serikali

  1. Hivi kuna maandamano yoyote yaliyoitishwa Tanzania juu ya Serikali kisha yakafanikiwa?

    Wakuu na wajuzi wa mambo naomba kuuliza swali. Binafsi tangu nimepata akili zangu, sijawahi ona hata maandamano moja iliyoitishwa ama kuratibiwa kwa ajili ya kuishinikiza Serikali ama kulaani jambo fulani lilifonaywa na Serikali kisha hiyo maandamano ifanikiwe. Hapa sizungumzii maandamano ya...
  2. Y

    Course zitolewazo katika taifa langu na kupewa hadhi ya u special zimekosa impacts

    Tumekua wahanga wa elimu kwa kufata mihemuko ama kwa kutokua na uelewa na mambo yalihusulo taifa, serikali imekua kipofu kwa ktokua na maono ya moja kwa moja kwa vijana wa kitanzania. Course zitolewazo katika taifa langu na kupewa hadhi ya u special zimekosa impacts za moja kwa moja kwa taifa ...
  3. Serikali Ifanye Hili Kabla ya kuruhusu Mabasi Kusafiri Kwa Saa 24, Vinginevyo Mtaua Watu Wengi

    Serikali imesema hivi karibuni itaruhusu mabasi kusafiri kwa saa 24, ni jambo jema sana endapo jambo hili muhimu litafanyiwa kazi. Jambo lenyewe ni kufunga taa kwenye barabara kuu zote, fungeni taa zinazotumia solar panels ili kuongeza mwanga barabarani, kwa wanao endesha usiku watakubaliana...
  4. Mbunge Zainab Katimba aiomba Serikali kuyajengea uwezo makampuni ya ndani Ili kupata Fursa ya Mikataba ya manunuzi

    "Asante sana Mheshimiwa Spika kwa kupata fursa ya kuchangia hoja ya Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023" - Mhe. Zainab Athuman Katimba, Mbunge wa Viti Maalum "Ni dhahiri asilimia 70 ya bajeti ya Serikali inaenda kwenye Manunuzi. Ni dhahiri katika kipindi hiki cha hivi karibuni...
  5. Serikali Kuendelea Kudhibiti Mimea Vamizi Katika Maeneo ya Hifadhi

    NAIBU WAZIRI KITANDULA - SERIKALI KUENDELEA KUDHIBITI MIMEA VAMIZI KATIKA MAENEO YA HIFADHI Serikali imesema inaendelea na jitihada za kudhibiti mimea vamizi katika maeneo ya Hifadhi na Mapori ya Akiba kwa lengo la kurejesha uoto wa asili nchini ambao ni tegemeo kwa wanyamapori. Hayo...
  6. Serikali Kuendelea Kuhamasisha Uwekezaji na Uendelezaji wa Viwanda Nchini - Mhe. Kigahe.

    Serikali kuendelea kuhamasisha uwekezaji na uendelezaji wa viwanda Nchini-Mhe.Kigahe. Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe amesema kuwa Serikali inaendelea na juhudi za kuhamasisha uwekezaji wa viwanda vipya na uendelezaji wa viwanda vilivyopo katika Sekta ya Mifugo na...
  7. D

    Serikali zuia mauaji haya yasitokee. Mnyeti hili ni lako!

    Wanajamvi, wazee wetu walituasa kwamba kinga ni bora kuliko tiba! Kambi ya wavuvi Migongo Kijiji cha Kisaba kata ya Maisome Sengerema mkoani Mwanza hali ya usalama si shwari na damu inaweza kumwagika muda wowote toka Sasa. Kambi hii inaweza kuongoza mkoani Mwanza kwa uvuvi haramu kwa kutumia...
  8. M

    Wamasai wamueleza Lissu namna wanavyofanyiwa ukatili wa kutisha na Serikali

    Wamemueleza kuwa: 1. Serikali huwa inasogeza mipaka kimyakimya kinyume cha sheria ili kupanua eneo la hifadhi na kuwaminya 2. Serikali huwa inachoma maboma yao ili kuwafrustrate waondoke 3. Na hata kwenye eneo ambalo siyo la hifadhi ambapo huwa wanafanya vilimo vidogovidogo serikali huwa...
  9. G

    Wajumbe wa nyumba kumi au serikali za mitaa ndio wajumbe wa Chama ( CCM)?

    Nilikuwa nauliza ndugu zangu naomba kupata ufafanuzi wa hili jambo binafsi linanichanganya hawa wajumbe wa Serikal za mitaa au balozi wa nyumba kumi ndio hao hao wajumbe wa chama (CCM)?
  10. F

    Shule za English Medium ni kiwanda cha kuongeza Depression kwa wazazi na watoto. Serikali iboreshe shule za umma

    Wazazi wengi wana msongo wa mawazo kutokana na stress za kutafuta ada za shule za kina junior wao wanaosoma english medium eg. Atlas, Tusiime, etc. Muda wa kulipa ada ukifika mzazi anakuwa na hasira hasira tu sababu ya msongo wa mawazo Watoto na wao wana msongo wa mawazo kutokana na ratiba ya...
  11. Maoni yangu kwa Utumishi (Ajira Portal)

    Haya yakizingatiwa angalau yatasaidia kuboresa mazoezi ya usaili yanayoendeshwa na Utumishi: 1. Katika upande wa mwombaji Waboreshe utoaji wa taarifa kama kuitwa, matokeo, ratiba na mabadiliko yoyote kupitia sms kwa sababu taarifa wanazotoa kwenye website na mifumo inaweza kukwamishwa na mtu...
  12. Serikali ichukue hatua hizi haraka ili kuinusuru nchi na tatizo la upungufu wa fedha za kigeni

    1. Serikali isitishe kwa muda matumizi yasiyo ya lazima (anasa) yanayohitaji fedha za kigeni kama vile kununua magari ya kutembelea viongozi na safari za nje ya nchi (zote mpaka za SSH hazina tija). 2. Kampuni za ndani zitakazolipwa kwa shilingi zipewe kipaumbele kwenye miradi ya ujenzi na...
  13. Wastaafu waweka ngumu Serikali kutoa Elimu ya Katiba kwa Miaka 3

    Mpango wa Serikali kutumia miaka mitatu kutoa elimu ya Katiba kwa wananchi kabla ya kuendelea na mchakato umepata upinzani mpya baada ya mawaziri wakuu watatu wastaafu kuhoji sababu za uelimishaji huo. Mawaziri wakuu hao ni, Cleopa Msuya na Frederick Sumaye na Jaji Joseph Warioba kwa nyakati...
  14. Serikali iweke ofisi za Mkuu wa Wilaya pembeni ya Mji Mkongwe wa Mikindani, Mtwara

    Wakuu, Ni bandiko la pendekezo kwa serikali ya Tanzania kwamba kwa kuwa mji mkongwe wa Mikindani, Mtwara una historia ya kuvutia sana kwa vizazi vya sasa na vijavyo napendekeza makao makuu ya mkuu wa wilaya ya Mtwara yahamishiwe pembeni ya mji huo mkongwe ili kushamirisha shughuli za kiuchumi...
  15. Barabara ya 4-8 na eneo lote la Ngamiani jijini Tanga kwanini serikali hailitendei haki kwa kuhimiza ujenzi wa nyumba za kisasa na kuondoa uchafu?

    Wakuu, Wagosi wa kaya wamo vibarazani huku jiji lao limetelekezwa kurejeshewa hadhi yake ya zamani. Reli waliboreshewa na hayati JPM mpaka stesheni ilikarabatiwa ikabaki kidogo treni ianze safari kwenda huko lakini mipango ikaenda hali jojo hadi leo. Swali kwa serikali, kwanini jiji hilo...
  16. Waziri Makamba akutana kwa mazungumzo na Waziri wa Viwanda na Teknolojia ya Juu wa Serikali ya UAE

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba (Mb.) amekutana na kuzungumza na Waziri wa Viwanda na Tekinolojia ya Juu wa Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu, Sultan Ahmed Al Jaber Jijini Nairobi, Kenya. Waziri Makamba amekutana na Al Jaber pembezoni mwa Mkutano...
  17. Serikali yang'ang'ania malipo kwa dola

    Sintofahamu ya uhaba wa Dola umejibiwa kiasa na wasio wanasiasa na wenye mamlaka huku hali halisi ni kwamba mabenko ama hayana dola ama yanazo lakini ymehodhi kwa sababu wajuazo wenyewe. Pesa ya Turkey iliporomoka zaidi ya Asilimia 💯 dhidi ya Dola na mfumuko wa bei ni zaidi ya Asilimia 70%...
  18. Tatizo la serikali hii ya Awamu ya Sita si wateule bali ni Mteuzi na Mwapishaji

    Ifike mahali sasa tuache kuzunguka mbuyu samia kwa sasa anatakiwa awajibike kwa kila ovu au zuri linaloikumba nchi yetu. Kwa sasa tunasema she is responsible for everything tuache kusingizia mawaziri anaowateua. Kama ni kuunda serikali mda umepita ana zaidi ya miaka miwili sasa. Kama. Ingekuwa...
  19. Kama mafuta yatapatikana kesho au keshokutwa Baada ya bei kupanda ntaidharau sana serikali hii

    Nilikuwa na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna, nimeahirisha safari muhimu. Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo. Kama endapo mafuta yatapatika kesho Baada ya bei kupanda for sure tutajua Serikali imeshatekwa.
  20. D

    EWURA inatia aibu kufungia vituo vya mafuta visivyouza

    Habari Wananchi Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza! Ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni! Ifahamike Ewura hana shea yoyote kwenye mitaji ya wafanyabiashara ya mafuta: Wakati mfanyabiashara anatafta mtaji huwa peke yake, Anapotafta eneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…