Wazo kwa Mwalimu X shule ya Sekondari Nyiendo Wilaya ya Bunda

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Sep 19, 2023
200
431
1.Tunajua unajua kucheza na saikolojia za watu Kwa kupiga piga picha na wanasiasa na viongozi wa serikali ili utishe walimu na mkuu wako wa shule kwamba upo karibu na viongozi wakubwa wa serikali na chama.Yaani Huwa ukiona kiongozi wa serikali wazo lako kuu la kwanza ni kumuomba kupiga picha ili uendelee kuwaogopesha wenzako.Hizi picha huwa zinapelekea Mkuu wa shule akuogope hata unaposhindwa kuwajibika kazini!YANA MWISHO

2.Tunajua wewe unaweza kukaa miezi mingi bila kufundisha na mkuu wa shule asikufanye chochote maana Pia unaporudi toka utoroni unampoza Kwa chochote!YANA MWISHO

3.Tunajua pia Mkuu wa shule huwa anaogopa kukuwajibisha maana huwa unamtetea kwenye vikao hasa vile anavyokuwa kwenye wakati mgumu,wewe ndiye wakili wake.Ila ukiwa mtaani unamsagia kunguni!YANA MWISHO.

4.Tunajua unaporudi kufundisha,unafundisha Kwa kutoa sauti kubwa umbali wa mita 0-500 ili watu wajue upo darasani.Tunajua unapoanza kufundisha kutoka kwenye utoro una mbwembwe sana,mada za nusu muhula zinafundishwa siku tatu huku ukiwa umebananisha madarasa matatu ndani ya chumba kimoja!YANA MWISHO.

5.Ila hongera pia kuwa na kipaji cha kujua Siri za wanandoa wengi,kubaini sababu za marafiki zako kutooa na baadhi ya walimu wenzako kutoolewa au kuvunjika ndoa Kwa ndoa zao!

6.Tunajua ni mtu muongo,mfitinishi sana mpaka wenzako wanakuita "chisorwe"

7.Wewe ni kati ya mnaosababisha shule iyumbe unafikiri favour unayopewa na mkuu wa shule huku ukiwa huwajibiki wengine kidogo tu wanagombezwa shule itaenda?Au wote wakipewa favour shule itaenda kweli?

8.Unasema walimu wenzako wana msongo wanaweza kujiua wakati wowote,unajua wewe ni mpumbavu kipindi mnaletewa nyama pori hapo shuleni kwa magendo wewe si ndio ulikuwa mnunuzi mkuu kuanzia kg 20 na kupeleka huko kwako?Wangekuwa wanakuchoma Leo hii ungekuwa wapi?Familia Yako isingekuwa na msongo??Nani mwenye msongo kati Yako uliyeng'anywa mali za urithi na mahakama au wlm wenzako waliozoea wanachokipata?Ishi kama mwanamke!

9.Tunajua ni rahisi sana kushuhudia mende akipindua kabati kuliko kukukuta unashiriki shughuli za kishule Mfano usimamizi wa mitihani au kusahihisha na wenzako.Nani atakugusa boss la maboss!

9.Tunaelekea kutoa Ile ya chuoni...
 
1.Tunajua unapiga vipicha picha na wanasiasa na viongozi wa serikali hali inayopelekea Mkuu wa shule akuogope!YANA MWISHO

2.Tunajua wewe unaweza kukaa miezi mingi bila kufundisha na mkuu wa shule asikufanye chochote maana Huwa unampamba na kumpaka mafuta kwenye vikao vya WAZI!YANA MWISHO

3.Tunajua unamtetea mkuu maana unanufaika na tenda za nembo na vitambulisho.YANA MWISHO.

4.Tunajua unaporudi kufundisha,unafundisha Kwa kutoa sauti kubwa mpaka barabarani watu wajue upo darasani.YANA MWISHO

Badilika hii ni Dunia tu
Sasa si umwambie mwenyewe tu, simple!
 
Mzee wa Nyiendo🤣🤣
 
Dah mwalimu unashida saana na bila shaka utakuwa ni mtu kutoka kanda ya kati sisi watu wa mara hatuko hivi mura tena nahisi wewe ni umurisia kabsa mbona unakuwa na majungu saana? Kila siku wew na walimu wenzako hasa mkuu wa shule au unataka hiyo nafasi?
Ningekuwa ni mkuu wako wa shule ningeshakubaini kitambo saana nyau wewe umetuchosha na nyendo yako hii. Swaini
 
1.Tunajua unajua kucheza na saikolojia za watu Kwa kupiga piga picha na wanasiasa na viongozi wa serikali ili utishe walimu na mkuu wako wa shule kwamba upo karibu na viongozi wakubwa wa serikali na chama.Yaani Huwa ukiona kiongozi wa serikali wazo lako kuu la kwanza ni kumuomba kupiga picha ili uendelee kuwaogopesha wenzako.Hizi picha huwa zinapelekea Mkuu wa shule akuogope hata unaposhindwa kuwajibika kazini!YANA MWISHO

2.Tunajua wewe unaweza kukaa miezi mingi bila kufundisha na mkuu wa shule asikufanye chochote maana Pia unaporudi toka utoroni unampoza Kwa chochote!YANA MWISHO

3.Tunajua pia Mkuu wa shule huwa anaogopa kukuwajibisha maana huwa unamtetea kwenye vikao hasa vile anavyokuwa kwenye wakati mgumu,wewe ndiye wakili wake.Ila ukiwa mtaani unamsagia kunguni!YANA MWISHO.

4.Tunajua unaporudi kufundisha,unafundisha Kwa kutoa sauti kubwa umbali wa mita 0-500 ili watu wajue upo darasani.Tunajua unapoanza kufundisha kutoka kwenye utoro una mbwembwe sana,mada za nusu muhula zinafundishwa siku tatu huku ukiwa umebananisha madarasa matatu ndani ya chumba kimoja!YANA MWISHO.

5.Ila hongera pia kuwa na kipaji cha kujua Siri za wanandoa wengi,kubaini sababu za marafiki zako kutooa na baadhi ya walimu wenzako kutoolewa au kuvunjika ndoa Kwa ndoa zao!

6.Tunajua ni mtu muongo,mfitinishi sana mpaka wenzako wanakuita "chisorwe"

7.Wewe ni kati ya mnaosababisha shule iyumbe unafikiri favour unayopewa na mkuu wa shule huku ukiwa huwajibiki wengine kidogo tu wanagombezwa shule itaenda?Au wote wakipewa favour shule itaenda kweli?

8.Unasema walimu wenzako wana msongo wanaweza kujiua wakati wowote,unajua wewe ni mpumbavu kipindi mnaletewa nyama pori hapo shuleni kwa magendo wewe si ndio ulikuwa mnunuzi mkuu kuanzia kg 20 na kupeleka huko kwako?Wangekuwa wanakuchoma Leo hii ungekuwa wapi?Familia Yako isingekuwa na msongo??Nani mwenye msongo kati Yako uliyeng'anywa mali za urithi na mahakama au wlm wenzako waliozoea wanachokipata?Ishi kama mwanamke!

9.Tunajua ni rahisi sana kushuhudia mende akipindua kabati kuliko kukukuta unashiriki shughuli za kishule Mfano usimamizi wa mitihani au kusahihisha na wenzako.Nani atakugusa boss la maboss!

9.Tunaelekea kutoa Ile ya chuoni...
Wewe jamaaa kama umeoa bas huyo mwanamke kazi anayo.
 
Wewe Teacher bwege kweli umbea umbea unaleta huku.
 
Back
Top Bottom