Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,397
- 3,491
Golikipa wa Chelsea, Edouard Mendy anamfananisha mshambuliaji mpya wa Man City sawa na Mshambualiaji wa Crystal Palace, Christian Benteke.
Kwamba Haaland hana tofauti yoyote na Benteke hii dharau, mimi naitunza hii kauli ili uko mbele ya safari nije niirejee...
Kwamba Haaland hana tofauti yoyote na Benteke hii dharau, mimi naitunza hii kauli ili uko mbele ya safari nije niirejee...