Akiwasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2025/26, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ameweka mambo hadharani kwa msisitizo mkubwa akitaja sekta tano zilizoshika hatamu kwa kasi ya ukuaji wa...
SANAA ZA MICHEZO ZINAPEWA KIPAUMBELE KATIKA UMITASHUMTA & UMISSETA
Ngoma za asili, kwaya na Muziki wa Kizazi kipya (Bongo Flavor) ni sehemu ya fani ambazo zimekuwa zikishindaniwa katika Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Tanzania kwa shule za Msingi na Sekondari (UMITASHUMTA &...
Wakuuu
Serikali inasisitiza Dabi iko palepale, ile kauli ya 'HATUCHEZI' imeishia wapi?
==
Serikali imethibitisha rasmi kuwa pambano kubwa la watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba litapigwa kama ilivyopangwa, Juni 15, 2025, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Katika kipindi cha...
Wadau hamjamboni nyote? The Israeli Air Force is carrying out strikes on the Houthi-held Sanaa International Airport in Yemen, according to local media.
The strikes come after repeated Houthi missile attacks on Israel in recent days.
Earlier this month, also after repeated attacks...
Mbunge wa Viti Maalum Dkt. Thea Ntara ametaka Serikali kuwachukulia hatua wasanii wanaovaa bila kuzingatia maadili akisema kuwa msanii sio kuvaa nguo za ajabu au kuimba nyimbo za matusi
Ametoa kauli hiyo akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia...
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeidhinishiwa bajeti ya TSh bilioni 519.66 kwa mwaka wa fedha 2025/26, ongezeko la takriban asilimia 82.2 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2024/25 ya Shilingi bilioni 285.3.
Pia, Soma: Waziri Kabudi aomba Bunge kupitisha Bajeti ya TSh 519.66...
Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi 143 ya utamaduni na sanaa.
Ney wa Mitego sasa ni rasmi kaamua kuachana na chadema. Kila binadamu ana wakati wa kung'amua mambo ya hovyo halafu akatae kutumika vibaya.
Ney amewahi kuimba nyimbo nyingi lakini chadema hawajawahi kumualika hata mara moja atumbuize
Pale alipokuwa kawekwa kabla ya hapa ilitokea kwa bahati mbaya tena sana! Na kwakuwa ile nafasi ni sawa na joka la kibisa.. Hatukuweza kuona ombwe! Hatukuweza kuona uhalisia....
Baada ya asili kuamua ile ugomvi mkubwa, tukadhani tumesalimika sana.. Kumbe ilikuwa ni sawa na kuruka kubwa kisha...
Habari za kuaminika uwanja wa ndege wa Sanaa waangamizwa na ndege zote zilikuwepo uwanjani hapo zimeteketezwa bila huruma yoyote.
Waliokuwa wanawasifia hawa Vibaka Njoo I tena muwasifie kipigo cha leo ni katika kuwatia adabu kutokana na jaribio lao la kupiga uwanja wa ndege wa Ben Gurion...
Hawa ni vijana wenzangu wanajitafta!
Inchi imepanua sana wigo wa ajira kupitia sanaa! Serikali inatumia kila mbinu kuwainua vijana hata kwa motisha!
Stand up comedy kuna vijana wachache sana tanzania wenye ubunifu wa kisanii!
Wengi wao wanaropoka tu pasipo kuchuja maneno! Sijui ni bangi...
Graduates msio na ajira na ambao mna mapenzi na muziki na Sanaa kwa ujumla jaribuni upromota hamtojuta as long unapenda kazi hiyo unapenda muziki na burudani etc coz kazi yoyote ili kufanikiwa lazima uipende kwanza.
Nili ingia kwenye kazi hii kama hoby tu coz napenda sana muziki na starehe and...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiiangalia Marekani ya Sasa unaona wazi kabisa kuwa inamhitaji sana mtu na kiongozi aina ya Rais Samia. Ilikuwa inahitaji kuwa na Samia wake kwa sasa wa kuweza kuiongoza Marekani. Marekani hii ambayo imeshindwa Kumaliza vita vya ukrein pamoja na mauaji kule Gaza...
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ninapenda kuzungumzia kipengele kimoja kilichonivutia zaidi katika Ilani ya mwaka 2020-2025 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Sura ya 16, Kifungu namba 16.1 Kipengele b (Ukurasa wa 95) ambacho kinasema:
"Katika kutimiza azma ya kujiendeleza...
Maamuzi ya mwanadada Catherine Kahabi ya kuishi maisha ya kilokole yasiwe sababu ya kuingilia sanaa pamoja na kukosoa viongozi wa Serikali
Catherine amekuwa akimkosoa Mh Kabudi alipopendekeza Muziki wa Singeli kuwa moja ya alama ya sanaa ya Tanzania jambo ambalo litasaidia kukuza utamaduni...
Angalieni tu kwenye line up yao.....asilimia 95% ni wachezaji wa ndani...yaani wazawa.
Kama unabisha just Google cheki mechi za leo, line ups zipo tayari.....mtanielewa ndugu zangu
In summary, hawa waafrika waarabu hawatupendi , bisha ila kuna siku utanielewa, asante.
Kuna wale raia huniuliza ""Kwanini unaipenda Faida Fund kuliko UTT??
Na hili ndilo jibu lake.
Tazama kwenye picha kipengele cha Sale Price Per Unit Vs Repurchase Price Per Unit.
FAIDA FUND.
UTT
Anyway:-
Tuendelee kutafuta hela
#YANGA_BINGWA
#YNWA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.