serikali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Utaifa wa Tanganyika umeanza kukua kwa kasi, kuna hatari ya kuzuka mgogoro wa Kijamii, Serikali 3 ni sasa

    Ninafuatilia maandamano ya Gen Z; 7/7, kuna vitu symbolic kabisa naviona. Baada ya Tarehe 7/7 tutarajie kuona mijadala ya kuwatenga Wazanzibari walioko Tanganyika, Tutarajie kuona chuki kubwa dhidi ya Wazanzibari na hata fujo dhidi ya Wazanzibari, na kama kutakuwa na maandamano ya kuchoma moto...
  2. JamiiForums Tanzania Kama unaitetea hii serikali wewe ni mnufaika wa udhalimu

    Kwa namna ambavyo hii serikali imekuwa ya kidhalimu hakuna mtu mwenye roho ya ubinadamu anaweza kuitetea,na hakuna mwenye roho ya utu anaweza kukubali kunyamaza kimya. Wasomi wamekuwa washenzi wakuliangamiza taifa kwa vipande vya pesa mbaya zaidi umri wao wengine umesha kwenda,nguvu ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Vikao vya Online hasa vya Serikali, Je usiri au Confidentiality, (information Protectionism ipo)

    Nimewaza sana matumizi ya Google Team, Zoom na Apps nyingine nisizo zifahamu zinazo tumika kuendesha vikao mbalimbali, na hata hutumika katika matumizi Serikalini. Je? Tuna uhakika na usalama wa taarifa zetu!? Maana Apps hizi ziko controlled na wao!!. Tumeweza ku develope emails na mengine...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 62.33 kwa mwaka 2026/2027

    kwa mwaka2026/27 Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 62.33, ikiwa ni ongezeko la asilimia 10.3 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2025/26. Mchanganuo wa Matumizi ya Shilingi Trilioni 54.5 Waziri wa Fedha amefafanua kuwa kiasi hicho cha fedha kimetengwa kwa ajili ya...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Serikali imekopesha Machinga Tshs bilioni 18.5 2025/26, zitaongezwa Tshs. bilioni 10. 5 kwenye mikopo 2026/27.

    Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 Serikali pia imeanzisha Mfuko wa Machinga wa kuwezesha wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama machinga, ambapo shilingi bilioni 18.5 zinaendelea...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Serikali imetenga Tshs bilioni 200 kuwawezesha Vijana Kiuchumi hadi Aprili 2026, Tshs 52.6 zimeshatolewa

    Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 akidai Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 200 kwa ajili ya Programu ya Kitaifa ya Uwezeshaji Vijana Kiuchumi ambapo hadi Aprili 2026...
  7. JamiiForums Tanzania Ada ya usajili wa pikipiki kuongezeka kutoka Shilingi 95,000 hadi Shilingi 150,000

    Serikali inapendekeza marekebisho ya Kodi na Ada za Pikipiki (Bodaboda) 2026/2027. Serikali imeamua kutowaingiza wafanyabiashara wa pikipiki (bodaboda) kwenye mfumo wa kodi ya makadirio (presumptive tax), kutokana na ugumu wa utekelezaji wake kwenye sekta hiyo. Badala ya kodi hiyo, Serikali...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza ushuru kwenye magari ili kuongeza mapato na kupunguza uchafuzi wa mazingira

    Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema ..... Kuongeza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye magari yaliyotumika yanayoingizwa nchini kutoka asilimia 15 hadi asilimia 20 kwa magari yenye umri wa miaka nane...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inapendekeza kusamehe kodi ya Ongezeko la Thamani kwenye vifaa vya kuchajia magari ya kutumia umeme

    Serikali imependekeza hatua kadhaa za kodi kwa mwaka wa fedha 2026/27 ili kuchochea matumizi ya nishati ya umeme na gesi asilia nchini. Hatua hizo ni pamoja na kusamehe Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye vifaa vya vituo vya kuchaji magari ya umeme vinavyoingizwa nchini, kupunguza ushuru...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha anasoma Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27, leo Juni 11, 2026

    Serikali kupitia Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) inatarajia kuwasilisha Bajeti Kuu ya Mwaka wa Fedha 2026/27 leo Alhamisi Juni 11, 2026 Bungeni Jijini Dodoma. Balozi Khamis Mussa Omar alinukuliwa akisema bajeti hiyo itatumika kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Mpango wa...
  11. JamiiForums Tanzania Responded HOJA Utumishi PEPMIS ni bomu linaloenda kutengeneza chuki baina ya Serikali na Watumishi

    Tangu awamu ya sita ingie madarakani changamoto za Watumishi wa Umma zimekuwa zikitatuliwa kwa wakati na malalamiko yalikuwa madogo sana ila kwa sasa huu Mfumo wa PEPMIS umekuwa kama mtego wa kuwagawanya Watumishi wa Umma. 1. Utendaji kazi wake upo kwa ngazi ya mtumishi, kwenda kwa msimamizi...
  12. JamiiForums Tanzania Nini mpango wa serikali kuthibiti hoja zenye kuleta mgawanyiko hasa kutoka kwa Zanzibar?

    Salama. Imekua too much sasa maana imefika hatua haiwezi kuvumilika hasa kauli za viongozi kutoka Zanzibar Mwanzo walisema wawafurushe watu wanaofanya kazi mahotelini ambao sio wazanzibar Leo tena kama sio mzanzibar hautatibiwa bure Sasa hizi kauli zisipothibitiwa zinaongeza uhasama na...
  13. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali Iingilie Kati Mishahara Shule Binafsi

    Naomba SERIKALI ifuatilie maagizo kuhusu MSHAHARA KIMA CHA CHINI Kwa TAASISI binafsi hasa Kwa shule mbali mbali MFANO shule ya mchungaji mwema sec iliyoko NGARA KAGERA inalipa Watumishi TSH. 150000 badala ya 350000 Soma Pia Wafanyakazi kwenye Kampuni Binafsi tunapata shida sana kulipwa stahiki zetu
  14. JamiiForums Tanzania Watu wamechoshwa na Serikali, Dini na Siasa: Wanataka kuwa huru

    Katika hali ya kipekee sana Jamii ya Binadamu leo katika maeneo mengi Duniani inaonesha kuchoshwa sana na Serikali , Dini na Siasa. Taasisi hizo ziliiaminisha Jamii kuwa zitaleta utaratibu katikakati ya vurugu " to bring order out of chaos". Watu waliipokea imani hiyo na kukasimisha mamlaka yao...
  15. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Taifa ni kuu kuliko Rais; Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu na Bunge ni kuu kuliko Spika. Uzalendo ni kulipenda taifa sio serikali..!

    Katika demokrasia: 👉Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu. 👉Bunge ni kubwa kuliko Spika. 👉Taifa ni kubwa kuliko Rais. 👉Katiba ni kubwa kuliko chama tawala. Hii ni kwa sababu taasisi zinapaswa kudumu, wakati viongozi ni wa muda. 1. TAIFA NI KUBWA KULIKO RAIS Rais ni kiongozi wa muda. Taifa ni la...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi tulioajiriwa mwaka 2022 tunacheleweshwa kupanda madaraja licha ya kukidhi vigezo vya kisheria na kiutumishi

    Watumishi tuliopata ajira mwezi Julai 2022 tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kucheleweshewa kupandishwa madaraja licha ya kukidhi vigezo vya kisheria na kiutumishi. Tumekuwa tukiambiwa kuwa sababu ya kuchelewa kupandishwa madaraja ni kwamba tuliajiriwa katika “mwaka mpya wa serikali”...
  17. T

    JamiiForums Tanzania CCM imetengeneza serikali ya majizi na mifumo ya majizi na sasa kumeletwa machawa kuimarisha mifumo ya wizi!. Soma ushahidi hapa

    Hii nchi imeharibiwa sana na kutengenezwa kuwa pori kubwa sana yaani (the jungle of thieves,). Na walioshika mpini hawana mpango kabisa wa kutatua hii changamoto kwa sababu nyingi tofauti tofauti. Ushahidi wa haya mambo uko wazi na dhahiri sana, ikiwa ni pamoja na hiki kinachoitwa ziara za...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali Haitavumilia Kupuuzwa Haki za Wananchi

    Haki si hisani. Tunataka anayestahili haki apewe haki yake. Serikali haitavumilia vitendo vya kupora au kuchelewesha haki za wananchi kwa sababu yoyote ile-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Isimani-Iringa 🗓️Juni 5, 2026 ——————————— Amesema hayo wakati alipozungumza katika mkutano wa hadhara na...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utumishi Fire Tragedy: Serikali Yaagiza Ukaguzi wa Haraka wa Shule Zote za Boarding Nchini

    Baada ya moto uliosababisha vifo vya wanafunzi 16 katika shule ya Utumishi Girls Academy, serikali imeagiza ukaguzi wa haraka wa shule zote za boarding nchini ili kuhakikisha usalama wa wanafunzi. Basic Education Principal Secretary, Julius Bitok, amesema kuwa shule zote za boarding zitafanyiwa...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yasema hakutakuwa na Public Participation kuhusu Ebola Facility: Je, Sauti ya Mwananchi inasikika?

    Health CS Aden Duale amesema kuwa serikali haitafanya public participation kuhusu mpango wa kuanzisha Ebola quarantine facility katika Laikipia Air Base, Nanyuki. Kulingana na CS, sheria za afya ya umma zinairuhusu serikali kuchukua hatua za haraka wakati wa tishio la afya bila kushauriana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…