sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. stabilityman

    Jaman mbona magari used yameshuka sana bei sikuhizi nini shida

    Wakuu sikuhizi gari used zimeshuka sana bei shida nini ? Au mimi ndio sielewi yaaan unaweza kuona crown namba dz inauzwa 9m Au Ist ds mil 10 kipind chanyuma bei zilikuwa zimechangamka sanawakuu
  2. Navigator Paul

    Nakumbuka Sana vitu vya nyuma

    Wakuu Habari Mimi Bhnaaa Ni Kijana Nipo Tu Kwenye Harakati Za Maisha Sasa Hivi Karibuni Nakuwa Nawaza Sana Maisha Yangu Ya Nyuma, Yaaani Udogoni, Sometimes Hata Nilivyokuwa Napitua Baadhi Ya Changamoto Zangu Za Maisha, Yaaani Kila Siku Lazima Niwaze Mambo Yangu Ya Nyuma Hii Kitu Imenipelekea...
  3. haszu

    Usidharau vitu wanavyopenda wanawake(wadada), huwa ni vitamu sana

    We jaribu kununua ice cream za bakhresa kula. Nunua chips yai na kuku na milinda nyeusi onja. Nunua mishkaki Yani ni vingi tu, nimengundua ni vitamu sana, hakuna haja ya kujinyima raha.
  4. Hharyson

    GOROFA SIMPLE DESIGN 4BEDROOMS WALE WENYE PLOT NDOGO INAWAFAA SANA

    WE OFFER GOOD BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION REACH US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA
  5. Hharyson

    Ghorofa simple design 3 bedrooms, wale wenye plot ndogo inawafaa sana

    WE OFFER GOOD BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION REACH US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA
  6. Hharyson

    Ghorofa simple design 4 bedrooms, wale wenye plot ndogo inawafaa sana

    WE OFFER GOOD BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION REACH US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA
  7. Fbn

    Najuta sana kuwa na mahusiano mwanamke askari mwenye cheo

    Wanaume wenzangu yani hawa wanawake wakikukosa sehemu ya mapenzi,pesa basi wanatumia vyeo vyao kutusurubisha. Nilipataga mdada mmoja simple na haya yote na mlaumu athumani wangu wa chini kutawala akili kuliko ubongo wangu. Baada ya kuchokana kazi ikaanzia hapo sasa. Kila kukicha naletewa...
  8. Teslarati

    Ila wanaume kwa wanaume tunanafikiana sana likija swala la namna ya kuwatreat wanawake

    Oya mie ngoja leo niwape za uso mabaharia wenzangu. Watu tunakaa kwenye kikao, tunaweka ajenda mezani na points kabambe zinatolewa. Mara utasikia "Hamna kumnyonya mwanamke K utakua unalamba lolo la jamaa zake wengine" Mara "Usimpigie magoti demu wako ukimvisha pete" Mara "Mwanamke...
  9. Isenye

    Wakuu,napenda sana kupiga chabo.

    Habari za jumapili watu wa humu? Wakuu,ktk maisha kila mtu huwa ana hobby yake. Sasa mimi mwenzenu huwa ninapenda sana kupiga chabo watu wakiwa wanakulana. Yani imefikia stage kuna jamaa angu anasimamia Lodge flani huwa naenda pale ofisini kwake kuzuga kumbe huwa navizia watu wanaoingia mle...
  10. Gabeji

    PreGE2025 Sasa nimeamini CHADEMA wapo serious sana na sera ya "No reforms No election". Watanzania tuwaunge mkono

    CHADEMA chini ya mh Tundu Lissu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election" Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania to uproot the ruling political party( ccm) Wameanza na tone kampeni, Wamewaita wahalili wa vyombo...
  11. haszu

    Siku ya leo ngumu sana, wengine wanasubiri mshahara, wengine wasubiri PDF ya TRA

    Ni mwendo wa kuangalia notifications, Email na SMS tu, kila ukisikia mlio unashtuka
  12. M

    Nimezunguka Tanzania Nzima Mijini na Vijijini, Nyimbo za Harmonize na Zuchu ndo zinapigwa sana

    Lazma tuwe wa kweli, japo si utafiti rasmi, lakini japo kwa uzoefu wa kutembea maeneo mengi sana nchi hii ndo nimeweza kugundua hiko kitu. Katika zunguka yangu, huku mtaani vijijini na mijini ki ukweli kabisa , kwa masikini hawa ambao ni wachache wenye smart phone, nyimbo za wasanii wawili ndio...
  13. Yofav

    Usipite: Hapa unajipatia bidhaa mbalimbali za majumbani na maofisini kwa bei nafuu sana

    Je, unatafuta bidhaa bora za nyumbani kwa bei nafuu sana? Tunakuletea suluhisho kamili kwa mahitaji yako ya households na furniture! Tunauza bidhaa mbalimbali kama meza, viti, kabati, mapambo ya nyumbani, vifaa vya jikoni, na vingine vingi – vyote kwa bei rafiki unayoweza kumudu. Kwa nini...
  14. chiembe

    Wasaidizi wa Rais Samia wakae chonjo, wasipokuwa makini, Rais anaweza kuzindua miradi kanda ya ziwa kwa miezi sita mfululizo, ni mingi sana

    Kanda ya ziwa ni construction site. Kote panajengwa au pana majengo mapya, miradi mipya. Nashauri wasaidizi wa Rais wawe makini, tunajua Rais anapenda sana aende katika kila mradi. Akifanya hivyo anaweza kutumia miezi sita mfululizo bila kupumzika hata siku moja. Wasaidizi wake wawe makini...
  15. Mstahiki Mea

    Hiki chakula kimeua ndoto za mabinti wengi sana

    katika vyakula vilioondoka na ndoto za mabinti wengi ni hiki. Muunganiko wake labda pamoja na mitinda nyeusi vinatosha kuondoka na ndoto za binti mmoja mmjinga. Tafakari chukua hatua. Fundisha mtoto wako wakike aache ushamba wa tumbo
  16. Luis 505

    Kwanini viongozi wa Marekani hawajali maadili (Porno Industry) ila Mungu anawapa hela nyingi tofauti na Tanzania inayozingatia sana maadili??

    Marekani ndio kiwanda kikuu cha picha za X ila Mungu anaendelea kuwajaza mihela kila siku. Tanzania wamefungia websites zote za picha hizo za X lakini bado wanaenda kuwaomba msaada wa hela Marekani waliokosa maadili na kuamua kuwaacha raia wake wacheze picha za utupu. Huyo dada hapo chini ni...
  17. Echolima1

    Magaidi wa ki-Houthi huko Yemen wanapata kipigo cha Mbwa-Koko

    Magaidi wa ki-Houthi huko Yemen wanapata kipigo cha Mbwa-Koko baada ya wao kugundua ugomvi usiowahusu huko Gaza!! https://x.com/therealjew613/status/1902544051313782789?s=61
  18. Prakatatumba abaabaabaa

    Naona sera ya CHADEMA, No reform No election ni ngumu sana

    Nimeona sugu ameitisha press, na kuwaambia waandishi wa habari kwamba atagombea ubunge 2025 October, Naona hii italeta mpasuko mkubwa ndani ya Chama, wanachama wengi wanaona kama Wana nafasi ya kuingia bungeni 2025, lakini maono ya viongozi wao wanaona ya kwamba hata kama wakiingia ulingoni...
  19. GENTAMYCINE

    Mnahangaika sana na Speculations zenu ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi ama kumbadilisha au kumtumbua Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba

    Na sababu Kubwa ninaijua Mimi na nadhani hata hapa JamiiForums nilishawahi kuisema. Fanyeni Kazi msipoteze muda.
  20. ELI COHEN

    Elon Musk asema Joe Biden aligoma kuwarudisha wanajeshi wa NASA waliokwama angani kwa sababu za kisiasa

    Mkurugenzi wa SpaceX, Elon Musk, amethibitisha kwa Fox News kuwa alitoa msaada wa kuwarejesha wanajeshi wa NASA waliokuwa wamekwama kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga (ISS), lakini utawala wa Rais wa zamani Joe Biden ulikataa kwa sababu za kisiasa. Sunita Williams na Barry 'Butch' Wilmore...
Back
Top Bottom