serengeti

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania TBL na Serengeti tutengenezeeni local ciders(Savannah) za Tanzania kama Kenya

    Kama ni soko la cider Tanzania tayari liko kubwa sana kwa sababu karibia wadada wote wa mjini kila ukiwagusa kinywaji wanachotaka kwanza ni Savannah, hata wakaka wa mjini wengi tu wanapenda Savannah. Kama ni apples za kutengenezea cider zimejaa tele Njombe na Lushoto, mkitaka mtaletewa za...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ya Sweden yatwaa ubingwa wa bonanza la Serengeti nchini Ubelgiji

    KILIMANJARO YA SWEDEN YATWAA UBINGWA WA BONANZA LA SERENGETI NCHINI UBELGIJI Na Mwandishi Wetu, Antwerp, Ubelgiji. Timu ya soka ya Watanzania iitwayo Kilimanjaro kutoka Sweden imetwaa tena kwa mara ya nne mfululizo ubingwa wa kombe la Bonanza la Serengeti katika michuano iliyofanyika tarehe...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Daniel aibuka Mshindi Kura za Maoni Mgombea Ubunge Serengeti

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mara, Mary Daniel, ameibuka mshindi wa kura za maoni za CCM kuwania ubunge wa Jimbo la Serengeti, akimshinda kwa mbali mbunge aliyemaliza muda wake, Amsabi Amri Kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa na mratibu wa uchaguzi huo...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Catherine Ruge: Nimesikia sauti ya Mungu, nitagombea Serengeti

    Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uchumi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Catherine Ruge (Msubhati) amesema ameamua kusimama na kugombea ubunge wa Jimbo la Serengeti Mkoani Mara, kwa lengo la kupigania haki za wananchi na kurejesha matumaini kwa jamii inayokabiliwa na changamoto mbalimbali...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Chacha Makuri achukua fomu kugombea ubunge Jimbo la Serengeti

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha Makuri, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge wa Jimbo la Serengeti kupitia tiketi ya chama hicho tawala, akiahidi kusukuma mbele ajenda nne kuu zinazolenga maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu ya...
  6. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Safari ya Ndoto: Tembea Mount Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Arusha NP, Chemka & Serval, Tuondoe Mawazo, Tuijue Tanzania Yetu!

    Ndugu wanajamvi wa JamiiForums, Kwa heshima na taadhima, naomba kuwasilisha rasmi pendekezo la safari ya kipekee ya adventure na utalii wa ndani (Domestic Tourism) inayolenga kutuvusha kutoka katika pilikapilika za maisha ya kila siku, kwenda kwenye maeneo yenye utulivu, mandhari ya kuvutia...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Zlatan Ibrahimovic atua Serengeti, apost akijivinjari

    Nyota wa zamani wa klabu maarufu za Ajax, PSG, AC Milan, Barcelona na Manchester United, Zlatan Ibrahimovic, ambaye kwa sasa ni mshauri wa uongozi wa mabingwa mara saba wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, AC Milan, yupo nchini Tanzania. Zlatan, aliyewahi kuwa nahodha wa timu ya taifa ya Sweden...
  8. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Kuna nini katikati ya mbuga ya Serengeti?

    Mambo vipi wadau, Niende moja kwa moja kwenye swali ambalo huwa najiuliza sana lakini mpaka sasa sijapata majibu ya kueleweka au ya moja kwa moja. Huenda kuna maeneo mengi sana duniani ambayo mpaka leo ambayo hayaruhusiwi kabisa kuingia ama kuyasogelea duniani unayoyajua kama area 51 nk. Je...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Stock controller at Serengeti Breweries June 2025

    About us With over 200 brands sold in nearly 180 countries, we’re the world’s leading premium drinks company. Bring your passion and use your curiosity as you explore, collaborate, and innovate to build brands consumers love. Together with passionate people from all over the world, you’ll test...
  10. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Kivuli cha Serengeti

    --- Kivuli cha Serengeti #### Sehemu ya Kwanza: Mwanzo wa Uchunguzi Katika jiji la Dar es Salaam, Amani, mwanahabari mwenye shauku, alikuwa akifanya kazi kwenye ripoti yake ya mwisho kuhusu kupotea kwa wanaharakati wa mazingira. Aliamini kuwa kuna zaidi ya kinachonekana, na alihisi kwamba...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkutano mkubwa wa CHAUMMA Kijiji cha Kamgise, Jimbo la Serengeti

    https://www.youtube.com/live/bPHc0mwP6Rk?si=2CnOWwUZW5KwaumZ
  12. B

    JamiiForums Tanzania Juzi nilikuwa Serengeti, niliona jambo ambalo limenisikitisha sana na kunitoa machozi

    Serengeti kuna ile Hotel ya 5 star nadhani mna ifahamu sitaki taja jina maana najua hapo Jamaa zangu watataka nao wakalale so itakuwa nime ipromote na haitakuwa fair kwa hotels nyingine. Tulienda na Helkopta kuangalia wanyama. Kwa kweli nlitokwa na machozi. Niliona jinsi ambavyo...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Serengeti adai walio katika ziara ya Heche wanalipwa 200,000 /kila siku

    Ndio maana nashangaa Mwamakula, Mwanamapinduzi, Dk Slaa, Lemma wamekomaa, kumbe kuna hela ya chama inaliwa. Heche anatembea na genge la watu kama 50 mara 200,000,sawa na 10,000,000 kwa siku Kesho kesi ya Lissu, hawajali wako barabarani tu, hawakai kupanga mikakafi. Kumbe mikutano ibaandaliwa...
  14. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Hapo Ndio Historia Inaanzia: Mwanzo wa Utawala wa Simba Katika Mtaa Mkali wa Serengeti

    Yani ukitaka kujua mwanzo wa historia ya kweli ya jungle, siyo ile ya kwenye vitabu vya shule wala documentary za wazungu zenye voice ya baridi, tunaanza hapa – kwenye ardhi ya moto, nyasi ndefu na upepo mkali unaopiga hifadhi ya Serengeti, Tanzania. Hii ni block ya nguvu, na kuna OG mmoja tu...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika atoa ratiba mpya ya kampeni ya No reform No election, sasa ni zamu ya kanda ya Victoria na Serengeti

    Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ametoa ratiba mpya ya ziara ya kampeni ya No reforms No election ambapo amesema licha ya kuendelea kwa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu bado wataendelea na mikutano ya hadhara na kubainisha kuwa tarehe 08 hadi tarehe 12 mwezi mei...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Samia Serengeti Music Festival imekuja kuwasahaulisha wananchi juu ya vuguvugu la Siasa linaloendelea

    Siku ya Leo kumekuwa na Tamasha la Burudani ambalo linaendelea hapo Tanganyika Packers jiji Dar es Salaam. Shughuli hizi zimeandaliwa wiki hii nzima na wikiendi hii ndio wasanii watatumbuiza na kiingilio kitakuwa ni bure, ni wewe kwenda na miguu yako. Ikumbukwe mwezi huu mzima kumekuwa na...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA kanda ya serengeti akieleza mwanzo mwisho walipopelekwa porini kupigwa

    Lucas Ngoto Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Serengeti ni miongoni mwa walikamatwa nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam wakati akitaka kuhudhuria mahakamani hapo kwa ajili ya kusikiliza kesi zilizokuwa zinamhusu Mwenyekiti wa chama hicho...
  18. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kuanzishwe mashindano ya tennis ya kimataifa ya serengeti open yatakayofanyika Arusha kila mwaka

    Kama kisemavyo kichwa cha habari kuanzishwe mashindano ya tennis ya kimataifa yatakayofanyika arusha mjini na yatakua na faida lukuki kwa nchi kama ifuatayo Kutangaza vivutio vya utalii kama serengeti na mlima kilimanjaro na vitaondoa ule uvumi kwamba mlima kilimanjaro na serengeti vipo Kenya...
  19. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mara: Jimbo la uchaguzi Serengeti kugawanywa kuwa majimbo mawili, Serengeti Mashariki na Serengeti magharibi

    Wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mara (RCC) wamepitisha Jimbo la Uchaguzi la Serengeti kugawanywa na kupata majimbo mawili ya uchaguzi ambapo majina ya majimbo yanayopendekezwa ni Serengeti Mashariki na Serengeti Magharibi. Mkuu wa Mkoa wa Mara Evans Mtambi aliongoza kikao...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii afanya ziara ya kushtukiza Serengeti kukagua miundombinu pamoja na huduma zinazotolewa kwa wageni

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Maliasili Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa Serengeti amefanya ziara ya kushtukiza katika Lango la Nabi la Hifadhi ya Taifa Serengeti Kisha kukagua miundombinu pamoja na huduma...
Back
Top Bottom