sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Kila instagram page ya msanii au hawa watu maarufu au machawa wananchi wanawapelekea moto sana aisee

    kilal msanii akipost anaandikiwa no reform nk election 😀🤣 kila chawa akipost hoja ni hyo mpaka wengine wamejamm kufungia X kumeleta changamoto instagram huu mwaka wa moto sana endeleeni kupiga spana watanzania tuungane tupeleke moto🔥🔥
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kama unasugua sana Vipapiro na ni Mzee wa Pekululu Zingatia sana hili

    Ndiyo mimi nina miaka zaidi ya 20 sijatumia kiatu. Napenda kucheza game pekuluku au pekupeku. Nahakikishia uwanja umeloana vizuri sana ndo naingia ndani. Hapo nitavuruga nitakavyo. Kama unapenda kula kipapiro, mbususu , papuchi, kipochi manyoya, kipochi nyevu. Hakikisha kwa usalama wenu kiwe...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla umekuwa ukiililia sana Simba SC, Je ukibwagiwa zigo utaliweza?

    Jamaa kila uchwao huwa anaililia simba hii, akipewa ataimudu au Ana mpango gani?, kuhusiana na simba atuwekee hapa!
  4. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Kipyenga cha mwisho huwa kinaongozwa na wachambuzi wa ajabu sana

    Yani Ile faulo ya mpanzu mchambuzi anaona ni ya kawaida na anaitetea!? Huyu kazi na mwenzake ni Bora wamestafu maana nje ya hapo wangeleta shida sana ya maamuzi kuliko hata Tatu Malogo
  5. Isenye

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kuacha pombe ila nashindwa

    Wakuu mko salama? Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe. Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe, kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki...
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa sana: Kwanini mtu ufurahi kujihusisha na Shetani?

    Napata masikitiko makubwa moyoni ninapoona baadhi ya watu katika forum hii wakijitambulisha kwa majina ya kishetani au yanayohusiana na uchawi. Nauliza kwa unyenyekevu lakini kwa uchungu wa rohoni: Kwa nini mtu achague jina la kumtukuza shetani, ambaye ni adui wa nafsi za wanadamu wote? Ni...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini umri wa dunia unatofautiana sana na wa binadamu wa kwanza

    Kwa mujibu wa wanasayansi dunia toka kuumbwa kwake hadi sasa ni takribani miaka billion 4.5 iliyopita,(huo ndo umri halisi wa dunia). Mwaka 1935 ndani ya mamlaka ya hifadhi ya NGORONGORO katika eneo la olduvai george mwanasayansi Louis leakey na mkewe Mary leakey waligundua fuvu la...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa kipato ni mbaya sana huua ndoa za watu

    Kipato kwenye familia kisipokuwa sawa hupelekea migogoro na hata wapenzi kukasirikiana na kuachana pasipo kukusudia.Hasira za mara kwa mara pasipo sababu na hata ugomvi.Serikali inatowa tu takwimu za ndoa kuvunjika hawajikiti kutafiti kwanini ndoa zinavunjika.
  9. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Naona ACT Wazalendo leo wana furaha sana, inaonekana kuna mtu watampokea, je ni nani?

    Ukiinhia kule X naona wote kuanzia Dalali wao Zitto Kabwe ni full shangwe kwamba leo wana mpokea Kigoho, je ni nani huyo? 1. Sugu? 2. Gwajima? 3.Mbowe? 4.Yeriko Nyerere? 5. Wenje? 6. Wale Covid 19? mmoja wao? Nazani hapo kuna mmoja wao na kwa Gwajima nitaeleza baadae.
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi Idara ya Usalama wa Taifa ya Kisiwa maarufu cha 'Puerto Rico' Watendaji wake WANACHUKIANA mno na kuna MPASUKO mkubwa sana?

    Na chuki kubwa inasemekana ni kwa miaka takribani Mitatu Minne hivi 75% ya Watendaji wa Idara hiyo kutokea Mji wa Ponce anakotoka Rais na siyo Mji Mkuu wa San Juan. Na taarifa ambazo Mtanzania Mimi GENTAMYCINE niliye na Marafiki huko Kisiwani Puerto Rico nilizonazo ni kwamba CHUKI hii kubwa na...
  11. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Tambua Utapeli Mbalimbali Mtandaoni - Sitapeliki

    Karibu Wadau wa JamiiForums! Kama mpenda teknolojia na mtafiti wa masuala ya usalama mtandaoni, leo nimekuja kuwafunua kuhusu utapeli unaosambaa kwa kasi katika dunia ya kidigitali. Najua kuna watakao pokea elimu hii kwa mikono miwili, lakini pia kuna wale watakao pinga kwa ubishi na ujuaji...
  12. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za mitaani za lami Dar zimetoboka sana, TARURA changamkeni

    Barabara nyingi za pembezoni jijini Dar es Salaam zipo katika hali mbaya sana kufikia Juni 2025, zimetoboka kupita kiasi. Tunatoa wito kwa TARURA kuchukua hatua za haraka kuziba matundu hayo. Kwa sasa, jiji linakabiliwa na msongamano mkubwa wa magari kutokana na ujenzi wa miundombinu ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania CCM Ni Dude Moja Kubwa Sana Ambalo Mtu na genge lako Huwezi Kushindana Nalo na Ukaliweza au Kulidhoofisha. Waliojaribu waliishia Kufedheheka

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni dude Moja Kubwa sana, ni dude ambalo mtu binafsi na genge lako au kikundi chako cha uchumia tumbo au usaka tonge au uroho wako wa madaraka huwezi kupambana nalo wala kushindana nalo wala kulidhoofisha wala kulihujumu wala kulidodosha wala kulitikisa wala...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kazi ya polisi ngumu sana

    Imagine unatakiwa kwenda kuwatawanya watu wasikusanyike kwenye Kanisa la ufufuo na uzima wakati na wewe ni muumini wa hapo hapo. Pole sana kaka yangu, nilikuambia twende ualimu ukakataa. Ona sasa!
  15. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wapemba ni wachafu sana?

    Wakuu kwema? Kuna mpangaji mwenzangu ni mpemba kahamia hapa kwetu. Dah,hawa watu ni wachafu asee.. Hivi huko pemba somo la hygiene halijawafikia?
  16. Randy orton

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake This is a special thread and a tribute to the late J.P.M. Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa...
  17. excel

    JamiiForums Tanzania Ongeza Juhudi itafute hii DAWA.. inatibu matatizo mengi sana

  18. B

    JamiiForums Tanzania Maisha ya sisi Matajiri wenye mvuto na akili yana Changamoto sana. Watu wanatushangaa kwa kila chetu

    Watu wengine wan kero sana. Mtu anakuona sehemu ume chill anakuja kukushangaa shangaa. Mara anauliza hii saa ulinunua wapi? tsh ngapi? Hizo sandals mbona kali sana? Sijui we mbona una ngozi laini kama ya mtoto unapaka nini? Na huyo anayeniuliza ni mtoto wa Tajiri mmoja huku Dubai. Mara mbona...
  19. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi

    Kwa hali inayoendelea Sasa. Na vile ambavyo wahusika wakuu wa uchaguzi hawapo Kwenye Race Ya uchaguzi na wanapigwa vita Kali mno Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi ( Election after election). Yule mgombea mwenza ni mhusika ambaye ameminywa kiintelijensia na kihesabu...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unafungwaje 5 yai katika fainali ya UCL. Kweli inter kazingua sana🤣

Back
Top Bottom