sanaa

  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kiufupi ni kuwa watu kama IPM na kapola wame master sanaa ya kufanya zogo na watu wanaopitia msongo kutokana msoto wa maisha na inawalipa sana aisee.

    Waliona namna watu walivyokuwa confused toka utotoni na mambo ya kufikirika na pia wakaangalia ni namna gani mtu mwenye msongo na confusion anapenda maneno ya faraja Waka combine hivo vyote lakini ili kuongeza kuaminiwa zaidi inabidi wajipatie title, sasa ndo maana kila mmoja wao either ajiite...
  2. Red black

    JamiiForums Tanzania Simba SC inatia hasira na fedhea sanaa

    Hii ni zaidi ya dharau Team haina map inatia kichefuchefu
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO SUA kuna wanafunzi hasa wa 1st year wanateseka sana. Mpaka sasa hawajapata pesa ya kujikimu

    Hapa chuoni Sua Kuna wanafunzi hasa wa first year wanateseka sanaa mpaka sasa hawapata pesa ya kujikimu huku loan officer akiwaambia wawe watulivu watapata pesa.
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tukio hili niliamini kama nchi bado tuna safari ndefu sana

    Hili Tukio ndio niliamini Hii nchi tuna safari ndefu sana 🤣. Siasa za Kijinga sana hizi, Imagine ilikua Trending sana, Ikawa na Bango la kimkakati kabisa.
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sanaa na wasanii, Mkubwa Fella unalilia wakati pesa zipo! Someni hapa

    Si ndani wala nje ya nchi ila wasanii wanaishi maisha ya sanaa. Marehemu ruge respect sana kwa kutuambia ogopa mungu na teknolojia. Hii ilikuwa mwaka 2021
  6. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Ukweli na Hoja isiyojadiliwa:- Financially, Ndoa zinaumiza sanaa wanaume

    Hebu njoo tujadili na tufikirie wotee kwa mifano thabiti ...... 1. Namjua John, Alikuwa afisa biashara Halmashauri kubwaa, matajiri wakawa wanamfata na kumtafuta ili mambo yao ya kwenye biashara yaende. John alikua na connection BRELA, TBS, TRA, kifupi taasisi 15 zinazosimamia biashara. Ghafla...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ilijaa unyenyekevu na hisia kali sana. Imeonesha kuwa alistahili kukalia kiti cha Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita. Rais wetu ametoa hotuba yake kwa namna ya kipekee sana ,namna iliyogusa Mioyo ya watu wengi sana waliokuwa...
  8. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mimi Kama Gen- Z naona aibu kwa kilichotokea jana Tulikurupuka sanaa naomba Samia na Watanzania wote mtusamehe

    Jana katika harakati zingine za kuharibu taswira ya Tanzania tulishindwa kwa sababu tulikua disorganised sana. Nakupenda na kusababisha aibu tuliyoipata naweza kukiri kuwa tulikurupuka sana kwa sababu viongozi wetu waligawanyika kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya maslahi yaliyotoka kwa mabeberu. We...
  9. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alishalegea, ila sisi tumeingia kwenye mfumo wake kilaini sana

    Za ndani kabisa Unajua zile vurugu za Mo 29, Samia zilikuwa zinampa mawazo siku zote 40 kabla ya tarehe 9 ila alivyoona Jana watu wameandamana Kwa amani basi akasema haya manyumbu yashakuwa maoga yameingia kwenye mfumo Sasa Unaambiwa Samia ana furaha kuliko siku zote huko Chamwino sababu anajua...
  10. President of China

    JamiiForums Tanzania The Return of Makonda in Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo - Makonda ni Mlokole, Mcha Mungu Kwelikweli

    Upande wa juu wa mawingu, wingu kubwa limetanda msiyemtaka kaja. Makonda anajulikana kwa uzalendo wake na kupanga mikakati ya kisasa ya kulitetea Taifa. Makonda ni mwamba kabisa hakuna aisye mjua. Watu wale wenye nia mbaya na Taifa la Tanzania ninauhakika wameanza kutetemeka. Karibu makonda...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na kipaji kwenye hivi vitu fanya kama part time, wengi waliofanya serious wamepoteza muda na kukosa maendeleo

    Muziki Kuchora Sarakasi Kuigiza Ngoma Wachache waliotoboa Sikuhizi labda mpira pekee ndio tunaweza kuona una maendeleo
  12. appoh

    JamiiForums Tanzania Wahenga walikosea sanaa

    MAkosa ya kiufund yapo kila mahal hapa wahenga walikosea sanaa Pale wanaposema mwanamke mpumbavy hujenga ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe ni makosa kinachojenga ndoa ni mdomo sio mikono hata kubomoa ni mdomo kauli njema ni msing wa aman na furaha katika ndoa wanawake weng ni vibur jeur wajuaji
  13. Giovanni Mugillanetza

    JamiiForums Tanzania Sanaa Intel

    Picha imechanwa Usiku na kwa usiri mkubwa mno. Asubuhi Saa mbili watu 14 washakamtwa. Ajabu Ben Saanane ni miaka sasa Hadi leo hiiii, waliomshambulia Lissu. Netflix Intel ? Turudi mstarini tuponye Taifa. Uwezo Tunao Kupona Lazima.
  14. L

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jumba la Utamaduni lachanganya sanaa, maendeleo ya mafuta na urafiki wa China na Uganda

    Mchoro wa ukutani wenye urefu wa mita 80 unaoonyesha ndege wa taifa wa Uganda, korongo, pamoja na dragon wa China anayeashiria maelewano, ulisimama kama kitovu cha tamasha la jadi lililofanyika hivi majuzi katika Kijiji cha Kasinyi, jamii iliyopo mbali katika Wilaya ya Buliisa magharibi mwa...
  15. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Sikujui na haunijui bro ila kama upo 27-38 usioe mdada ambae ameshaona mengi kwenye mahusiano atakutesa sana

    Wewe uliojufunnza unataka kurekebisha. Yeye aliyojifunza anataka kuendeleza maana ndio anataka atumie kama defence mechanisma dhidi yako. So ndugu hakikisha kama upo 27-38, oa binti alie 18- 22. UTANISHUKURU.
  16. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Hii imetokea kijijin kwetu kabisaa maisha magumu sanaa

  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ofcourse wake za watu kuchepuka tangu enzi ila ongezeko la vikundi na marejesho ime amplify hii maradufu sanaa

    Kuna wakati mke wa mtu kusaliti ilikuwa a one time, 2 time.. mistake ila sasa hivi wake za watu wanashindana kudanga na wakina "zakia mitikisiko" maana wanakuwa committed na mikopo au miadi inayozidi hali zao au ya wame zao kiuchumi so kinachofatia sasa hawezi kuuza vitu ndani bali alichonacho...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Sanaa ya kufa

    Kuna hii mada yangu niliandikq mwaka 2016 miaka minne hivi baada ya kujiunga JF.. Lakini kiuhalisia ni mada niliyoiandika kwenye daftari mwaka 1998 ikiwa ni maandalizi ya kuandika kitabu (6,646) Sanaa ya kifo | JamiiForums Sanaa ya kifo Kifo pia ni sanaa na kuna sanaa ya kifo halafu kufa pia...
  19. Jeep wrangler

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe-CCM kazi yenu ni njema sanaa

    Sio mbaya mara moja moja moja kumsifia adui yako. Hii ni mbinu ya kale ya kivita. Gekul ulikula kodi za wananchi kwa biashara haramu ya manunuzi ya binadamu awamu ya 5, karibu uraiani. Mollel.....nawe ulitamani mapato ya aibu, ukala kodi zetu kwa dharau. Waitara Mwita, ukaona ujipatie pesa...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania 3D painting/drawing: Sanaa pande tatu

    Hii nayo ni tawi la sanaa danganyifu ya macho yenye kuakisi uhalisia ambao haupo.. Ni aina ya sanaa ya uchoraji ama upakaji rangi pande tatu (three dimensions) Hii sanaa huweza kuifanyia michezo akili yako kupitia macho na kukufanya uone kitu halisi ambacho si halisi Nchi za wenzetu waliowekeza...
Back
Top Bottom