sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekonari ACT Bunda Girls inavyopoteza muelekeo wake

    Ni shule ya wasichana iliyo katika halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara.Inamilikiwa na kanisa la Anglican dayosisi ya Mara. Taaluma katika shule hii ni ya wastani sana ukilinganisha na hadhi yenyewe ya "u private". Kwa kifupi inazidiwa kiwango cha Taaluma na shule nyingi tu kata zilizo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kama kuna Mwalimu wa Kiingereza na Kiswahili kwa ngazi ya sekondari anayejua vizuri lugha ya Kichaga naomba tuwasiliane

    Habari wakuu. Kuna jambo nataka kufanya kuhusu lugha ya kichaga. Naomba kama humu jamvini kuna mwalimu wa sarufi ya Kiswahili na Kiingereza kwa ngazi ya kidato cha nne tuwasiliane tuone tunaanzia wapi. Natanguliza shukrani. Hata kwa yeyote atakayesoma uzi huu na anamjua mwalimu yeyote...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kagera: Mbunge Neema Lugangira apiga Kura Shule ya Sekondari Kahororo

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anaewakilisha Asasi za Kiraia Tanzania Bara Mheshimiwa Neema Lugangira amepiga kura kuamua Fyucha ya Kitaa kwenye kituo cha kupigia kura shule ya sekondari Kahororo Mtaa wa Rwome, Kata ya Kashai Bukoba Mjini.
  4. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Shule ya Meta Sekondari Mbeya ni mali ya serikali, serikali itueleze CCM waliipataje?

    Shule ya Meta Sekondari ambayo miaka kadhaa kabla ya Uhuru ilijulikana kwa jina la N. A. Middle School, ni moja ya shule za boding'i za wavulana tu na baada ya Uhuru ikajumuisha na wasichana wasiolala shuleni. Mji wa mbeya ulikuwa na shule za tatu kati(middle) tatu, yaani N.A. wavulana, Meta...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Walimu Shule ya Sekondari ya Meta, wagoma kufundisha kudai mishahara

    Walimu na wafanyakazi Shule ya Sekondari ya Meta, iliyopo mkoani Mbeya, inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, wamegoma kuendelea kufundisha na kuwasimamia mitihani inayoendelea katika shule hiyo wakishinikiza kulipwa malimbikizo yao ya mishara ambayo hawajalipwa kwa zaidi ya...
  6. Suma lee mzazi

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu enzi za sekondari

    Tometoka mbali sana aiseee Nakumbuka nilivyokuwa sekondari ilikuwa nikifanya kosa sichapwi kijinga jinga! Nilikuwa najitetea kivyovyote vile nisiguswe hahaahaaaa. Walimu waligundua hiko kitu, daaah!! basi nikiitwatu staff sipewi chance ya kujitetea ni mikwaju kwanza halafu ndio kujitetea...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Kiteto Wamuomba Mbunge Ole Lekaita Shule ya Sekondari, Umeme na Barabara

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amemkabidhi Mwanafunzi mwenye ulemavu wa miguu Kitimwendo alipotembelea Shule mpya ya Msingi Nguzosita iliyojengwa kwa gharama ya zaidi ya Shilingi Milioni 500. Aidha, Mhe. Edward Ole Lekaita amechangia mifuko ya Saruji 100 kwaajili ya Ujenzi...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Akabidhi Uwanja wa Michezo wa Kisasa Shule ya Sekondari K/Ndege Dodoma

    Ni wa michezo ya Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amekabidhi kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege kiwanja cha kisasa cha michezo ya mpira wa kikapu,pete na wavu kama sehemu ya kukuza na kuendeleza vipaji vya wanafunzi wa Jijini Dodoma. Tukio hilo limefanyika...
  9. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanafunzi wa kike shule ya sekondari Thaqaafa Mwanza wanusurika Kubakwa

    Wanafunzi wakike shule ya Sekondari Thaqaafa iliyoko mkoa wa Mwanza , wilaya ya Nyamagana wamenusurika kubakwa baada ya vibaka watatu kuingia ndani ya bweni saa nane usiku. Wakiwa katika harakati za kumziba mdomo mmoja wa wanafunzi ili asipige kelele waanze kumbaka, ghafla mwanafunzi mwenzake...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Charles Kitima: Wameandikisha Watoto wa Shule ya Msingi na Sekondari kupiga Kura, mnawaharibu Watoto

    Kanisa Katokili Nchini kupitia Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Nchini Dkt. Charles Kitima limelaani kitendo cha watoto wadogo kuandikishwa kwa ajili ya kupiga kura kitendo ambacho ni kibaya kufundisha watoto matendo maovu
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa ameweka jiwe la msingi Shule ya Sekondari Sekoutoure iliyogharimu zaidi ya Shilingi bilioni moja

    Waziri Habari, Mawasiliano na Teknilojia ya Habari, Jerry William Silaa ameweka jiwe la msingi Shule Mpya ya Sekondari Sekoutoure iloyopo Kata ya Ilongero Wilaya ya Singida kuashiria uzinduzi rasmi wa shule hiyo ambayo ujenzi wake umegharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi bilioni moja. Shule...
  12. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Miaka Tisa (9) ndani ya JF: Kumbukizi nilivyojiunga na kuishi JF nikiwa kama Mwanafunzi wa Sekondari

    Moja kwa Moja. Mwaka 2015 mitaa Fulani Dar es Salaam muda huo nipo kidato Cha kwanza (Form One) nilikuwa na hamu sana ya kumililiki simu , basi nikatafuta kibubu nikawa naweka pesa za shule kama akiba na kupiga mishe ndogo ndogo kitaa ili kujazia kibubu baada ya miezi kadhaa nikavunja...
  13. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Nasikia kama huna GPA ya 3 sahau kuwa Mwalimu wa sekondari

    Hii sio Sawa. Bora iludishwe tamisemi tuu. Nimesikia utaratibu wanaotaka kuutumia Sasa hivi ni kama ule wa kufundisha chuo àmbapo Kwa chuo kama huna GPA kuanzia 3.8 huwezi kuwa Mwalimu wa chuo. Hiyo ni kuludishana nyuma. Wangesema mapema tangu tuko chuo. Huu uonevu. Bola watufikilie na sisi...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mwakibete Aongoza Harambee Ndogo Busokelo Girls Sekondari, Atoa Milioni 15

    MWAKIBETE AONGOZA HARAMBEE NDOGO BUSOKELO GIRLS SEC, ATOA MILIONI 15 Mbunge wa Jimbo la Busokelo Atupele Fredy Mwakibete ameongoza harambee ndogo ya wazazi na walimu katika mahafali ya Tano ya shule ya Sekondari ya Wasichana Busokelo. Akiwa kama Mgeni Rasmi katika Mahafali ya Kidato cha Nne...
  15. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya kwenda sekondari au college

    Nimeona kwa sasa kijana anaweza kutoka shule ya msingi akapangiwa moja kwa moja kwenda sekondari form one au la wakampangia kwenda chuo (college) cha ufundi. Au akatoka form four akapangiwa kuendelea na sekondari fomu six au akapangiwa kwenda college. Ipi ni njia bora kati ya hizo kwa kijana...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Aweka Jiwe la Msingi Shule ya Sekondari Jakaya Kikwete - Chalinze

    BASHUNGWA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI JAKAYA KIKWETE - CHALINZE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuongeza idadi ya Shule za Msingi na...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu halisi kwanini watu wengi sana siku hizi wanaota ndoto wapo shule ya msingi au sekondari

    Wakati wewe mtanzania ukiwa unaendelea na mchakato wa kuwahamisha watoto wako kutoka kwenye shule za kiingereza ( English Mediums) na kuwarejesha kwenye shule za Kayumba, wacha nikuambie kwanini umekuwa ukiota ndoto upo shule ya msingi au sekondari unafanya mitihani etc. Wanao jiita mitume na...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aweka Jiwe la Msingi Shule ya Sekondari Msangani, ampongeza Rais Samia

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Msangani Government katika kata ya Msangani iliyopo Halmashauri ya Mji wa kibaha Mkoani Pwani ambapo Serikali imetoa kiasi cha shilingi Milioni 528.9 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Walimu 300 wa Sekondari nchini kupatiwa mafunzo ya TEHAMA

    Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia inaendelea kuhakikisha inaziba pengo la kidijitali kwa kuwapatia walimu wa shule za Sekondari mafunzo ya TEHAMA kutoka maeneo mbalimbali ya nchi, hususan shule za vijijini ili kuboresha elimu kupitia teknolojia. Waziri wa Habari, Mawasiliano...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Huu ni uoga wa kuibiwa mume au utani tu?

    Huyu mwanamke aliyempa mume wake jezi iliyoandikiwa "NIMEOA" katika sherehe ya harusi anaweza kuwa alikusudia nini?
Back
Top Bottom