UN na AU waunga mkono jitihada za EAC kutuma jeshi la pamoja kwenda kuiweka sawa DRC

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,401
Muda umefika kwa hao waasi wa DRC waelewe hawataishi kwa mazoea tena baada ya DRC kuingia EAC, itabidi wakubali mazungumzo na makubaliano ya amani au wanyooshwe.

The African Union and the United Nations have backed an eastern Africa initiative to bring peace to the Democratic Republic of Congo (DRC), boosting chances for a local solution to the conflict.

Both the continental body (AU) and the UN say they support the latest bid by the East African Community (EAC) to bring armed groups to dialogue with the government in Kinshasa, as well as formation of a regional force to counter rebel groups who will refuse to negotiate for a political solution.

Moussa Faki Mahamat, the Chairperson of the AU Commission, said on Tuesday he supports the initiative that came out of the Second Heads of State Conclave on the Democratic Republic of Congo (DRC), in Nairobi, “particularly the decision to immediately deploy a regional force to restore peace and stability in the DRC.”

“Furthermore, the Chairperson welcomes the convened 1078th meeting of the AU Peace and Security Council of 19 April 2022 on the outcome of the 10th Regional Oversight Mechanism Summit held in February 2022 in Kinshasa…

“and reaffirms AU’s continued commitment, to the full implementation of the Peace, Security and Cooperation Framework Agreement for the DRC and the Region, as one of the guarantors of the Agreement,” he said.

The Agreement is a 2013 document signed by DRC and all its neighbours—Angola, Burundi, Central African Republic, Congo, Rwanda, South Africa, South Sudan, Tanzania, Uganda, Zambia. They vowed to support institutional rebuilding in the DRC, including a decentralised but consolidated state authority, as well as a promise not to harbour rebel groups and war crimes suspects involved in conflicts in the DRC.

Source: The East African
 
Hii inaonyesha EAC ni strong sana kushinda SADC. DRC wamejiunga lakini hata hawajakaa chini kwenye kiti lakini tayari tumeshaanza kupanga kuangamiza magaidi huko. DRC imekuwa ndani ya SADC kwa zaidi ya miaka ishirini lakini vijana wa mapanga bado wameshinda SADC nguvu.
 
Gharama ya kuwa fight hao rebels ni kubwa kuliko kuwa enroll kwenye jeshi la DRC na kuwalipa mishahara.
Kama wamewashindwa for 30+ years, hawatowaweza now kama wakiamua kupambana nao kwa mtutu.
Au, Eac na DRC wachangie kwenye mishahara ya hao mecenaries badala ya kumalizia hizo pesa kwenye vikao.
Katika pact waasi walio East wachanganywe kwenye vikosi vya jeshi upande wa west nk.
 
EAC is still a weak institution they dont even have a rapid force in place each country still operates individually no common stance with regards to peace due to vested interests among member states.
 
Sio lazima tuwe na common army mzee. Huko Somalia kila nchi iligawiwa sector yake na mambo ikawa shwari. Jubbaland ilikuwa ya Kenya na Mogadishu ilikuwa ya uganda. Ethiopia walipewa kaskazini mwa Somalia.
 
Hii inaonyesha EAC ni strong sana kushinda SADC. DRC wamejiunga lakini hata hawajakaa chini kwenye kiti lakini tayari tumeshaanza kupanga kuangamiza magaidi huko. DRC imekuwa ndani ya SADC kwa zaidi ya miaka ishirini lakini vijana wa mapanga bado wameshinda SADC nguvu.
SADC inakuuma roho,kijiografi kunyaland ingekua iko SADC mngejiunga 100%,then maziwa makuu haiwezi kuwa na amani kama kagame na mu7 wataendelea kutawala nchi zao,DRC ilivyoingia EAC tu pk na mu7 wamemaliza tofauti hujashtuka tu!
 
Gharama ya kuwa fight hao rebels ni kubwa kuliko kuwa enroll kwenye jeshi la DRC na kuwalipa mishahara.
Kama wamewashindwa for 30+ years, hawatowaweza now kama wakiamua kupambana nao kwa mtutu.
Au, Eac na DRC wachangie kwenye mishahara ya hao mecenaries badala ya kumalizia hizo pesa kwenye vikao.
Katika pact waasi walio East wachanganywe kwenye vikosi vya jeshi upande wa west nk.

Ndio hatua zinazofanywa mwanzo, kwamba waje kwenye meza wajadiliane, kuwawinda itafanyika kama ikitokea mbinu zote zimefeli, na hapo tutaanza na wafadhili wao.
 
SADC inakuuma roho,kijiografi kunyaland ingekua iko SADC mngejiunga 100%,then maziwa makuu haiwezi kuwa na amani kama kagame na mu7 wataendelea kutawala nchi zao,DRC ilivyoingia EAC tu pk na mu7 wamemaliza tofauti hujashtuka tu!

Hiyo SADC ni useless tu, sijui nini huwa mnakifanya huko, Msumbiji imebidi Kagame aiweke sawa, hovyo tu.
 
Talks between the rebels and the government are ongoing as we speak.

FRWPV_OXEAIxPWP.jpg
 
Back
Top Bottom