sebule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Chumba na sebule ni self catering dormitories mijini

    Mtu anaomba kiwanja cha makazi, wakati huo ni karani wa Masijala, anajitahidi kucheza upatu akiwa mwajiriwa na anafanikiwa kununua kiwanja Boko, Salasala au Bunju miaka hiyooo. Kuongeza kipato zaidi ya pension kwakua sasa hivi ni mstaafu anaanuma kujenga vyumba nyuma na pembeni ya nyumba yake...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya upanga. Ofa laki mbili kwa mwezi

    Habari wadau. Nimehatika kupata kazi hospital ya muhimbili hivyo nahitaji chumba na sebule maeneo ya upanga ofa yangu ni laki mbili kwa mwezi
  3. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Chumba Master na Sebule kinapangishwa Tabata Kimanga

    CHUMBA MASTER MPYAA 💥💥 PIA KUNA CHUMBA MASTER NA SEBULE MPYA . LOCATION : TABATA KIMANGA. DSM (A) Chumba Master ya Kibachela Mpyaa -- Kodi 100,000 miezi 6 (B) Chumba Master na Sebule -- Kodi 150,000 miezi 6 Zipo Ndani ya Geti Tabata Kimanga dakika 12 kutembea hadi stendi kuu...
  4. dalaliadam

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba zinapangishwa Dar

    INAPANGISHWA_MASTA SEBULE ENEO - MBEZIBEACH GOBA ROAD KODI - TSHS 150,000 NIONE - 0679268006
  5. Manka R

    JamiiForums Tanzania House4Rent Kodi 150,000/=

    Ipo Pugu kigogo fresh, Nyumba ina vyumba vinne vya kulala, sebule, dinning, jiko, choo&bafu ndani 0684223374
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kiwanja hatua 15x15 kinatosha nyumba ya vyumba vitatu na sebule na choo?

    Habari za jioni ndugu zangu, Naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule jiko na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna sehemu nataka nianze ujenzi
  7. P

    JamiiForums Tanzania House4Rent Chumba kinapangishwa Mbezi Beach

    FOR RENT - CHUMBA MASTA NA SEBULE - TSHS 150,000/= Mbezi Beach GOIGI. CALL 0679268006 ○ Tailizi, Gipsam. ○ Umbali kutembea ○ Ndani ya fensi, Maji ndani. ○ Umeme submita
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Jaribisha kuongeza hivi vitu vitatu (3), kubadirisha muonekano wa Sebule au Chumba chako!

    Wakuu, kwema? Kwa wanaoishi ghetto au wenye sebule, wakati unapambana kubadirisha muonekano wa chumba chako, ebu jaribisha na hivi vitu vitatu hapa chini, vinaweza kubadirisha sana muonekano wa room yako. 1. Picha za Ukutani Hii ndio urembo wa sebule wa bei ndogo kabisa. Kutegemeana na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ramani ya vyumba viwili, kimoja master, jiko, sebule na public toilet kwa 5000 tu

    Wakuu habari za hapa,ninauza ramani ya kuanzia maisha ,ramani ya vyumba viwili,KIMOJA master,jiko,sebule, choo cha public. Ramani hiyo Ina kurasa za paa,msingi,muonekano,na vipimo vyake. Kwa mawasiliano nichek inbox. NB: NAUZA KWA SABABU MIMI MWENYEWE NIMENUNUA,NDIO AMBAYO NIMEJENGA.
  10. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Chumba, Sebule, Choo na Jiko Arusha Moshono mpaka Siara nahitaji.

    Wadau habari zenu. Nahitaji nyumba tajwa hapo juu kwa budget ya 150k mpaka 180k iwe ndani ya fence luku ya kujitegemea tafadhali. Ikiwa kuanzia Moshono Corner/Kilimani mpaka Siara itapendeza zaidi. Natanguliza shukran kwenu.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba yenye chumba kimoja self sebule na jiko inaweza tumia tofali ngapi wadau

    Nyumba yenye chumba kimoja self sebule na jiko inaweza tumia tofali ngapi wadau
  12. S

    JamiiForums Tanzania House4Rent Tunapangisha nyumba na kuuza viwanja pamoja na nyumba Mwanza

    Chumba na sebule inapangishwa KWA ELFU 25 TU. IGOMA MTAA WA KAKEBE. UMEME NA MAJI VIPO. DALALI 0683011003
  13. Beberu

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kujenga Chumba sebule

    Wakuu, Naombeni msaada, hivi kujenga Nyumba ya chumba kimoja, sebule na jiko, inaweza tumia kiasi gani? Nipo Dar mimi, kiwanja tayari kipo.
  14. kayanda01

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ramani ya Master, sebule, chumba self, jiko, study room

    Naombeni ramani simple nzuri ya kisasa. Roof ya kawaida ya bati (sivutiwi na contemporary roof). *Master room *Sebule/sitting room (kubwa) *Self bedroom *Jiko *Study room N.B: Ni kwaajili ya bachelor life. So public toilet itakuwa nje.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Msaada Mwenye picha za decorations ya sebule naomba utupie hapa

    Wakuu mambo vipi nahitaji kudecoration sebule mwenye picha kali za decorations naomba atupie apa niweze kumuonyesha fundi wangu aweze kunijengea.
  16. Mshua's

    JamiiForums Tanzania Nina sebule ina urefu wa 6m na upana wa 4m, je, ninunue TV (screen) ya nchi ngapi na brand gani ni nzuri?

    Habari wakuu? Nimehamia kwenye nyumba ambayo ina sebule yenye vipimo kama nilivyoainisha hapo juu (Ur 6m kwa Up 4m). Naomba ushauri ninunue flat screen ya nchi ngapi na brand gani ina quality nzuri za picha na inadumu kwa muda mrefu bila kuleta matatizo? Natanguliza shukran za dhati wakuu!
  17. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Nyumba ya Chumba na sebule kwa milioni 4 tu

    Habari zenu? nauza nyumba yenye kiwanja cha ukubwa 25 kwa 20 Nyumba ni ya Chumba na Sebule Ipo kishili (mtaa wa chadema) bei ni milioni 4 kwa mawasiliano zaidi nipigie kwa 0767-733-555
  18. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Nimeandaa milioni 1, nataka kujenga chumba na Sebule

    Habari wa nzengo (salaam kutoka Jijini Mwanza) Mimi ni kijana mpambanaji. Nimekua katika hustles kwa muda mrefu sasa naona milango ya baraka inafunguka na mimi sitaki kuchezea nafasi. Mwisho wa mwezi uliopita nilibahatika kununua kiwanja kwa bei ya kugalaliza vibaya sana. Size ya kiwanja ni...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hili joto kupikia jiko la gas kwenye chumba na sebule ni mateso

    Siku hizi zile foleni za kungojea mafiga kwenye nyumba za kupanga zimepungua sana. Siku hizi wengi wana majiko ya gas chumbani. Kwa kweli yanasaidia sana kuokoa misitu, kurahisisha maisha. Hata hivyo joto unalopambana nalo kwenye chumba wakati unapika ni kadhia nyingine. Unaishi kwenye chumba...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kujenga chumba na sebule ya dharura

    Wakuu habari za hapa jamvini? Nitumbukie kwenye mada yenyewe. Ni hivi nilijenga msingi wa nyumba ya vyumba vitatu moja master, sebule, dining, stoo na public toilet katika plot mbili tofauti na sehemu tofauti pia moja wilayani kwetu na nyingine katika kata yangu. Sasa kote nimeshindwa...
Back
Top Bottom