sebule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hili joto kupikia jiko la gas kwenye chumba na sebule ni mateso

    Siku hizi zile foleni za kungojea mafiga kwenye nyumba za kupanga zimepungua sana. Siku hizi wengi wana majiko ya gas chumbani. Kwa kweli yanasaidia sana kuokoa misitu, kurahisisha maisha. Hata hivyo joto unalopambana nalo kwenye chumba wakati unapika ni kadhia nyingine. Unaishi kwenye chumba...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kujenga chumba na sebule ya dharura

    Wakuu habari za hapa jamvini? Nitumbukie kwenye mada yenyewe. Ni hivi nilijenga msingi wa nyumba ya vyumba vitatu moja master, sebule, dining, stoo na public toilet katika plot mbili tofauti na sehemu tofauti pia moja wilayani kwetu na nyingine katika kata yangu. Sasa kote nimeshindwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chumba na sebule, nadhani ramani yake ni hii tu

  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Korido, sebule, chumba, jiko, master, dining nk, vinatakiwa kuwa na wastani wa ukubwa kiasi gani?

    Eti wakuu hivi vitu pamoja na milango, madirisha na umbali hadi darini kwa wastani unakuwa kuwaje. Maana nasikia hadi ngazi zina kipimo chake cha urefu na upana.
  5. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na Sebule

    Habari wakuu, Natafuta chumba na sebule mitaa ya Kiluvya, Kibamba, Mbezi mwisho, malamba mawili, mwisho kinyerezi. Piga 0713039875
  6. Nyendeke

    JamiiForums Tanzania Design ya Sebule kuwa Chini halafu Vyumbani na Sehemu ya Chakula kuwa Juu

    Ndugu wanamajilisi, hiyo "design" tajwa hapo Juu ndio Ujenzi wa Kisasa? Au ni kipi hasa kinapelekea Mafundi wengi kushauri Ujenzi wa namna hiyo?
  7. Dalali Alpha

    JamiiForums Tanzania House4Rent Chumba na sebule inapangishwa

    Chumba kimoja cha kulala pamoja na sebule. Eneo: Mbezi Beach Bei Tshs 100,000/Mwezi Maji ya dawasa yapo masaa 24, Usalama Upo wa kutosha, Ipo umbali wa dakika 2 kutembea kwa mguu. Tuwasiliana: 0686648630
  8. Playman

    JamiiForums Tanzania House4Rent Chumba na sebule kinapangishwa Mbezi Beach

    Chumba na sebule, Choo cha nje. Maji ya dawasa, Umeme Luku wawili, Maegesho ya gari ipo, Uzio na usalama Upo. Bei Tshs 100,000 Kwa Mwezi Kodi ya Miezi 6 Wasiliana nasi: 0686648630 | 0716442950
Back
Top Bottom