Naombeni Ramani ya Master, sebule, chumba self, jiko, study room

kayanda01

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,086
913
Naombeni ramani simple nzuri ya kisasa. Roof ya kawaida ya bati (sivutiwi na contemporary roof).

*Master room
*Sebule/sitting room (kubwa)
*Self bedroom
*Jiko
*Study room

N.B: Ni kwaajili ya bachelor life. So public toilet itakuwa nje.
 
Mkuu Zemanda , kuna kale kanyumba ulikaweka humu, kanavutia Sana japo ni contemporary roof. Vipi kanafaa kwa hii plan yangu?

IMG_20221102_092958.jpg


Kana vyumba vingapi haka?
 
Nasubiri majibu hapa Nina kamkopo changu za hazina million kumi nataka chote nikajengee niwe na kwangu familia inakuja ya watoto mapacha sio poa kichwa kinauma

Mkuu, Safi sana. Pambana

Mimi familia iko kwingine. Nipo mkoani kwaajili ya utafutaji, naishi alone, nimechoka kulipia rent kila mwezi.
 
Mkuu mzabzab , ulifanikisha kujenga haka karamani?

Screenshot_20220916-215904_1.jpg


Naona ni kazuri kwa mkaazi asiye na vitu vingi. Kana store?

Nahitaji ramani nzuri simple kwaajili ya bachelor life:

*Master bedroom
*Self bedroom (normal room yenye Choo)
*Sebule ( kubwa)
*Jiko
*Study room (library)

N.B: Public toilet itakuwa nje for wageni incase.
 
Mkuu mzabzab , ulifanikisha kujenga haka karamani?

View attachment 2623088

Naona ni kazuri kwa mkaazi asiye na vitu vingi. Kana store?

Nahitaji ramani nzuri simple kwaajili ya bachelor life:

*Master bedroom
*Self bedroom (normal room yenye Choo)
*Sebule ( kubwa)
*Jiko
*Study room (library)

N.B: Public toilet itakuwa nje for wageni incase.
Haka katamu kweli upige furniture za ukweli mbona unaenjoy ukikaribisha warembo hawachomoi
 
Back
Top Bottom