sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Leo nimeona clip ya Rah-P akiwa anarap wakati yupo shule ya sekondari. Sijui huyu dada mkubwa yuko wapi siku hizi

    https://youtu.be/Jit7E9k0K4E?si=_F1oaYEynokgjKYq Mind you, hapo kama nitakuwa sawa sawa basi ni late 90s au early 2000s. Sijui hii ni shule gani ila inaonekana kabisa sio LIKUD seko. Hata unajiuliza hao wenzake waliokuwa wana m-hype sasa hivi wako wapi, maisha yao, familia zao, kazi zao, etc...
  2. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Kero: Madarasa katika Shule Teule ya Sekondari Kigoma Ujiji yanavuja, ni kero kubwa kwa Walimu na Wanafunzi

    Naomba kuwasilisha kero kwa Mamlaka zinazohusika kwani madarasa ya Shule ya Sekondari Teule ya Kigoma Ujiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji yanavuja jambo linalowapa shida Wanafunzi. Wakati mvua zinaponyesha kunakosekana utulivu wa kusoma kwakuwa kila mahali panakuwa panavuja...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAMISEMI chunguzeni rushwa na matumizi mabaya ya fedha za serikali katika shule ya sekondari Mvuti

    Nimewiwa kuandika haya kutokana na ukimya wa kile kinachoendelea katika shule ya sekondari Mvuti iliyopo Halmashauri ya Jiji Ilala katika kata ya Msongora mtaa wa Kiboga tangu mwishoni wa mwaka 2019 alipoondolewa Head Master aliyekuwepo na kuletwa Headmaster Mpya aliyepo mpaka sasa! Je nini...
  4. milele amina

    JamiiForums Tanzania Michango isiyo ya hiari Kwa Maafisa Elimu Kata zote, Wakuu wa Shule za Serikali za Msingi na Sekondari, Moshi Manispaa, Kilimanjaro

    Kwa Maafisa Elimu Kata zote, Wakuu wa Shule za Serikali za Msingi na Sekondari, Moshi Manispaa, Kilimanjaro Mkurugenzi wa Manispaa, Mwajuma Nasombe, kwa mamlaka aliyonayo, anawataka watumishi wote kuchangia fedha kwa ajili ya "Get Together" ya Watumishi Wote wa Moshi Manispaa, ikiwa ni sherehe...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sekondari Mpya ya Kijijini Butata Yakaribia Kufunguliwa

    SEKONDARI MPYA YA KIJIJINI BUTATA YAKARIBIA KUFUNGULIWA Serikali yetu inajenga sekondari mpya tatu (3) ndani ya Jimbo letu la Musoma Vijijini, na kila ujenzi/mradi umepewa Tsh milioni 584 (Tsh 584m) Sekondari hizo mpya zinajengwa: (i) Kijijini Butata, Kata ya Bukima (sekondari ya pili ya kata...
  6. Arafati Kilongola

    JamiiForums Tanzania “Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho”

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  7. Arafati Kilongola

    JamiiForums Tanzania Tuwalee vijana kwa uzalendo: Wazo la kuanzisha klabu za uzalendo katika shule za Sekondari

    Ndugu wanajamii, Kama kijana mwenye mapenzi makubwa kwa taifa langu, nimebuni wazo la kuanzisha Klabu ya Uzalendo Mashuleni. Lengo kuu ni kuwajengea wanafunzi maadili, uzalendo, na dhamira ya kuchangia maendeleo ya taifa letu. Klabu hiii zinalenga: 1. Kukuza uzalendo kupitia elimu ya...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sekondari Mpya Kijijini Muhoji: Wazazi Waamua Kutoa Chakula cha Mchana kwa Watoto Wao

    SEKONDARI MPYA KIJIJINI MUHOJI: WAZAZI WAAMUA KUTOA CHAKULA CHA MCHANA KWA WATOTO WAO Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21, lina Sekondari za Kata 26 na 2 za Binafsi. Sekondari mpya 6 zimepagwa kufunguliwa mwaka huu. Matayarisho ya kuanza ujenzi wa sekondari nyingine sita (6) yamekamilika...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Abdallah Ulega na DC Khadija Nasir Wakabidhi Madawati 3,000 kwa Shule za Msingi na Sekondari Mkuranga

    Naona bwana mkubwa Ulega anaendelea kujitengenezea mazingira ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Yani yupo tayari kusomesha wanafunzi. Haya tunasubiri tuone itakuwa mwendelezo au ndiyo lambisha utamu wa asali tu kwa muda. Muda utaongea vizuri! =================== Mbunge wa Mkuranga mkoani...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akifungua Shule ya Sekondari Bumbwini Misufini Zanzibar Januari 8, 2025

    Siku ya leo Januari 8, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Katika hotuba yake Rais Samia aligusia...
  11. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Serikali itukumbuke Shule Kijiji cha Kakulungu (Tabora), hatuna shule ya Msingi wala Sekondari

    Ndugu zangu wana JF, mimi huwa najiuliza ni vigezo gani vilitumika kuipa hadhi ya Manispaa hii Wilaya ya Tabora maana ni aibu kuona kuna manispaa ambayo ina vijiji havina shule za msingi kama hapa kwetu Kakulungu. Kijiji chetu kipo Kata ya Uyui, Manispaa na Mkoa wa Tabora, kilianzishwa Mwaka...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nimesoma IT, natafuta kazi

    Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sekondari Inayojengwa kwa Nguvu za Wanakijiji Kufunguliwa Mwezi Huu, Januari 2025

    SEKONDARI INAYOJENGWA KWA NGUVU ZA WANAKIJIJI KUFUNGULIWA MWEZI HUU (Januari 2025) Kijiji cha Muhoji kimeamua kujenga sekondari yake ili kutatua tatizo la umbali mrefu wanaotembea watoto wa kijiji hicho kwenda masomoni kwenye Sekondari ya Kata iliyoko Kijijini Masinono - umbali wa zaidi ya...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Musoma Vijijini Inajitayarisha Kufungua Sekondari Mpya Sita (6) Mwakani 2025

    MUSOMA VIJIJINI INAJITAYARISHA KUFUNGUA SEKONDARI MPYA SITA (6) MWAKANI (2025) Kipaumbele namba moja cha Jimbo la Musoma Vijijini kinatekelezwa kwa kasi ya kuridhisha. Kipaumbele hicho ni: ELIMU Jimbo lina Kata 21 zenye vijiji 68 na vitongoji 374. Tunazo Sekondari za Kata 26 na za Binafsi ni...
  15. kussy

    JamiiForums Tanzania Joining instruction za Mzumbe sekondari

    HABARI WADAU NAWEZA PATA JOINING INSTRUCTIONS YA MZUMBE SEKONDARI KWA KIDATO CHA KWANZA 2025, NIMEJARIBU MTANDAONI MPAKA SITE YA TAMISEMI SIJAFANIKIWA
  16. kwa-muda

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa wanaoingia sekondari shule za serikali mtaala ni wa Kiswahili kwa masomo yote

    Wana JF mimi si mwandishi mzuri kwa sababu niliishia na 5B, lakini ningependa tujadili suala fulani kuhusu elimu. Toka serikali ijipange kwamba inabadilisha mtaala watoto primary watasoma kwa miaka sita, kuna mambo mengi ambayo bado hayajaeleweka. Hivyo nilielezwa na mwalimu jana haya...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi 2,300 Wampongeza Rais Samia Kuwajengea Shule ya Sekondari ya Nyamagoma

    Wakati kwao wewe linaweza kuwa jambo la kawaida kuona Shule zikiwa karibu yako, kwa wakazi wa kata ya Nyamagoma shule ya Sekondari ilikuwa inapatikana umbali wa zaidi ya Kilomita 40 ambazo watoto walilazimika kuzitembea kila siku kuitafuta ndoto yao ya maisha ya baadaye. Katika eneo lenye...
  18. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Nimeona sehemu tangazo la ualimu sekondari, mshahara laki moja nimetokwa na machozi

    Hivi laki moja hata uwe kijijini unatoboaje kwa mwezi?
  19. B

    JamiiForums Tanzania Walimu wa kiswahili wa shule za sekondari kuna mahali mnafeli pakubwa

    Hivi mtoto wa fomfour miaka 17 hadi 20 inakuwaje hawezi kutofautisha Kati ya "r" na "l" "Karibu" mtoto anaandika " kalibu" 👉Kwenye matamshi ya lugha binafsi siwezi tupa lawama hii ni kutokana na athari za kimakabila/kilugha Lakini swala zima la maandishi imekuwa ni changamoto sana 👉Matumizi...
Back
Top Bottom