Mzawa_G
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 667
- 1,467
Basi utakuwa unautazama mwezi wenye muonekano unaofahamika kama Waxing rescent ambao ni muonekano unatokea mara baada ya mwezi kuandama na kuanza safari yake mpya katika zunguka Dunia yetu.
Eneo la mwezi unaloweza kuliona Duniani kwetu ndilo eneo linalopokea mwangaza wa jua au tuseme ndio eneo linalohakisi mwangaza wa jua na eneo lisiloonekana halijaweza kuhakisi mwangaza wa jua.
Eneo linaloonekana siku ya leo limehakisi mwanga kwa kiasi cha asilimia tano tu ya eneo zima la mwezi wetu.
mzawa
Moudyswema
Tanzaniascienceyetu
AstronomyKiswahili