Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali ikazifutilia mbali kwani utekelezaji wa hizi tahasusi tayari umeishaanza kuleta mkanganyiko miongoni mwa...
Mimi nashauri uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho na sheria ziwekwe vizuri. Wataalamu wengi wanasingizia muda wakati huo huo wanasema sheria zinahitaji kubadilishwa. Hivyo hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi ambao kwa ulivyo sasa utashusha na kupunguza uaminifu wa hata...
Katika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge. Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika.
Hawa wamachinga na bodaboda wanaoahindia mihogo na wali wa buku ndio wahanga.
Majukumu ya wabunge wapewe wakurugenzi wa...
Salaam,Shalom!!
Nimesoma tafiti iliyofanywa na Taasisi inayotambulika Kwa Jina la SAUTI KUBWA: Isemayo. " Kamari yatafuna Taifa kimya kimya" iliyoandikwa na mwandishi aitwaye, Arodia Peter , makala hiyo imeandikwa 24 April 2024.
Kwa uchache nasummarize;
Ripoti ya Taasisi ya Utafiti na...
Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi inakuwaje unapambana au kushindana na jobless... Mimi jobless siijui na sina matumaini na kesho yangu, kwa sababu nikilala nikiamka mipango yangu kichwani na nguvu zangu ndio pesa yangu na mafanikio yangu, Mimi ni Mnyonge tu ..wewe ikifika mwisho mwezi...
Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde ameainisha mpango wa serikali wa kusaidia utatuzi wa changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo nchini.
Mh Mavunde ameyasema hayo leo wakati akijibi swali la Mh Dkt. Christine Gabriel Ishengoma Mbunge wa Viti Maalum aliyetaka kujua mpango wa serikali...
Salaam wakuu.
Hebu fikiria kiongozi wa serikali amelala Nyumbani na Familia yake halafu siku hiyo hiyo ametoka kubomoa makazi ya watu na kuiacha uchi familia ya Mwenzako namna hii? Unajisikiaje?. Jibu ni moja kwa sababu ni mwana CCM hao wamezoea ukatili ndo maana hata kwenye majukwaa yao hutoa...
Wananchi elfu tatu wako vituo vya hapa NBC bank mjini kati tangu saa 11, hakuna gari inayopakia bali zote za kwenda Mbezi na Kimara zinapita zimejaa na hazisimami.
Je, kwanini Serikali inakubali kunyanyasa wananchi wake hivi? Waziri wa Tamisemi na Mkurugenzi wa UDart unafurahia nini kuona...
Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
chama
chama tawala
dar
dar es salaam
hasara
kuelimishwa
kuhusu
kupoteza
maana
mazingira
mbio
mbio za mwenge
muhimu
mwenge
mwenge wa uhuru
naomba
nguvu
nimechoka
nje
pesa
serikali
shughuli
siasa
swali
tafadhali
tena
thamani
uchumi
ufafanuzi
uhuru
umuhimu
wakuu
wananchi
Hili ni agizo la mwananchi wa kawaida Kwa serikali.
Ni aibu ofisi za mitaa, vijiji, miji mbalimbali nchini kukosa bendera ya taifa huku mkiimba uzalendo mdomoni.
Mmeshindwa hadi na mahotel na shule za chekechea wao wanakua na bendera ya taifa ilihali ninyi ofisi zenu hazina bendera.
Vituo vya...
MHE TAUHIDA CASSIAN GALLOS Ahoji Bungeni Mkakati wa Serikali Kudhibiti Matukio Unyanyasaji na Ukatili wa Kingono Dhidi ya Wanawake na Watoto
"Je, kuna mpango gani wa Kudhibiti matukio ya unyanyasaji na ukatili wa kingono dhidi ya Wanawake na Watoto nchini?" - Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo...
TCD kuwakutanisha wadau kutafakari Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu.
Mkutano huu wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 na uchaguzi...
Mahakama ya Malawi imefuta mashtaka ya rushwa dhidi ya Makamu wa Rais Saulos Chilima baada ya mwendesha mashtaka wa serikali kuwasilisha notisi ya kusitisha kesi hiyo.
Hakuna sababu zilizotolewa kwa uamuzi huo.
Dkt Chilima alikamatwa Novemba 2022 kwa madai kwamba alikubali pesa kwa ajili ya...
MBUNGE SANTIEL KIRUMBA Ataka Serikali Kutatua Changamoto ya Ajira Kwenye Miradi ya Kimkakati ya SGR Mkoani Shinyanga
Swali la Mhe. Santiel Eric Kirumba, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga aliyetaka kufahamu, Serikali ina mpango gani kutatua changamoto ya ajira kwenye Miradi ya Kimkakati...
Mfumo wa kidijitali wa ufuatiliaji wa Miradi ya Serikali Ili kuongeza uwazi. (Government Projects Tracking System).
Maendeleo ya Sayansi na teknolojia yamerahisisha utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi wake, huduma mbalimbi kama Elimu, Afya, Nishati ya umeme, Mawasili na usafirishaji n.k...
Imekuwa kilio kisichokua na majibu miaka nenda rudi suala la mishahara ya walimu, pamoja na polisi katika kuboresha mishara yao. Japo Kuna watu wanasema inatosha ni sawa ila bado haitoshelezi ukilinganisha na kazi wanayo fanya kila siku. Hii husababisha Mambo mbali mbali mbali Kama...
Bado serikali yetu jambo ambalo nafikiri linawasumbua moja ya kukosa mapato makubwa ni real estate ambazo lile wazo la majengo ya urafiki dar es salaam lingeendelezwa lingekuwa msaada mkubwa ya watu kutofikiria ugumu wa nyumba za kupanga.
Ni vizuri kuwa mliweka NHC ila yenyewe imekuwa kama...