Mwanza: Nyumba ya Chumba na sebule kwa milioni 4 tu

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
4,138
10,539
Habari zenu?

nauza nyumba yenye kiwanja cha ukubwa 25 kwa 20

Nyumba ni ya Chumba na Sebule

Ipo kishili (mtaa wa chadema) bei ni milioni 4

kwa mawasiliano zaidi nipigie kwa 0767-733-555
FB_IMG_1661060077978.jpg
FB_IMG_1661060073841.jpg
FB_IMG_1661060069138.jpg
FB_IMG_1661060065808.jpg
 
Unajua maana ya nyumba wewe,sema nauza kiwanja chenye kibanda cha mlinzi
Watu wanatofautiana, kika mtu na level yake, wengine wakina sisi kwenye hicho kibanda cha mlinzi ndio tunalaza mbavu zetu..
Wengine ili mradi asinyeshewe na mvua, wala jua mchana na mlango wa kuzia wadudu uwepo..
Wengine mradi akiwa anayafanya yake ndani haonekani na wa nje.

Nyie Wengine mabangalo, wengine ma mansion kabisa.
 
mimi sina hata hicho kibanda hila siwezi kusema hiyo ni nyumba,hapa ishu ni tafsiri ta maana ya neno nyumba na kibanda
 
Unajua maana ya nyumba wewe,sema nauza kiwanja chenye kibanda
Unakosea ndugu, hicho unachosema kibanda kuna mtu anakitafuta na akikipata kwake ni mithili ya hekalu.
Hali zinatofautiana, kama hakikufai wewe ni busara pia kupuuzia bila kuweka kebehi.

Tafsiri ya Nyumba.

Jengo linalotumika kama makazi/hifadhi ya kiumbe hai. Ikiwa tayari ni jengo linaloishi watu (viumbe hai) basi ni halali kuitwa nyumba.
 
Toa na tafsiri ya neno banda,
Banda ni nyumba ya uani
Hii ni banda tu haijalishi ninalo au sina
 
unajua gharama za kujenga hicho unachokiita kibanda?? Pengine inaweza kugharimu mshahsra wako wote wa miaka miwili.
Banda hatuangalii gharama toa tafsiri ya neno banda
Kuliwahi kuripotiwa hapa kibanda cha mlinzi kwenye ofisi ya serikali kilijengwa kwa mamilioni
 
Nashauri definition ya nyumba iwe revisited 😊😊😊😊😊😊
Ningeweza kusema nauza kiwanja kwa milioni 4, lakini bado ukaja ku dis-courage.

Bei ya kiwanja na Gharama ya kuweka hapo hicho unachodharau mkuu ni kubwa sana

Tushawazoea wabongo
 
Back
Top Bottom