serikali

  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Abdul ni nani ndani ya serikali ya mama yake

    Kuna mambo naona hata wenye mama tunaona kama ukiwa mtoto wa kiume basi mama hukupa majukumu akifikiri unamuongoza. Tumeona Bangladesh huko waziri wa huko kumbe ni mambo ya mtoto wake mpaka kupinduliwa. Sasa hapa unawezaje kumwambie afande awadhi wewe utakuwa IGP kisa mama yako ni raisi...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kenya Wananchi ndio waliochukua Hatua siyo Vyama vya Siasa, kutupiga siyo suluhisho

    “Huu uliofanyika ni ukandamizaji ambao sio wa kawaida na wala usionekane ni tukio dogo, sisi kama Chama tunachukua jambo hili kwa uzito mkubwa sana na tunaamini jambo hili ni mkakati wa makusudi uliotengenezwa na Serikali, Vyombo vya vya Ulinzi na Usalama likiwemo Jeshi la Polisi, CHADEMA...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta maombi 2648 ya utafutaji wa madini kwa kutokidhi vigezo vya Sheria ya Madini

    Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 kutokana na kutokidhi vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini Sura 123. Hayo yamesemwa leo Agosti 14 , 2024 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde wakati akiwasilisha taarifa kwa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Njia inayotumiwa na Serikali kudhibiti migogoro ya Ardhi ni kiini macho

    Mwenyekiti Ngome ya Vijana- ACT Wazalendo, Abdul Nondo amesema "Serikali iwatumie vijana wengi wahitimu ambao ni Surveyors, Town planners. Wapo mtaani hawana kazi Serikali iwape majukumu hawa vijana waipime ardhi nchi nzima bure bila kudai fedha kwa Wananchi. "Serikali itapata faida nyingi...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ahsante ahsante Rais wetu, ahsante Doroth Gwajima; tunajivunia serikali yetu

    Jana nilitoa taarifa ya ukatili kwa mwanafunzi wa shule ya msingi Kitefu mkoa wa Arusha. Najivunia serikali yangu mmechukua hatua, mbarrikiwe. Ila huyu mwalimu mkuu mumchunguze anatafuta aliyetoa taarifa. Hongera Max, hongera waziri, hongera mh. Rais wetu, haki itendeke
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali imeendelea kuongeza Vituo vya Afya Nchini

    Serikali imeendelea kuongeza Vituo vya Afya Nchini. Vituo vya kutolea huduma za Afya 9,693 mwaka 2024. Kwa mwaka 2021 jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya vilikuwa 8,547 ambapo Ongezeko 1,146.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Sylvester Koka wa Jimbo la Kibaha Aishtaki Serikali Kuhusu Mgogoro wa Mali

    Mheshimiwa Sylvester Koka wa Jimbo la Kibaha Aishtaki Serikali Kuhusu Mgogoro wa Mali Katika hali ya kushangaza, Mheshimiwa Sylvester Koka, Mbunge wa Jimbo la Kibaha chini ya chama tawala cha CCM, amechukuwa (kushtaki) hatua za kisheria dhidi ya serikali, ambayo pia inaongozwa na chama chake...
  8. OR TAMISEMI

    JamiiForums Tanzania LGE2024 TAMISEMI: Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka 2024 zitaanza tarehe 20 hadi 26, Novemba

    https://www.youtube.com/watch?v=-XzJJFDbKNc ======== Kipenga cha uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024, kitapulizwa leo Alhamisi, Agosti 15, 2024 wakati Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa atapotoa tangazo la uchaguzi huo...
  9. Blender

    JamiiForums Tanzania Serikali Toeni Elimu Visiwani waache Tabia ya kuzuia watoto wachanga Wasipate VISOGO!

    Kitendo cha kuvibonyeza, kuvikandamiza vichwa vya watoto wachanga ili kuzuia kichogo, bila kutumia wataalamu wa afya, hii inaweza kusababisha hitilafu ya ubongo Kwa Mtoto. Na Kwanza kitabibu hairuhusiwi kufanya kitendo kama hicho. Serikali kupitia wizara ya AFYA, toeni elimu ya kutosha, hasa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali isikie kilio cha wakulima wa zao la Mahindi wa Nyanda za Juu Kusini

    Naomba Serikali isikie kilio chetu sisi wakulima wa zao la Mahindi Nchini hasa nyanda za juu kusini mikoa ya Rukwa, Njombe, Ruvuma. Bei ya mahindi bado ni ya chini mtaani (350-420)ukiacha bei ambayo Serikali wananunua (700) kwa kilo. Hoja ni kwamba serikali inanunua Tsh. 700 kilo lakini...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Asasi za Kiraia waiomba Serikali kuwawezesha wenye ulemavu Kidijitali

    Asasi za Kiraia nchini kupitia Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), imeiomba Serikali iangazie katika kuhakikisha makundi maalum yanawezeshwa kufikia miundombinu ya kidigitali ili waweze kushiriki katika michakato ya maendeleo na kujiimarisha kiuchumi. Hayo yamesemwa na Meneja...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Mkoa huu wa Mtwara hapa niwaambieni tu Ukweli Serikali kuwa mnapoteza muda wenu

    Wazazi na walezi wa wanafunzi wilayani Masasi mkoani Mtwara wamelazimika kuweka sahihi za kuingia mikataba ya kuhakikisha vijana wao wanafanya vizuri kwenye mitihani yao. Lengo la mikataba hiyo ni kuwabaini baadhi ya wazazi wanaowarubuni watoto wao kutofanya vizuri, kwa madai ya kushindwa...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Serikali Imetoa Mikopo ya Tshs. Billioni 1.2 kwa miradi 57 ya Vijana 2023/2024

    Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Vijana Agosti 12, 2024 jijini Dodoma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete alisema kuwa serikali imeratibu na kusimamia miradi ya kimkakati ikiwemo kutengeneza ajira, kupanua masoko na kutoa...
  14. ferucho lamborgini

    JamiiForums Tanzania Serikali inaachia pesa lini kwenye miradi yake? hali ni tete mtaani

    wakuu kwema? Hivi utaratibu wa mwaka mpya wa kiserikali ukoje, wanaachia pesa kwenye miradi yao mwezi gani? Mambo hayaendi kabisa mtaani, pesa hazionekani tutafilisika kwa namna hii
  15. L

    JamiiForums Tanzania Sibishani tena kuhusu ubora wa Yanga Africans, nimekubali yaishe

    Wanacheza vizuri, wana speed, viungo wazuri, mabeki wazuri, mshambuliaji mzuri tena vifaa vingine kama Baleke walikuwa jukwaani, unabishana na nani sasa. Mtu yeyote anayetoa mapovu kuwa Yanga wabovu, wananunua mechi, wanabebwa huyo sio mtu wa mpira. Hii timu yao hata ukichukia vip sio shida...
  16. tamsana

    JamiiForums Tanzania Namna nchi za AFRIKA zinavyoeleza MAANA ya neno 'SERIKALI'

    Jisomee mwenyewe.
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Laiti Serikali ingejua yaliyo moyoni mwa nguli wa Riadha Filbert Bayi wasingemkumbatia. Huyu mwamba ndiye muuaji wa vipaji vya riadha Tanzania

    Hello! Moja kwa moja kwenye mada! Nikiwa O - level nimesoma na mwamba mmoja jamaa alikuwa anakimbia mita 100 kwa sekunde 13-15 tu. Ikumbukwe Bolt alikuwa anakimbilia kwa sekunde 9-10. Huyu wa sekunde 13-15 ni mtoto wa familia maskini, alikuwa mwanafunzi busy na masomo mbio anakimbia kwenye...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Nimeelewa kwanini mashirika ya serikali yanafail na binafsi yanafanikiwa

    Nilikuwa natumia superkasi kwa muda mrefu sasa nikaona nihamie tigo fiber maana kwangu itakuwa cheap na kwa sababu ni fiber latency itakuwa chini hivyo uhakika wa video na voice calls kuwa na kiwango cha juu ni mkubwa kuliko wi-fi. Nililipia internet ya fiber ya tigo just 5 days ago, after a...
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kule Paris Ufaransa ndiko Utalii unako Tangazwa haswa, kuliko ile Royal tour, Serikali iko busy na Yanga na Simba

    Sababu ni kwa nini Kenya inapokea watalii wengi pamoja na kuwa na vivutio vichache ni kwa sababu ya kinacho endelea Paria Ufaransa. Mashindano ya Olyimpic ni moja ya sehemu ya nchi kujitangaza bure kabisa huku Duniani, Ila Tanzania hatuyapi umuhimu kwa sababu hakuna wajinga wa kubeba mabango ya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Serikali haioni huu utapeli wa wachungaji? Au wao ya kwao mazuri hivyo wananchi watajijua wenyewe?

    Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum. Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari...
Back
Top Bottom