Chalamila anasema moja ya sababu inayosababisha foleni zisiishe ni uwepo wa magari yenye namba A, na mengine ambayo ni machafu na hayana AC (kiyoyozi). Halafu bado mna matumaini ya kuletewa maendeleo na...
  19. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati, homa ya nguruwe inafirisi wafugaji

    Kwa sasa mkoa wa Mwanza unakabiliwa na mlipuko mkubwa wa homa ya nguruwe. Ugonjwa huu umesababisha hasara kubwa kwa wafugaji wengi – mabanda mengi yamesafishwa na nguruwe kufa kwa wingi. Kutokana na hali hiyo, sisi kama Chief Farm tumechukua tahadhari kali za kibaiolojia (biosecurity measures)...
Back
Top Bottom