SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).
Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan,
Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu...
Wana JF,
SALAAM!
Nawauliza kuna tatizo gani nchini KWETU hususan kwa hawa wanaojiita watetezi wa wananchi kupitia forums za vyama vya siasa. Naona kila jambo linaloanzishwa na Serikali liwe zuri au baya linapita bila kikwazo.
Mfano:-
(a). Tozo. - hizi zimeanzishwa kimzahamzaha lkn mwisho wake...
kwangu niliona shule siwezi tena maana uwezo wangu wa kujifunza ulikuwa mdogo, walimu darasani walikuwa wanafundisha kwa spidi kubwa kuzidi uwezo wangu, vitabu hakuna, sina hela za kwenda tuishen, n.k.
Form 4 matokeo yalitoka nina division 4 mbaya sana lakini waziri wa elimu wakati huo...
Yaani ukitaka ku- access akauntiz(mfano ya twitter au Instagram ) ya mtu kama Diamond, Ali Kiba, Mayele, Sakho, Chama, Wema, n.k, ukiwa humu nchini, shariti kwanza ulipe 500, then kupitia simu yako, unatumiwa password maalumu itayokuruhusu kuingia katika akaunti ya huyo mtu maarufu .
Nadhani...
Kuna watu wanakula mahindi ya kuchoma jioni kwa kuburidisha vinywa lakini kwa mwengine ni kwajili ya kuokoa maisha, njaa isikie tu.
Kuna kipindi njaa ilinipiga kwa siku inayokaribia ya pili bila kuweka chochote tumboni, nililegea sana ila nilijifanya nina nguvu nisichekwe na wenzangu...
Habari wakuu..
Wiki kadhaa zilizopita nilikua nikituma maombi ya kazi.. kutumia ajira portal.. nilikua naitwa kwenye usaili.. sikufanikiwa.. kufaulu..
Nikaomba mara ya pili sikuitwa.. sababu.. lowyer.. hajaidhinisha vyeti vyangu.. nikavipeleka vikaidhinishwa..
2.nikatuma tena.. sikuitwa...
Bibi yangu mzaa mama ana kaka yake mdogo ambaye ana binti mzuri sana na nahisi tunapendana, kwa ufupi ni binamu yake mama.
Je, kiafrika naruhusiwa kumpelekea moto au ni mama yangu mdogo?
Habari Wana Jamvi,
Naandika haya nikiwa na uchungu sana moyoni, yaani watazania sijui tunasimama wapi ndugu zangu kwa upande wa lugha za kimataifa si Kingereza wala Kifaransa (maana naona passport zetu zina lugha ya Kifaransa) tunaweza kuzungumza.
Tunadanganywa na BAKITA kwamba Kiswahili ni...
Habari yenu ndugu zangu,
Maji ya kuchemsha na maji ya chupa yapi ni salama zaidi na yenye afya?
Je, ni sawa kuchemsha maji ya kunywa kwenye birika ya umeme tofauti na kawaida tulivyozoea kuyachemsha kwenye sufuria kwa jiko la gesi au mkaa?
Picha hapo juu inajieleza. Tafsiri nyepesi ya hizi tozo ni kwamba VAT imepanda mara 2. Zile stori za sijui nchi ni yetu sote, tunajenga nchi, tunaendesha miradi ni vichaka tuu vya kujifichia ila ukweli ndiyo huo kwamba VAT ime-double.
Sasa kwa hali ya uchumi ilivyo ni mzigo tosha kwa mwananchi...
Yaani kaaa kwa kutulia mtoto mdooooogoooo, mnuka jasho a.k.a MNYONGE, sasa kwa taarifa yako kila mwaka v-8 za billions 600 zinaagizwa, V-8 MOJA NI MILLIONS 500 SAWA NA KITUO CHA AFYA
Zinajazwa mafuta full tank, full Ac na hakuna kuzimwa hata kama boss yuko bar na mrembo wa bongo movie wanakula...
Hizi issues mkianika nje sisi wengine tunapatwa na hisia kinyama....yaani tena nikiona sehemu ambapo papuchi inakaa nadata kabisa ...
Msianike nje please. Nyumba moja nlipanga dada mmoja akawa anaanika nje vifuniko vyake....siku moja nlimfuata na kumsihi sana asiendelee kufanya hivyo akaniambia...
Yaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya na viongozi.
Hilo la kuhakikisha kila mtanzania, kinana, mzee, mke na mume wanalipa kodi sasa...
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kutuamsha wote tukiwa SALAMA saliminin,lakini pia hata Kwa wale wenye changa moto afya Tumwombe Mungu wetu sote awaponye na kuwarejeshea afya njema.
Nitakuwa kiumbe cha ajabu nisipo mshukuru Mungu kwa AJILI ya walio twaliwa maana nayo...
Kuna hili suala la kuwa mtu akipata ajali iwe ya kupigwa au ajali ya aina yoyote ile, inabidi apate kibali toka Polisi ndio kisha atibiwe je hii ipo sawa?
Kwanini inakuwa hivi?
Nilijaribu kuuliza sababu ni nini na jibu nalopewa ni kwa sababu za kiusalama, sasa sijui kama ni haki kumwacha mtu...
Tumeshuhudia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki akipinga hadharani maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyeagiza vitalu vya NARCO vifutwe na kupewa vijana wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo SUA ili kutengeza fursa za ajira kupitia ufugaji
Mambo ambayo Waziri alipaswa kuyafanya ni mawili...
Jioni ya jana nikiwa natoka katika harakati zangu za kila siku niliamua kufaya mazoezi kwa kutembea kwa miguu tokea kazini hadi nyumbani tofauti na nilivyozoea malanyingi huwa napanda usafiri wa umma asubuhi na jioni kwasababu sina chombo binafsi cha usafiri.
Nikiwa nakatiza katika mitaa karibu...
Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.
Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.