sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/ sehemu ya kujitolea

    Habari za wapendwa. Mimi ni kijana wa kitanzania ninaishi Dar jinsia (me), elimu (shahada ya teknolojia na mawasiliano) nimekuja humu ndani kutafuta connection yoyote ya Kazi/au sehemu ya kujitolea kwenye taasisi yoyote iliyo na uhitaji wa mtu mwenye fani yangu. Nipo tayari kujitolea sehemu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru anaweza kuondolewa Bungeni kwenda kulitumikia Taifa sehemu atakayokuwa huru kutumia taaluma yake?

    Dr. Bashiru ni Mbunge wa kuteuliwa ambaye kama walivyo Wabunge 19 wa upinzani ameonyesha kushindwa kabisa kurejesha confidence na taaluma yake ndani ya bunge. Nakubali ndugu yangu huyu alikengeuka akajione next to president but may be hakuwa yeye Bali waliomzunguka. Dr. Bashiru ameshiriki...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni Halmashauri zote huhitaji fedha kutoka Serikali Kuu? Kuzipatia fedha nyingi mabilioni kila mwaka ni kuzidekeza na kuzifumba akili

    Juzi Rais Samia ametangaza tozo ya shilingi 100 kwa kila lita moja irejeshwe katika kodi ya mafuta. Hapohapo wafanyabiashara wa mafuta hayo hawajalalamika bali wamefurahi maana wao wapata faida zaidi. Licha ya kodi hiyo ya mafuta, gharama za maisha kwa ujumla zimepanda na mfumuko wa bei uko...
  4. JamiiForums Tanzania Tuliopotezana na Wapenzi wetu tuwatambue kwa majina nyakati na sehemu

    Ebwana eeeh namkumbuka Koku alikuwa receptionist giraffe hotel na peacock Hotel, bonge la pisi halafu mtamu safari zangu za mbele nimepotezana nae, 2008-2010, DSM nikiwa mkazi wa kijitonyama, Mfugale junior tulikuwa ligi moja ila sio mbaya, koku uko wapi?koku kama koku Tuwatafute
  5. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnatakiwa sana kujifunza na kukubali kuwa kukosoana, kuvumiliana ndo sehemu ya demokrasia

    Nalisema hili kutoka na tabia ya baadhi ya CHADEMA kuwa ma mtazamo kama ifuatavyo: I) Baadhi ya wanaCHADEMA wamekuwa waligombana sana na watu walio kinyume na sera zao! Mfano mtu akitoka wazo tofauti juu ya CHADEMA inachokiamini watu wa chama hiki hujitokeza kuta kejeli na matusi kama...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Madaktari wanaziona Sana sehemu za Siri , haiwaathiri kweli hii?

    Madaktari wanaziona Sana sehemu za Siri. Hii aiathiri kweli nguvu zao zakiume?
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kufanyia field Morogoro

    FIELD MOROGORO Naomba msaada kwa anayefahamu maeneo ya kufanyia field morogoro mm nakaa kihonda magorofan na nasoma bachelor ya it chuo cha uhasibu arusha.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hivi katika sehemu za biashara, moja ya sharti lisilo rasmi la leseni wanazopewa ni kufungulia TBC?

    Hapa Dodoma, nimefanya kautafiti kadogo kasiko rasimi, na nimegundua sehemu nyingi za biashara kama mabaa, migawaha, n.k, muda mwingi wanapenda ku-tune TBC na Mama anapokuwa live, basi ndio kabisa watamuonyesha mwanzo mwisho. Sio kosa na sio vibaya kufanya hivyo. Swali ni je, vituo vingine...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nihifadhi wapi akiba yangu ya fedha ili nipate faida ya angalau asilimia 10 kwa mwaka?

    Habari ndugu zangu, Mimi nataka kuanza kuwekeza pesa zangu za ziada lakini sijui nihifadhi wapi ambako nitajitengezea angalau faida ya asilimia 10 kwa mwaka! Naomba msaada kwa anayejua
  10. JamiiForums Tanzania Anuani za Makazi na Wakazi je inaweza kupatika/kutolewa sehemu ambazo hazijapimwa?

    Nimeshuhudia watu wakipita na makaratasi wakiwaambiwa wakazi wa eneo husika kuwa huu mtaa n mtaa flan na Kama Kuna njia wanasema n njia flan bila ya mwenyeji/wenyeji kujua Hilo jina limetokea wapi. Pili hiv inawezekana kutoa anuani bila ya kuwa umerasimisha makazi ya eneo husika? Mfano unakuta...
  11. JamiiForums Tanzania Dar: Hospitali ya Dar Group inanuka kinyesi kila sehemu

    Salaam Wakuu, Usalama wa wagonjwa hatarini katika hospitali ya Dar Group iliyopo Tazara Jijini Dar es Salaam. Mazingira yote ya hospitali yananuka kinyesi kutokana na kutozibuliwa Kwa chemba za kuhifadhia maji taka. Wagonjwa Wengine wanashindwa kuvumilia na kuondoka kwenda kwenye hospitali...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini pepo ni jitu baya na peponi ni sehemu nzuri?

    Utamsikia mchungaji akisema '' nakutoa hili PEPO baya la umalaya uache dhambi ili ufike PEPONI''. Mida hii ninatoka Nyegezi mida fulani nitakuwa Dom.
  13. L

    JamiiForums Tanzania "Waraka mkuu nambari 1" utakuwa mfano wa nchi za Afrika kukuza sehemu za vijijini

    “Waraka mkuu Nambari 1” wa China kuhusu kuhimiza kwa kina maendeleo ya sehemu za vijijini ulitolewa hivi karibuni, na kuamsha shauku kubwa kutoka kwa watunga sera wa Afrika, haswa wadau wa sekta ya kilimo na vijiji. Mnamo Desemba 2020, China ilitangaza ushindi katika kupunguza umaskini, na watu...
  14. JamiiForums Tanzania Nyerere alikurupuka kuleta mfumo wa Muungano ambao haupo sehemu yoyote Duniani, na hakuna nchi itakayojaribu kuiga

    Yeye ndie alieanzisha kitu hiki ambacho hakipo duniani nchi yoyote ile zaidi ya hapa kwetu. Haiingii akilini vya upande A ni vya upande B lakini vya upande B si vya upande A, Very bitter. Tukiendelea na huu mfumo, basi mateso haya tinayopitia yatakuwa mara 10 zaidi ya hapa miaka ijayo na ndio...
  15. JamiiForums Tanzania Ogende ogaruke na Shuntama

    Nimewahi kusikia miaka ya nyuma kuwa kuna dawa za mapenzi za kihaya moja inaitwa UGENDE UGARUKE nyingine SHUNTAMA ambazo akina dada huwa wanatumia kuwapumbaza Wanaume kimapenzi ili wawapende sana. Kwa wale walio na uelewa wowote wa mambo haya, je kuna ukweli wowote au ushuhuda? Au ni hadithi...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Ukraine haikuomba kuwa sehemu ya USA ili kuepusha huu ujinga unaoendelea sasa?

    Habari zenu wana JF wenzangu.. Ndugu zangu kinachoendelea leo huko Ukraine kinatokana na ujinga wa viongozi wa nchi hiyo kushindwa kujiongeza mapema huko nyuma ili kuepuka uvamizi huu unaofanywa na Urusi katika ardhi yake. Ikumbukwe na ifahamike kwamba USA ni Super Power ktk dunia hii, na...
  17. JamiiForums Tanzania Photographers' Corner

    Hapa tutakuwa tunashare picha tulizopiga au picha zilizopigwa na wapiga picha wengine ila zimetuvutia. Ikiwezekana vile vile tutakuwa tunaweka tips jinsi gani tumepiga picha, post processing etc etc. Tukiweka picha za wapiga picha wengine tujaribu kuweka source na jina la mpiga picha. Hii...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kumbe ufunguzi na ufungaji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing ni sehemu mbili za sherehe moja!

    Ufunguzi na ufungaji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kumbe ni sehemu ya kwanza na ya pili ya sherehe moja. Maonesho ya fataki kwenye ufunguzi wa michezo hiyo yalionesha mchoro wa msonobari unaowakaribisha wageni, na maonesho ya fataki kwenye ufugaji wa michezo hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Suala la Ngorongoro limegawanyika sehemu mbili, ni wazalendo vs wabinafsi

    Ngorongoro ni urithi adimu sama duniani mwenyezi mungu ametupa Watanzania. Tunatakiwa tuilinde kama mboni ya macho yetu. Cha kusikitisha watu wanawatumia Wamasai kama kivuli cha kuhifadhi mifugo yao kwenye hifadhi ya taifa. Watu wenye pesa wameifanya hifadhi ya Ngorongoro kama sehemu ya...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ni lipi kosa la Lutenant Denis Urio? Au Mimi kuna sehemu nimepitwa?

    Lutenant Denis Urio kwa Sasa anateseka na pande mbili, upande wa Kwanza ni upande watetezi wa Mbowe na washitakiwa wenzake. Pia upande wa pili ambao unamtesa Leutenant Denis Urio ni upande wa wanaomshitaki Mbowe na wenzake. Nitaanza na upande wa pili Hawa iko hivi, kwa mtazamo wa nje Urio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…