Ajira katika sanaa ni mwelekeo sahihi wa taifa

Nov 6, 2016
77
267
Na Comrade Ally Maftah

Nimefarijika sana kumsikiliza rafiki yangu sana Dr Gervas Kasiga ( Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dodoma ) kwamba mwelekeo mwingine wa ajira ni katika sana, ni hakika kwamba Dr Kasiga ambae alikuwa muigizaji wa zamani katika mapinduzi ya pili ya sanaa za maigizo akiwa na wakongwe Single Mtambalike, Raymon Alen ( Bishanga ) nk kipindi hiko, anatumia elimu yake kwa uweredi mkubwa sana katika kunasibisha sanaa na elimu.

Kama ingekuwa nina nafasi nzuri ya kuishauri Serikali basi ningeshauri Gervas atumiwe vizuri zaidi

Ndimi
Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
RAFIKI WA WOTE

 
Back
Top Bottom