Baada ya mjadala kuwa mkali mtandaoni kuhusu ahadi ya serikali kwa timu hizo kugeuka hewa, Msigwa amekuja kutoa ufafanuzi, kuwa wanazifanyia kazi na mchakato unaendelea, huku kwa Tanzanite Queens mchakati ukielekea kukamilika.
Hivi wangelipwa kweli kama raia wasingeliibua?
====
"Nimeona...
Mkataba wa Rwanda Development Board (RDB) na Arsenal umeisha msimu huu wa EPL (2025/26)! Kwahiyo jersey za Arsenal hazitakua na Visit Rwanda mkononi tena.
Jimbo liko wazi, Waziri wa Michezo na board yake, fanyeni mtangaze vivutio vyetu.
#COYG
Kichwa kinajieleza.
Kambi imevunjwa leo, kesho wameambiwa asionekane mtu Tifany Hotel, kwenye Account kuna 2M za TFF pekee. Ahadi ya 500M imeota mbawa, wameambiwa waache A/c hela zitaingia ila madogo hawana imani maana hakuna ambacho walishawahi kuahidiwa wakatimiziwa.
Haya mambo yanaumiza...
Guys
Huyu dada na akili mara mia ya Makonda. kiufupi Makonda ni empty head kabisa sijui huwa anatumia ubongo upi kutekeleza mambo yake.
Mara nyingi amekuwa ni mtu wa papara na mipango mibovu mibovu kwa kweli kama Taifa tuna hasara kubwa sana.
Acha tu Nchimbi aitwe YUDA maana namba moja...
Wakuu salamu,
Wakati timu yetu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) ikielekea nchini Morocco kwenye fainali za AFCON U-17, mchambuzi mahiri wa soka nchini, Miraji Maramoja, alitoa kauli fupi lakini nzito sana: “Tuwaache tusiwaingilie.”
Wakati ule, wengi walichukulia...
Numeona nianzishe Uzi kama huu, maana wenzangu wengi wameshafungua nyuzi za kuipongeza Serengeti Boys kutema ubingwa.
Nimeona nami nisibaki nyuma katika hili.
Hongera Serengeti boiz 👏👏👏👏.
Serengeti Boys , leo 22:00 hrs inacheza fainali na Senegal. Safari ilianza mbali na hakuna aliyekuwa anajua isipokuwa sisi wachache tuliokuwa tunaifuatilia kupitia youtube channela ya CAF WHERE TO WATCH: TotalEnergies CAF Under-17 Africa Cup of Nations Morocco 2026 Final.
Wakati timu ilipofika...
Wakuu nimeangalia video na picha kadhaa wazee wakiwa kwenye ndege kuishangilia Serengeti Boys kwa gharama za serikali. Hii sikubaliani nayo kabisa. Hawa wazee kwenye ajira na uongozi hawaachii ngazi ila bado hata nafasi ya vijana kwenda kushangilia vijana wenzao wanabana.. HII NI AIBU. Ila...
Hizi ni fikra zangu tu binafsi, kuwashangilia na kuwatambua kwa ghafla, kuwazawadia, kuwatumia ndege, kuwajazia waheshimiwa tele, huenda vijana wetu wakaingia ubaridi hofu na woga, maana wamepandishwa juu na kupewa heshima kubwa ya kutambulika kwa ghafla.
Binafsi niwajenge kisaikolojia...
Kuna vitu vinasikitisha sana.
Watanzania tulifanya makosa sana kuwaacha hawa manyangau wawe wazima 29 Oktoba. Hakuna wanalojali kuhusu wananchi zaidi ya kujiamulia na kuila nchi yetu tu.
Fikiria, pamoja na gharama za mafuta kupanda kunakopelekea maisha kuwa magumu, hakuna jitihada zozote...
guest-1787677352
Thread
boys
gharama
gharama za maisha
haramu
kupanda
maisha
milioni
milioni 500
serengetiserengeti boys
serikali
Pia soma...
~ Serengeti Boys yatinga Fainali ya AFCONU17 2026, baada ya kumuondoa Misri kwa mikwaju ya penati
~ Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu Serengeti Boys, Juni 2, 2026
Video: Mchambuzi Smart
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amewataka wakuu wa mikoa Nchini kote Siku ya Jumanne, Juni 2, 2026 Kila Mkoa waweke Luninga kubwa ili watu watazame fainali ya michuano ya AFCON kati ya Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys na Senegal...
Katika muendelezo wa kuitangaza Tanzania duniani kupitia utalii wa michezo, leo Mei 28, 2026, bingwa wa masumbwi duniani, Terence “Bud” Crawford, amekabidhiwa rasmi ubalozi wa utalii baada ya kukutana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji. Tukio hilo limefanyika ndani ya Hifadhi...
Serengeti Boys wameandika historia kwa kutinga Fainali ya AFCON U17 baada ya kuiondosha Misri kwa ushindi wa mikwaju ya penalti 4-3 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 za mchezo mkali uliochezwa usiku huu.
Serengeti Boys wanamsubiri mshindi kati Senegal vs Morocco ambaye ndiye watakutana...
Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport?
https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck
Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao.
Tumechelewa sana kuweka...
airport
baada
bado
haraka
jambo
kanda
kanda ya ziwa
kuhusu
kujenga
kujenga uwanja
kujengwa
kupinga
kuzuia
kwenu
moyo
mradi
muhimu
mvutano
mwanza
sababu
sana
sauti
serengeti
tanzania
ujenzi
ujenzi wa uwanja
utalii
uwanja
wabunge
ziwa
Serikali hao wanaopiga promo ujenzi wa kiwanja cha ndege wanatafuta mianyaa ya kuiba fedha za umma tu
Sasa unajengaje kiwanda cha ndege maeneo hayo miundombinu kama barabara ni mbovu kipindukia za tope
Ikumbukwe kwa musoma kuna ujenzi unaendelea wa kiwanja cha ndege na hapohapo mnataka tena...
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema serikali itatoa shilingi bilioni 8.1 kwa ajili ya matengenezo ya miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha baadhi ya magari ya watalii kukwama kuendelea na safari kwa muda mrefu...
Kumekuwepo na video zinasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania zikionyesha magari yakisombwa na maji katika mto.
Baadhi ya watumiaji wa mitandao hiyo wametoa maoni wakidai kuwa tukio hilo limetokea katika Hifadhi ya Serengeti nchini Tanzania.
Waziri wa Maliasili na...
Ilikuwa bia tamu yenye ujazo wa uhakika na kilevi cha kueleweka
Niliinywa kwa mara ya kwanza mwaka 1994 kwenye promotion iliyokuwa inaendeshwa na Prime time promotion pale Mwananyamala
Siku ya pili nilipitia hapo bar nipate mtori niwahi job nikaagiza moja ya kushushia.. By the time namaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.