Nyota wa zamani wa klabu maarufu za Ajax, PSG, AC Milan, Barcelona na Manchester United, Zlatan Ibrahimovic, ambaye kwa sasa ni mshauri wa uongozi wa mabingwa mara saba wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, AC Milan, yupo nchini Tanzania.
Zlatan, aliyewahi kuwa nahodha wa timu ya taifa ya Sweden...