sayansi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia: China wajenga jengo la ghorofa tisa (10 storey building) ndani ya saa 28 na dakika 45

    Chinese company Broad Group has erected a modular 10-storey apartment block, named the Living Building, in just over a day in Changsha, China. A timelapse released by Broad Group shows the 10-storey building being erected in China by a large team of workers and three cranes in 28 hours and 45...
  2. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanasayansi wengi walifuga nywele ndefu?

    Salaam wakuu, katika kujifunza kwangu nimekuwa nikijifunza Mambo mengi kuhusu uvumbuaji wa vitu mbalimbali. Lakini kuna kitu kimoja mpaka Sasa sijakielewa?, hii ni kuhusiana na wanasayansi wengi wanaosifika kuwa na akili kubwa, basi wengi wao walifuga nywele ndefu. Je, kuna siri yoyote...
  3. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Walimu wa masomo ya sayansi jitathimini

    Niende moja kwa moja kwenye mada walimu wa masomo ya sayansi ebu angalieni ufauru wa matokeo ya wanafunzi kidato cha pili arafu mkae chini mjitathimi maana haiingii akilini mtoto wa kidato cha pili anaepata A somo la kingereza arafu anapata F somo la Biology au Chemistry kidato cha pili kweli...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama Dini zimegundua sayansi mbona sijaona mpaka leo mlichozindua zaidi ya kukata mwanadamu na vya Duniani?

    Nakasirika sana unasikia mtu ana kwambi sijui dini imegundua sayansi tena hawa ndugu zangu ndio kabisa ana kwambia sijui wanasayansi wanakopy kupitia kitabu kilichoshushwaz " hata ukiwauliza kilishushwaje kimya". Vitu vyote mnavyo tumia leo mnawaita makafiri !. kumbukeni teknolojia ilitoka kwa...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu

    Maoni yako ni yepi juu ya hili: Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu. Kuna mdau ameshauri wahitimu wa form six wawe wanaajiriwa moja kwa moja kufundisha shule za sekondari bila kupitia chuo wanakoenda kugoogle badala...
  6. system hacker

    JamiiForums Tanzania Amkeni: Niambie unafanya biashara gani nikusaidie kupata fedha zaidi kwa kutumia mfumo wa sayansi ya fedha na biashara

    New update . . . . 25.12.2022 Merry Christmas and Happy New Year 2023. Umewahi kusikia kuhusu CMC Marketplace? . . CMC Marketplace ni mfumo wa Soko la kutegemeana kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi. . . Watu wamejiunga kwenye mfumo huu, ili kufanya...
  7. Askarimtu

    JamiiForums Tanzania Sayansi na ushirikina

    Kwa maana hiyo wanasayansi wote wanafanya shughuli za ushirikina aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Natafuta ufafanuzi zaidi au hakiki (evidences) juu ya hii taarifa. Kwanini sayansi na ushirikina kwa karne hii ni vitu vyenye uhusiano???
  8. tzhosts

    JamiiForums Tanzania Koding Kids - Mafunzo ya Sayansi ya Kompyuta kwa watoto

    Habari za wakati huu, Koding Kids Program ni programu maalum ya wiki 2 ambapo watoto wenye umri wa kati ya miaka 12 hadi miaka 15 watafundishwa masuala ya msingi kuhusu masomo ya sayansi ya kompyuta lengo likiwa ni kuamsha hisia zao na hamasa ya kutaka kufahamu zaidi kuhusu sayansi ya kompyuta...
  9. Theorist Mosses

    JamiiForums Tanzania Orion spacecraft ya shirika la sayansi ya anga NASA imefanikiwa kufika mwezini

    picha hii ni halisi imepigwa ndani ya lisaa limoja lililopita na chombo cha Orion spacecraft kilicho ruka na rocket ya mwezini kwenye mission ya Artemis I 🛰 kumbuka shirika la anga za mbali NASA, wanampango wa kumrudisha binadamu kwa mara ya pili kwenda kuishi kwenye mwezi baada ya kupita...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Changamkieni fursa vijana mliohitimu advance masomo ya Sayansi. Njia ya mafanikio nyeupe

    Uzi tayari.
  11. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania Ni wakati dhahiri wa kutafakari maendeleo ya sayansi na teknolojia katika nchi yetu

    Ndugu wanaJamiiForums ni matumaini yangu mu bukheri wa afya. Siku chache tumepokea na kushuhudia ajali mbaya iliyotokea mjini Bukoba. Suala ni kuwa mpaka sasa tumekuwa katika harakati za kuijenga nchi yetu katika misingi bora ya sayansi na teknolojia ya hali ya juu kwa kuandaa miradi mbalimbali...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Najaribu kufikiri kama Albert Einstein angelikuwa hai mpaka leo, elimu ya sayansi kuhusu dunia ingekuwa imefika wapi?

    1. Special theory of relativity 2. General theory of relativity 3. Time dilation 4. Warping of spacetime 5. Spacetime continuum 6. E=mc2 7. Gravity as bending of spacetime 8............................................... Hivi vitu ni vigumu kuvielewa.......
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya ufundishwaji wa masomo ya sayansi kwa Afrika na China

  14. kamima

    JamiiForums Tanzania Ajira za mkataba za walimu wa sayansi Ilala DSM

    Habari za wakati huu wadau, mimi ni mwanachuo niliyemaliza mwaka huu masomo Physics na Mathematics, katika pita pita zangu nimekutana na hii kwamba manispaa ya Ilala inatoa ajira za mkataba kwa walimu wa sayansi. Nilitamani kuielewa hii kwa undani kwa watu wenye kulijua hili kwasababu pia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Makamba kama Waziri wa Nishati na aliyofanya alipoteuliwa umenifanya niwakataze watoto wangu kuchukua masomo ya Sayansi

    Kuna mengi yalisemwa kuhusu January kuteuliwa kuwa waziri wa nishati, mojawapo likiwa ni kwamba kulikuwa na msukumo fulani kutoka kwa wazee kwa mama kumpa January wizara hiyo nyeti kama chaguo lake. Sasa kwangu mimi hilo nililiona lina walakini sana. Sina tatizo na Makamba kuwa waziri, lakini...
  16. L

    JamiiForums Tanzania China yapiga hatua kubwa katika sekta ya sayansi na teknolojia

    Na Caroline Nassoro Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC utafanyika tarehe 16 Oktoba hapa Beijing. Lakini kabla ya kufanyika kwa Mkutano huo, ikiwa sasa watu wa China wanakuwa katika mapumziko ya siku saba ya kusherehekea miaka 73 ya kuzaliwa kwa taifa la China, siku ya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya sayansi ya alama za vidole yafanyika Changzhou, Jiangsu

    Tarehe 18 Septemba, watu wanatembelea maonyesho ya sayansi ya alama za vidole katika Jumba la makumbusho la sanaa la Ziwa Taihu Magharibi, mjini Changzhou, Jiangsu. Maonyesho hayo yameweka sampuli ya fuvu, nyaraka na vitabu, na kutumia aina mbalimbali za picha, vifaa, sanamu kuonyesha...
  18. Howl69

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sayansi na Teknolojia: Wimbi kubwa la mabadiliko juu ya bahari utulivu za Afrika

    Sayansi na Teknolojia; vitu viwili vinavyoenda pamoja kama keki na aiskrimu au samaki na maji au, nipendavyo binafsi, dansi na muziki. Sayansi na teknolojia zimekuwa baraka kweli kweli katika ulimwengu wetu huu wa kisasa na wakati mwingine unaweza kuwa upanga ukatao kuwili; inaweza kusaidia...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ataka uwekezaji wa sayansi, Teknolojia

    Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Afrika wakiwekeza zaidi katika sayansi na teknolojia kwa vijana, wanaweza kuwa sehemu muhimu ya kustawisha uchumi kama ilivyo China. Ametoa kauli hiyo Dar es Salaam leo, wakati akifungua Mkutano wa Wanawake na Vijana katika Biashara chini ya Mkataba...
  20. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sababu zitakazochochea mabadiliko katika nyanja za kielimu, utawala, kilimo,afya, uchumi, sayansi na teknolojia

    Mabadiliko katika nyanja za kielimu, utawala,uchumi, afya,kilimo sayansi na teknolojia yanaweza kuchochewa na sababu zifuatazo. Uzalendo. Uzalendo ni miongoni mwa sababu kubwa sana inayoweza kuchochea mabadiliko katika nyanja mbalimbali. Mfano, katika nyanja ya elimu kama walimu na baadhi ya...
Back
Top Bottom