sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana da Fatma Karume

    Hongera kwa kwenda Hijja, hongera kwa kuvaa nguo za heshima, hongera kwa kujua mwanamke wa kiislam kuishi vipi, hongera kwa kuacha kutumia social media kwa kufanya vitu ambavyo maisha yako ya akhera hatayaleta faida. Hongera hongera mwanasheria kwa kuamini dunia sio chochote Quran inasema...
  2. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hawawezi kua /kukaa wenyewe. Hii hua inanishangaza sana

    Wakuu, Leo mimi nataka nishee na ninyi jambo moja. Kuna hiki kitu hua kinanishangaza sana. Nimekuja kugundua kwamba kuna watu hawawezi kabisa kukaa wenyewe peke yao. Hapa naomba nieleweke kwamba kukaa wenyewe yaan mtu ukimwacha dakika 2 peke yake unamkuta amefanya vitu km kichaa fulani vile...
  3. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Tuna askari dhaifu sana. Kama huyu Agonza licha ya kuwa afya mgogoro ila kamtandika askari basi tunalindwa na watu dhaifu sana.

    Sioni faida ya hawa mapolisi kupiga kwata na mazoezi kila uchwao kama mtu tu wa kawaida ambaye amedhoofika vile amemtandika kisawa sawa askari. Najiuliza , je angekuwa mtu wa mazoezi / body builder huyo askari angekuwa na hali gani?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Advocate Mtatiro: Polisi wamemtesa sana na kumuumiza Daktari aliyepigana na Traffic

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika: "Kuna msamaria mwema ndani ya Jeshi la Polisi kanijulisha kwamba Doctor Conrad Agonza ambae alipigana na Traffic yupo kituo cha Polisi Oysterbay. Anasema juzi baada ya Wanajeshi wa JWTZ kuachanisha ugomvi huo, walimchukua Dr. Conrad...
  5. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Napendelea sana ufugaji wa kuku kama side hustle, nisaidieni mawili matatu, nimetenga tsh 3m

  6. TANAPA

    JamiiForums Tanzania Unadhani una mbio sana? Tazama Facts kuhusu wanyama wa porini!

    Unadhani una mbio sana? Kuna wanyama ukikutana nao hifadhini, mwonekano wao unaweza kukudanganya kabisa, wanaonekana wazito, watulivu na wa mwendo wa pole… lakini ukijua uwezo wao wa kukimbia, unaweza kuanza kuheshimu umbali salama zaidi na kukumbuka kwamba si salama kutoka nje ya gari bila...
  7. Red black

    JamiiForums Tanzania Kuna members wamepotea sana humu Jf since july kuna usalama kweli?

    adriz de mbusii Intelligent businessman
  8. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Tunaomba jibu haraka sana

    Ndugu zangu leo yametokea maajabu! Na ninashaka na huyu member.. min -me kuwa atakuwa na uhusika katika staff ya hili jukwaa.. Haiwezekani apigwe ban alafu hiyo ban iishie ndani ya dakika kumi tu. Hicho kitu Hakija wahi kutokea katika historia ya jamiiforums, na je, wenye mods mnamajibu...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hii timu licha ya kutawala soka la bongo,ina watu dhaifu na waoga sana.

    Timu iliyojaa mashabiki wanaotegemea uchawi na nguvu za serikali ni dalili za woga na kutojiamini katika mpira. Mashabiki wanamtukana mchezaji mmoja kwa ushirikiano na wadangaji wa kwenye mitandao huku wakimtisha eti timu yao ina watu na mkono mrefu hadi serikalini?!! Huku ni kuonesha udhaifu...
  10. Red black

    JamiiForums Tanzania Kwenye utafutaji wa ridhiki/kipato kuna mambo mengi sana.

    Majungu Fitina wizi Uongo Utapeli kupata na kukosa ukiwa na roho ndogo una-give up mapema sana #Wapambanaji wote msio kaa kwa shemeji zenu mnatoka asubuhi ghetto kwenda harakati big up sana.
  11. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kigoma imeiacha singida kwa umbali sana.

    Nimekuwa sehemu zote mbili katika shughuli zangu binafsi kigoma kwa maendeleo iko chini lakini singida naona imejifia kabisa, hii mikoa inazidiwa kwa mbali na Town council nyingi kimaendeleo na utafutaji wa fursa. Hivi watu wanaoishi singida wanapataje maisha? Kwa nilivyoona pale ukienda hata...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe yupo sawa kweli? Haya maneno yamekuwa mengi sana

    https://www.instagram.com/reel/DdBxoJsNrnj/?stkn=MTZuZ2Z3aWIzYmduMg== Kuna maneno wanamsema msemaji wetu kuwa ni HASARA. Je kuna ukweli? Maana watu wa karibu yake pia huzungumza.
  13. Red black

    JamiiForums Tanzania Hii picha inaongea mengi sana halafu just imagine kuna watu hawajui njaa ni kitu gani

  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hii ya leo kali sana sana

    Trafiki kajichanganya kachukua ufunguo wa gari la raia kachafukwa kamuweka chini maeneo ya lugalo Ndugu zangu; Kila mtu anafahamu wazi, Kwamba, Askari waliopewa mamlaka za kusimamia sheria za usalama barabarani ni Trafiki police! Lakini zipo changamoto nyingi sana katika baadhi ya maaskari wa...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanadhani bado DSM, ARS na MWZ ndio sehemu pekee zenye maisha ghali sana TZ, mnakosea, joto lisha sambaa kote, mikoani napo ni expensive

    Kama unapata fursa yako dar, we endelea kuishi dar, usidanganyike kurudi nyumbani Kuna sehemu nyingi hapa tanzania, kujenga nyumba ni ghali kuliko anaejenga dsm Nyumba na vyumba vya kupanga vimepanda wilayani huku, hakuna mtu mjinga ajenge nyumba ya kupangisha 30-60m+ alafu umpatie laki moja...
  16. Red black

    JamiiForums Tanzania Kuwa na cabin ni muhimu sana.

    Sometimes akili inahitaji utulivu relaxation ya hali ya juu ili kuji restart mijini kilele zimekuwa nyingi sana. mtu January to Dec uko kwenye kelele lazima uwe mental tu.
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Jaji Warioba anaendelea vizuri

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu amesema Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba anaendelea vizuri. Jaji Warioba alipata shida ya kiafya na kudondoka ghafla wakati akihutubia katika mkutano wa kitaifa wa kutafakari hali ya kisiasa nchini unaofanyika jijini Dar es...
  18. Vien

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wanaotoa ushauri wa jumla jumla kwenye kila jambo, ni janga lingine linalotakiwa kukemewa haraka sana

    Social networks zimezalisha kundi kubwa sana la watu wanaojiita wataalamu wa kila kitu. Leo anakushauri kuhusu afya, kesho mahusiano, keshokutwa biashara, halafu Jumapili imani na maisha kwa ujumla. Tatizo lao kubwa ni moja: wanatoa ushauri wa jumla kwenye matatizo ambayo yanahitaji kueleweka...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania HONGERENI SANA SINGOMAZA

    Hili taifa ni lenu sasa. Mmesemwa sana, ni wakati wenu kuchukua heshima yenu kwa nguvu.
  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tesla Cybercab imeanza kufanya kazi rasmi baadhi ya majimbo USA. Sema Bei kwa route ni ya moto na demand kubwa sana!

    Kama mnakumbuka, October 2024 Tesla walikua na Event wakazindua Robitaxi zao wanazoziita Cybercab, unarequest gari (kama Uber), inakuja bila dereva, inakupeleka unakotaka kwenda. Easy. Tesla wamezindua Cybercab (Robitaxi) Tesla wamezindua Cybercab Robitaxi II Sasa kawaida ya Tesla, wanatangaza...
Back
Top Bottom