sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Ni sawa umenizaa, lakini umefupisha maisha yangu

    Jioni ya jana nikiwa natoka katika harakati zangu za kila siku niliamua kufaya mazoezi kwa kutembea kwa miguu tokea kazini hadi nyumbani tofauti na nilivyozoea malanyingi huwa napanda usafiri wa umma asubuhi na jioni kwasababu sina chombo binafsi cha usafiri. Nikiwa nakatiza katika mitaa karibu...
  2. JamiiForums Tanzania Mzee Kinana Umetukataza Kukagua Taa za Magari Mchana, Sawa Tumekuelewa

    Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa. Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
  3. JamiiForums Tanzania Ujerumani yaisaidia Tanzania Euro mil 10 sawa na TSH Bil 23.7 kwa ajili ya Mradi wa kukabiliana na migongano kati ya wanyamapori na binadamu

    Serikali ya Tanzania na Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani zimetiliana saini mkataba wa msaada wenye thamani ya Euro milioni 10 sawa na shilingi bilioni 23.7 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa kukabiliana na migongano kati ya wanyamapori na binadamu, Mradi wa kuwezesha upatikanaji...
  4. JamiiForums Tanzania Hii sio sawa kabisa Fredy Vunjabei

    Kwa hali ilivyo kuwa siku ya jana katika ununuzi wa jezi za club ya Simba katika Maduka ya mfanyabiashara Fredy Vunja bei hakika haikuwa sawa, likely kuke kulikuwa ni kusababisha majanga .. Imagine kama kale kajengo kangeanguka leo hii hii siku ya nane nane ingekuwa simanzi kwa baadhi ya familia
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Bei za vyakula na vinywaji katika hoteli zinazotumiwa na wasafiri mikoani si sawa waungwana wenzangu!

    Je, umewahi kusafiri safari ya umbali mrefu mfano kutoka Dar es salaam hadi Mwanza? Safari iliyokulazimu upite sehemu zinazotoa huduma ya chakula na vinywaji kwa wasafiri ili uweze kupata chochote kitakachopoza njaa yako? Na je ulinunua Chakula au kinywaji? Kama jibu lako ni ndio leo utakuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC na Msemaji Ahmed Ally kuweni na 'Adabu' na Sisi 'Mashabiki' wa Simba SC juu ya 'Usajili' wa 'Manzoki' sawa?

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally jana Asubuhi ukiwa Wasafi FM ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Mchana au Alasiri mtamtangaza rasmi Manzoki kuwa Mchezaji Wetu na haikuwa hivyo. Nilitegemea Wewe kama Mweledi ( Professional ) baada ya muda huo kupita basi Kiungwana ungetuomba Radhi ila...
  7. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mwanga kwenye giza(tulipotoka si sawa na tulipo)

    Julai Mwaka 1992 Tanzania iliutangazia ulimwengu kuwa itaanza uchaguzi mkuu ambao utashirikisha vyama pinzani(mfumo wa vyama vingi) na mnamo mwaka 1995 ndipo uchaguzi wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi ulipofanyika. Matukio hayo yote yamekuwa yakishuhudiwa na wananchi wa Tanzania kwa muda wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kuwa na wazo la biashara bila mtaji, ni sawa na ndoto

    Wapo watu wanajivunia kuwa na mawazo ya biashara ila hawana mitaji; ukiomba wakushirikishe wazo lao, wanakataa wakihisi unaweza kuchukua wazo lao na kulifanyia kazi. Unakuta miaka nenda rudi, mpaka anakuwa mzee bado yuko na wazo lake tu, na hataki kushirikisha watu ili lifanyiwe utekelezaji...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa Viongozi kuvaa Barakoa kwa Kubagua maeneo ni Unafiki amueni moja mzivae muda Wote au msizivae tu kabisa sawa?

    Nachukia sana Unafiki na Upuuzi. Yaani Mtu huyo Saa 2 Asubuhi unaona Picha yake akiwa amejiachia kabisa bila Barakoa lakini ukija Kuiangalia tena Picha yake ya Saa 7 mchana unamkuta kavaa Barakoa tena inayotaka hata Kufunika Kichwa chake chote. Nawaulizeni nyie Viongozi Wanafiki hivi COVID-19...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, ubora wa Vyuo Vikuu hauko sawa; natoa mfano wa SUA

    Vyuo vyetu bado viko hoi sana hata kwa miundombinu tukilinganisha na waliotuacha kama South Africa. Bila ushabiki, kupitia mitandaoni SUA imekuwa ikisikika kama mfano wa chuo bora kwa uwezo wa wahitimu wake. Ni mfano wa wahitimu wavumilivu na wabunifu ktk taaluma zao. Hata hivyo, adui mkubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

    Msemaji wa Yanga, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh milioni 20. Manara amekumbwa na adhabu hiyo kutokana na sakata lake na Mwenyekiti wa TFF. ==== Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kitaalamu Yanga wako sawa hawana ushamba

    Pre season ni ushamba kuwachosha wachezajina mechi zisizo na kichwa wala miguu ni ushamba tu, hakuna cha kubadili hali ya hewa wala saikolojia kwa sababu kwa sasa saikolojia ya wana yanga iko heaven kabisa juu mbinguni hukoo wana morale kubwa na kujiamini mno *wana uhakika wa kutetea ngao ya...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Mama yangu kaolewa na kijana umri sawa na sisi wanae

    Mungu wasamehe wanawake wote kiukweli sio akili zao…..wanateswa na mapepo makali sana
  14. JamiiForums Tanzania Edouard Mendy: Namfananisha Haaland sawa na Banteke wa Crystal Palace

    Golikipa wa Chelsea, Edouard Mendy anamfananisha mshambuliaji mpya wa Man City sawa na Mshambualiaji wa Crystal Palace, Christian Benteke. Kwamba Haaland hana tofauti yoyote na Benteke hii dharau, mimi naitunza hii kauli ili uko mbele ya safari nije niirejee...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sina hamu kabisa ya kuoa na umri unazidi kwenda

    Mwisho wa mwaka huu, nitakuwa na miaka 35, umri wa uzee, kinachonichanganya sihisi wito kabisa wa kuoa na kuishi na mwanamke, huko nyuma atleast nilikuwa na hiyo hali ya kutamani kuishi na mwanamke kiasi kwamba niliifanikiwa kupata watoto wawili kwa mwanamke mmoja, na nilitoa hadi mahari Cha...
  16. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu za viganjani hii haijakaa sawa

    Inakuwaje mtu umechukua line ya mtandao fulani ukawa unatumia lakini kuna uwezekano kibinadamu kuna sababu mbalimbali kiuchumi hali ngumu au ukaugua muda mrefu kiasi kwamba huwezi hata kutumia simu kwa maana ya kununua hata vocha. Sasa baada ya siku au miezi kadhaa unaambiwa namba yako amepewa...
  17. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi na Afisa Elimu Sekondari Halmashauri ya wilaya Uyui-Tabora, Makinikeni hii sio sawa

    Idara ya utumishi na Tsc Kuna watumishi mliwahamisha vituo vya kazi tangu mwezi July mwaka jana Hadi leo hamjawalipa stahiki zao za uhamisho na BADO wapo vituo mama wakisubiri fedha zao Hadi leo na hawafanyi kazi KWA takribani mwaka mzima. Watumishi hao wanalipwa mishahara bila kufanya kazi...
  18. JamiiForums Tanzania Ulichokipata wewe kwa gharama wengine walikipata Kkwa bei sawa na bure

    Kwema Wakuu! Wakati wewe ulitumia mamilioni ya pesa kufaulu Kidato cha nne, kuna wajuba gharama zao Kwa ujumla tangu Kidato cha Kwanza mpaka cha sita hawafikishi hiyo milioni Moja. Hivyo usiringe Sana Utaonekana mshamba tuu! Wakati wewe ulitumia mamilioni ya Pesa kupata Pisikali Fulani, kuna...
  19. JamiiForums Tanzania Kazi ya msaidizi wa nyumba ni ngumu sana, ni sawa na kazi ya kibiriti kusafisha unarudia.

    Akipika mama lawama zinakwenda kwa dada jiko chafu. Tena dada huwa anaambiwa apikie kuni au mkaa jiko la ndani anapikia mama tu.
  20. JamiiForums Tanzania Majaribio ya treni ya umeme yafanyika

    Hii ndio iliyofanyiwa majaribio mbona kama itakuja ya hivyo tumepigwa pakubwa naona kama imepitwa na wakati.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…